Muujiza wa Tony Kapola: Je aliombea mtungi mkubwa au mdogo?

Akina Tony na Wote wa aina yake sio Walokole kamwe. Tofautisha hapo Walokole na hao Makanisa ya Kileo
Makanisa ya Kileo huwezi kufuatilia chanzo chao wala kiongozi wao. Wanaibuka popote.
 
Mtangazaji: Pastor kuna muujiza hapa
Pastor: Nini kimetokea
Mtungazaji: Mama anasema alivyobandika picha yako kwenye mtungi umejaa gesi ghafla...
 
wanawake wa siku hizi hawapiki,chakula chake kinapikiwa sinza na mdada anayeuza uji pale church kwake kama anabisha nilete ushahidi
 
Kapola mwenyewe kwenye moja na mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…