Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Una uthibitisho gani hiyo Divai ilikua na Kilevi (Alcohol)?Divai aliyo itengeneza Yesu ilikuwa ya kulewesha na sio juice.
Una swali lingine ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uthibitisho gani hiyo Divai ilikua na Kilevi (Alcohol)?Divai aliyo itengeneza Yesu ilikuwa ya kulewesha na sio juice.
Una swali lingine ?
Yeye mwenyewe pia alikuwa anakunywa hiyo divai.Una uthibitisho gani hiyo Divai ilikua na Kilevi (Alcohol)?
Mkuu hiyo Divai unayoisema, nithibitishie kwamba ilikua na kilevi (Alcohol).Yeye mwenyewe pia alikuwa anakunywa hiyo divai.
Mathayo 11:19 Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake.
Kwani angekuwa anakunywa non alcoholic wine wange mzushiaje kuwa ni mlevi ?Mkuu hiyo Divai unayoisema, nithibitishie kwamba ilikua na kilevi (Alcohol).
Hujui kama mtu anaweza kukuzushia tu? Hujui kama zipo taarifa za uzushi tu watu mbalimbali huzushiwa?Kwani angekuwa anakunywa non alcoholic wine wange mzushiaje kuwa ni mlevi ?
Au asingekuwa anakula chakula wange mzushiaje kuwa ni mlafi.
Usiwe na mihemuko ndugu.
Kwani wapi Mungu alizuia kunywa kilevi ?Hujui kama mtu anaweza kukuzushia tu? Hujui kama zipo taarifa za uzushi tu watu mbalimbali huzushiwa?
Haya tuendelee, naomba nithibitishie hiyo Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na kilevi (Alcohol).
Bado haujathibitisha Mkuu, naomba kama una uthibitisho kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu, ilikua na Kilevi (Alcohol)Kwani wapi Mungu alizuia kunywa kilevi ?
Hadi ubishe namna hii.
Kinachotakiwa ni kunywa kwa kiasi cha kuto kushindwa kufanya majukumu yako, au kutumia kilevi kumharibu mtu.
Au kunywa kupita kiasi cha kumudu afya yako.
Tumeruhusiwa kunywa bila kufanya Ulevi na kwa wakati usio wa kazi.
Ni kama chakula tu Mungu anasema tule kwa kiasi bila kufanya ulafi.
Wewe kwani unasoma kitabu gani ?
Kwani kwenye harusi watu wanafurahi wanapokunywa divai ya aina gani ?Bado haujathibitisha Mkuu, naomba kama una uthibitisho kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu, ilikua na Kilevi (Alcohol)
Naomba uthibitisho, nasubiri.
Mkuu, huo uthibitisho unao? Kama unao naomba uutoe kama hauna pia niambie.Kwani kwenye harusi watu wanafurahi wanapokunywa divai ya aina gani ?
Wayahudi walikuwa wanakunywa divai yenye kilevi siku zote.
Wewe una uthibitisho kuwa divai hiyo haikuwa na kilevi ?Mkuu, huo uthibitisho unao? Kama unao naomba uutoe kama hauna pia niambie.
Maji ya mzabibu hayawezi kuitwa divai ikiwa hayana kilevi ndani yake. Divai ni pombe inayotokana na zabibu. Si unashiriki mkate wa Bwana kanisani we uje uwaombe wachungaji chupa ya ile divai halafu uisome uone mwenyewe.Mkuu, huo uthibitisho unao? Kama unao naomba uutoe kama hauna pia niambie.
Anajua kuwa hadi iitwe divai maana yake inakilevi?Wewe una uthibitisho kuwa divai hiyo haikuwa na kilevi ?
Divai kwa kingereza ni wine ndivyo ninavyo jua.Anajua kuwa hadi iitwe divai maana yake inakilevi?
Je? Hapa aliongea walichokuwa wanamsingizia ama walichokuwa wakimuona anafanya?Mimi mwana wa Adamu nimekuja nikila na kunywa, nao wanasema, ‘Mta zameni mlafi na mlevi; rafiki wa watoza kodi na wenye dhambi!’ Lakini hekima huthibitishwa kwa matendo yake.”
Mathayo 11:8-19
Je Hapo Bwana Yesu amesema amekunywa Pombe? Kwenye hiyo sentensi yake.Je? Hapa aliongea walichokuwa wanamsingizia ama walichokuwa wakimuona anafanya?
Ili kimiminika chochote kiwe Pombe kinataliwa kiwe na % of Alcohol. Pia ili kimiminika chochote kisiwe Pombe hakitakiwi kuwa na % of Alcohol (Non Alcohol), Sasa naomba nithibitishie Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua ni Pombe, ukinithibitishia ilikua ni Pombe nitakuomba unitajie % of Alcohol ilikua ni ngapi?Maji ya mzabibu hayawezi kuitwa divai ikiwa hayana kilevi ndani yake. Divai ni pombe inayotokana na zabibu. Si unashiriki mkate wa Bwana kanisani we uje uwaombe wachungaji chupa ya ile divai halafu uisome uone mwenyewe.
Nithibitishie kwanza kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua ni Pombe.Wewe una uthibitisho kuwa divai hiyo haikuwa na kilevi ?
Hapa nimekuquote umeongea Facts. Kwamba zipo wine zenye kilevi (Alcoholic) na zisizo na kilevi (Non Alcoholic), Sasa turudi kwenye mada Je kuna mwenye uthibitisho kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua ni Pombe/Divai yenye Alcohol?Divai kwa kingereza ni wine ndivyo ninavyo jua.
Na wine zipo zenye kilevi na visivyo na kilevi.