Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Kwamba Yesu Kristo aliruhusu pombe kunywewa wakati kumbe aliondoa pombe na kuweka Roho Mtakatifu.Uongo upi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba Yesu Kristo aliruhusu pombe kunywewa wakati kumbe aliondoa pombe na kuweka Roho Mtakatifu.Uongo upi?
Yohana 2?Kwamba Yesu Kristo aliruhusu pombe kunywewa wakati kumbe aliondoa pombe na kuweka Roho Mtakatifu.
Unauongeleaje huu mstari?Kwamba Yesu Kristo aliruhusu pombe kunywewa wakati kumbe aliondoa pombe na kuweka Roho Mtakatifu.
HakikaUkiondoa kifungu hicho,pia kuna neno linasema "kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi,na sio kimuingiacho".
Tatizo dini zetu ni mapokeo kutoka Kwa wazungu,alafu sisi tunaamini tunaijua(dini/biblia) kuliko wao waliotuletea.
Ndio maana leo makanisa mengi yanahubiri mafanikio,fungu la kumi nk.
Imani na upendo vimewekwa Kandi kama sio msingi wa ukristo,yaani kumjua,kumwabudu na kumtumikia MUNGU sio jambo la msingi.
Mimi naamini kuna mahali tumekengeuka.
Duh umenifungua akili
Nimesoma yote sijaona wapi aliruhusuYohana 2?
Sijaona wapi kasema ameruhusu. Anyway soma jibu langu huko juu
Kama mwenye dini yake alikuwa anachapa mma, sisi ni nani hata tukatazwe?Sijaona wapi kasema ameruhusu. Anyway soma jibu langu huko juu
Karibu kumsifu MunguUkisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Kama mwenye dini yake alikuwa anachapa mma, sisi ni nani hata tukatazwe?
Inategemea wewe umechukulia neno baa kwa maana gani ...ni swala la iq ....hapa tunaongelea sehemu yoyote ya kupata kinywaji cha ulevi kwa pamoja..hata kama ukiwa ukumbi wa harusi kwani ujaona baa zinafanyika harusi hata hapa tzOnesha andiko Yesu Kristo akiwa baa. Ndugu, epuka kuandika uzushi, ni heri kuuliza. Yesu Kristo alikuwa akinywa nyumbani mwa Wayahudi pale walipomwalika, mfano Zakayo mtoza ushuru. Huko alikunywa kama ilivyokuwa desturi ya Wayahudi sio kwa sababu ya ULEVI. Kwa waliofika Uingereza wana desturi ya kunywa wine kabla ya mlo ikiwa kama appetizer. Huo ni mfano wa ilivyokuwa nyakati za Yesu.
Divai siyo pombe. Konyagi ndiyo pombe.Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Hata konyagi sio pombe, pombe kimpumuDivai siyo pombe. Konyagi ndiyo pombe.
Hapana. Hizo spirits zinaharibu akili.Hata konyagi sio pombe, pombe kimpumu
Divai ni nini basiMwanaWaMungu hawezi tengeneza pombe
Sawa, inawezekana kwa upande wako haujawahi kuona.Sijawahi ona divai ambayo haina alcohol.(naweza kusahihishwa)
Labda una maanisha champagne 🍾, isiyo na kilevi
Ndo tupo hapa kujifunza, tutajieSawa, inawezekana kwa upande wako haujawahi kuona.