Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Nashangaa hawa watu awajui hema la kukutania maana yake nini ?Hapo ni wakati wa kuingia hekaluni kuabudu. Ndio wasiingie wakiwa wamelewa. Maana pale mnakutana kuongea Mambo ya Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa hawa watu awajui hema la kukutania maana yake nini ?Hapo ni wakati wa kuingia hekaluni kuabudu. Ndio wasiingie wakiwa wamelewa. Maana pale mnakutana kuongea Mambo ya Mungu.
Tuwekee ushahidi pleaseUkisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Ukishasema divai maana yake tayari ina pombe. Hebu tupe mfano wa divai isiyo na pombe tunayoifahamuWewe una uthibitisho kuwa divai hiyo haikuwa na kilevi ?
Siyo juice ni pombe pia maandiko ayajajichanganya hapo kuzuiwa divai wakutanikapo kwenye hema ya kukutania ni hekaluni ...hapo mungu kakataza kwenda na ulevi hekaluniTatizo biblia inajicontradict. Kuna baadhi ya vitabu vinaonyesha pombe si dhambi. Hebu kwanza tuhakikishie kuwa divai aliyotengeneza yesu ilikuwa ni juice
Nithibitishie kwanza kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua ni Pombe.
Swali lako ni lakijinga kwani kupanda ndege ni dhambi kwasababu mungu ajasema watu wapande ndege ..haya na wewe nionyeshe maandiko yanayo onyesha kuwa mungu kawaambia wanadamu wasafiri kwa ndege badala ya ngamia na farasiSawa Sasa nipe andiko Mungu kawaambia
MNYWE POMBE BAA
Huyo jamaa mtu ni mbishi sijawahi kuona. Afadhali umemletea kamusi.
Sijawahi ona divai ambayo haina alcohol.(naweza kusahihishwa)Ok. Je Divai isiyokuwa na Kilevi (Alcohol) ni POMBE?
Kuna watu ni wabishi nakwambia, subiri atakuja kuipinga hiyo definitionHuyo jamaa mtu ni mbishi sijawahi kuona. Afadhali umemletea kamusi.
Wewe umejuaje kama ilikuwa ni juice ya zabibu na sio pombe? Badilisheni lugha kwenye bibia maana mnachanganya watu...-Ujue Mvinyo hutengenezwa kwa kukamua maji ya mzabibu kisha hutokea juisi divai
-Divai inaweza kuwa juisi isiyolewesha na divai inaweza kuwa pombe iliyokaa mda mrefu na hii huitwa mvinyo.
-Yesu alitengeneza juisi ya mzabibu na sio pombe, angefanya hivyo angekinzana na maandoko mengi katika biblia na hivyo leo hii tungesema Yesu hakuwa mtii kwa maandiko.
31 Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu; Iitiapo bilauri rangi yake, ishukapo taratibu;
32 Mwisho wake huuma kama nyoka; Huchoma kama fira. (Mithali 23:31-32)
2.
Maandiko yapo wazi.View attachment 2066765
Nimemuwekea hapa na kapinga.Kuna watu ni wabishi nakwambia, subiri atakuja kuipinga hiyo definition
Mbona yesu alikwenda baa na kunywa pombe na walevi hadi wayahudi wakamkashifu je unakumbuka jibu alilowapa yesu...wenye afya hawaitaji tabibu bali wagonjwa ..ila kama utabisha kuwa yesu hakunywa pombe ..yesu mwenyewe alisema kuwa yohana alikuja ali wala anywi wakasema ana pepo ila mimi nimekuja nakula na nakunywa wakasema mlevi na mlafiBasi nipe andiko Mungu kawaambia MNYWE POMBE BAA
Sijui kama mnajua maana ya MLEVISOMA HILO ANDIKO.
View attachment 2066782
Mkuu, niliuliza hilo ili kwanza kabisa tuone ni lipi kusudi la Mungu kuruhusu matumizi ya kileo. Mara zote tuyaache maandiko yajifafanue yenyewe.Hebu pitia kidogo hapa mtumishi.
Kumbukumbu la Torati 14:22 Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka.
23 Nawe utakula mbele za Bwana, Mungu wako, mahali atakapochagua apakalishe jina lake, zaka ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yako ya ng'ombe na ya kondoo; ili upate kujifunza kumcha Bwana, Mungu wako, daima.
24 Na njia ikiwa ndefu mno nawe, usiweze kuzichukua kwa kuwa mahali ni mbali nawe mno atakapochagua Bwana, Mungu wako, apakalishe jina lake, hapo atakapokubarikia Bwana, Mungu wako;
25 ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua Bwana, Mungu wako;
26 na zile fedha zitumie kwa cho chote itakachotamani roho yako, ng'ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako cho chote; nawe utakula huko mbele za Bwana, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako.
Pombe maana yake ni kinywaji kinacholevya au kileo.
Ni kwamba hakijakatazwa bali kinywewe kwa kiasi na kwa wakati wake na sio kiulevi. kama vile chakula kuepusha ulafi.
Heading yako inajiconflict yenyewe.Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Kwa hiyo divai ni nini na mvinyo ni nini?Heading yako inajiconflict yenyewe.
Umesema Divai ingaww haukumalizia kusema iliyo njema. Kisha mwishoni unalalamikia mvinyo.
Kama unakunywa usituhusishe tusiohusika
Divai ni sharubatiKwa hiyo divai ni nini na mvinyo ni nini?
Hutaki kusikia tafsiri ya maandiko bali unataka sote tushabikie uongo.Mzaha kivipi?
Uongo upi?Hutaki kusikia tafsiri ya maandiko bali unataka sote tushabikie uongo.