Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Tafsiri ndo huleta shida. Maneno sahihi aliyomaanisha ni nn? Aliwalenga kina nani?

Tafsiri ya Lugha ya wakati huo tunafahamu vp kuwa ndiyo alichomaanisha katika tafsiri ya wakati wa sasa?

La msingi tumia akili na nafsi aliyokupa MUNGU, kama nafsi yako na akili yako inakuambia hakuna tatizo basi wewe fanya, ila ukiona akili inakuambia kuna tatizo na nafsi inakataa ila unalazimishia kwa kutafuta fungu la biblia kuna tatizo.

Mfano: Kimuingiacho mtu si najisi unajiuliza tu inamaana hata nyama ya binadamu?
Hili fungu lililenga kuwa tule chochote tutakacho au litatumika kwenye ulabu tu halafu kwengine hapana? Basi hapo unaona kabisa kuna tatizo huitaji mchungaji.
Kwahiyo mungu hakujua kama baadae lugha itakuja kubadilika?
 
Kila kitu kinabadilishwa na binadamu kwa kujua ama kutokujua, hata dhambi aliyefanya ni binadamu.

Fanya lile ambalo nafsi yako imeridhia. Kama unajisikia uhuru katika nafsi kufanya unalofanya huna haja ya kutafuta andiko la kukuruhusu ufanye.
 
Sasa kwanini watu wawili waliokunywa pombe mmoja awe na dhambi na mwingine asiwe na dhambi?
Wakati wote wamekunywa pombe?
Kwa nini watu wawili walio kula mmoja awe na dhambi ya ulafi na mwingine asiwe na dhambi wakati wote wamekula??
 
Sasa kwanini maneno ya mungu yaje kwa mtindo wa mafumbomafumbo na nahau kibao, kwann asingetumia tu lugha nyepesi simple and clear ili kila mtu apate kumuelewa anachomaanisha? Mana mistari mingi utaambiwa mara ooh hilo neno lina maana nyingi mara hapo hajaamaanisha hivyo mara hapo hivi saa nyengine mpaka utafunguliwa na dictionary kabisa. Yani aumbe ulimwengu mzima na vyote vilivyomo halafu tu anashindwa kuleta maandiko ambayo yapo perfect kila mwanadamu akisoma aseme yeess huyu kweli mungu lakini sio kama hivi maandiko yalivyo mpaka dini imekuwa na madhehebu kibao kwa sababu maandiko yake yana utata mwingi sana yani kila mtu anamuelewa kivyake tu
Hakuna mafumbo kwenye Kauli ya Mwenyezi Mungu!
Amri zake ni.10!
Mengine sherehe!
 
Luka 1 : 8-15 (Kuzaliwa kwa Yohana)
8Siku moja, ilipokuwa zamu yake kutoa huduma ya ukuhani mbele ya Mungu, 9Zakaria alichaguliwa kwa kura, kama ilivyokuwa desturi, kuingia hekaluni ili afukize ubani. 10Watu, umati mkubwa, walikuwa wamekusanyika nje wanasali wakati huo wa kufukiza ubani. 11Malaika wa Bwana akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia ubani. 12Zakaria alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia. 13Lakini malaika akamwambia, “Zakaria, usiogope, kwa maana sala yako imesikilizwa, na Elisabeti mkeo atakuzalia mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yohane. 14Utakuwa na furaha kubwa na watu wengi watashangilia kwa sababu ya kuzaliwa kwake. 15Atakuwa mkubwa mbele ya Bwana. Hatakunywa divai wala kileo, atajazwa Roho Mtakatifu tangu tumboni mwa mama yake.
 
Soma aya ya 9 mpaka ya 10View attachment 2067069
مَّثَلُ الْجَنَّةِ الَّتِي وُعِدَ الْمُتَّقُونَ ۖ فِيهَا أَنْهَارٌ مِّن مَّاءٍ غَيْرِ آسِنٍ وَأَنْهَارٌ مِّن لَّبَنٍ لَّمْ يَتَغَيَّرْ طَعْمُهُ وَأَنْهَارٌ مِّنْ خَمْرٍ لَّذَّةٍ لِّلشَّارِبِينَ وَأَنْهَارٌ مِّنْ عَسَلٍ مُّصَفًّى ۖ وَلَهُمْ فِيهَا مِن كُلِّ الثَّمَرَاتِ وَمَغْفِرَةٌ مِّن رَّبِّهِمْ ۖ كَمَنْ هُوَ خَالِدٌ فِي النَّارِ وَسُقُوا مَاءً حَمِيمًا فَقَطَّعَ أَمْعَاءَهُمْ

[ MUH'AMMAD - 15 ]
Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya mvinyo yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?

وَمِن ثَمَرَاتِ النَّخِيلِ وَالْأَعْنَابِ تَتَّخِذُونَ مِنْهُ سَكَرًا وَرِزْقًا حَسَنًا ۗ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَةً لِّقَوْمٍ يَعْقِلُونَ

[ AN NAH'L - 67 ]
Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili.
 
Tutafutie na mstari wa bangi hatutaki mchezo kabisa haya mambo lazima yaeleweke.
Nuhu alituma nadhani kunguru/ huwa akaleta mjani (ndio msuba wenyewe)
Guess what happened
 
Habakuki 2:15​

Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kuutazama uchi wao!
 
Soma aya ya 9 mpaka ya 10View attachment 2067069
مَّثَلُ الْجَنَّةِ الَّتِي وُعِدَ الْمُتَّقُونَ ۖ فِيهَا أَنْهَارٌ مِّن مَّاءٍ غَيْرِ آسِنٍ وَأَنْهَارٌ مِّن لَّبَنٍ لَّمْ يَتَغَيَّرْ طَعْمُهُ وَأَنْهَارٌ مِّنْ خَمْرٍ لَّذَّةٍ لِّلشَّارِبِينَ وَأَنْهَارٌ مِّنْ عَسَلٍ مُّصَفًّى ۖ وَلَهُمْ فِيهَا مِن كُلِّ الثَّمَرَاتِ وَمَغْفِرَةٌ مِّن رَّبِّهِمْ ۖ كَمَنْ هُوَ خَالِدٌ فِي النَّارِ وَسُقُوا مَاءً حَمِيمًا فَقَطَّعَ أَمْعَاءَهُمْ

[ MUH'AMMAD - 15 ]
Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya ULEVI yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?

وَمِن ثَمَرَاتِ النَّخِيلِ وَالْأَعْنَابِ تَتَّخِذُونَ مِنْهُ سَكَرًا وَرِزْقًا حَسَنًا ۗ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَةً لِّقَوْمٍ يَعْقِلُونَ

[ AN NAH'L - 67 ]
Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili.

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ
وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ

[ AL - MAIDA - 90 ]
Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.

Nina kosa gani nikisema pepo ya Allah tuiepuke sababu ni makao makuu ya shetani??

Unajua mjingaww nyumba yako ni ya vioo halafu unaanzisha mchezo wa kurushiana mawe?![emoji2956][emoji2956]
 
Kwa hyo yesu alikuwa CHAPOMBE?

Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.

Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.

Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.

Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?[emoji1634][emoji1635][emoji482][emoji481][emoji485]
Mnacho shindwa ni kutafisiri Biblia
 
Kwa hyo yesu alikuwa CHAPOMBE?
Kimjingaww mjingaww umepatiia umepata!
Ilaha kwa kutonijbu aya hizi umekubaliana na mimi kwamba pepo ya Allah ni maskani ya shetani Tuiepuke..
[emoji116][emoji116]
مَّثَلُ الْجَنَّةِ الَّتِي وُعِدَ الْمُتَّقُونَ ۖ فِيهَا أَنْهَارٌ مِّن مَّاءٍ غَيْرِ آسِنٍ وَأَنْهَارٌ مِّن لَّبَنٍ لَّمْ يَتَغَيَّرْ طَعْمُهُ وَأَنْهَارٌ مِّنْ خَمْرٍ لَّذَّةٍ لِّلشَّارِبِينَ وَأَنْهَارٌ مِّنْ عَسَلٍ مُّصَفًّى ۖ وَلَهُمْ فِيهَا مِن كُلِّ الثَّمَرَاتِ وَمَغْفِرَةٌ مِّن رَّبِّهِمْ ۖ كَمَنْ هُوَ خَالِدٌ فِي النَّارِ وَسُقُوا مَاءً حَمِيمًا فَقَطَّعَ أَمْعَاءَهُمْ

[ MUH'AMMAD - 15 ]
Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya ULEVI yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?

وَمِن ثَمَرَاتِ النَّخِيلِ وَالْأَعْنَابِ تَتَّخِذُونَ مِنْهُ سَكَرًا وَرِزْقًا حَسَنًا ۗ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَةً لِّقَوْمٍ يَعْقِلُونَ

[ AN NAH'L - 67 ]
Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili.

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ
وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ

[ AL - MAIDA - 90 ]
Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.
[emoji2956][emoji2956]
 
Swalii
Yesu alikuwa CHAPOMBE

Nishakujibu kwamba kimjingaww umepata!
Umefikia kumbishia Allah aliyesema Masihi Ana Heshimiwa duniani hadi Ahera na Amesha Karibishwa kwa Mwenyezi Mungu! ww kwa Ukafiri wako unadiriki kusema Masihi ni chapombe
[emoji13]
Una ujasiri ambao hata ibilisi hana dogo!
[emoji116][emoji116]
إِذْ قَالَتِ الْمَلَائِكَةُ يَا مَرْيَمُ إِنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكِ بِكَلِمَةٍ مِّنْهُ اسْمُهُ الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ وَجِيهًا فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمِنَ الْمُقَرَّبِينَ

[ AL I'MRAN - 45 ]
Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria mwana kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa kwa Mwenyezi Mungu
 
Walokole wanashindwa kuelewa! Ukila chakula mpaka ukavimbiwa ni dhambi! Pombe ni chakula ila usizidishe. Kama kunywa pombe ni dhambi, basi huo ni unafiki. Yesu alibariki Ile divai na alionja, akawaambia mambo safi, kunyweni. Wewe ni nani upingane na Yesu! ? Walokole acheni hizo!
 
Watu wamekuwa brainwashed na dini na wazungu ila wewe nadhani wameondoka na akili zote kabisa aisee. Unawezaje kuuliza wapi walisema mkanywe pombe bar? Kwani pombe lazing unywe bar? Kibaya usilewe! Kwa taarifa yako watu wote makini unaowaona duniani wanapiga tubia,tuwaini japo kwa kiasi. Wewe baki na mistari Yako ya kukaririshwa,siku ukipata akili na uelewa utaruri humu kutuambia
 
Huko kote mi sina shida nako
Shida iko kwenye Mungu kuupenda ulimwengu akamtuma mwanae mpendwa aje duniani afe ili kutuokoa na dhambi, hivi kilishindikana nini Mungu kumuua shetani ili kuokoa gharama, usumbufu na mateso kwa mwanae mpendwa?

This story need to be revised
 
Back
Top Bottom