Muujiza wa Tony Kapola: Je aliombea mtungi mkubwa au mdogo?

Anatuchukulia sisi wapumbavu kama wanawake wanaowadanganya kwenye makanisa yao yakitapeli
 
Kwanini anatumia nguvu nyingi sana na kejeli juu kuutetea huu muujiza?
Muujiza wa kweli una tabia ya kujitetea,,rejea shuhuda za miujiza za kina Mwakaseghe,,huwa hawahitaji kutumia nguvu kuzitetea,akishaongea imetoka.

...

Amekuja mbali kuanza kuuliza miaka, bank account na kuuliza wanaompangia cha kusema ni nani?eti who are they?viwango vyao vya elimu,eti hawastahili hata kuketi meza moja naye,
Wengine ni hao wanaompa hizo sadaka zinazomtia hiyo jeuri.

Kapola anakuja kudefend muujiza kwamba walipiga magoti wakaomba kupata gesi,
Mkewe alisema Kapola alipuliza gesi wakapika wiki 2.
 
Kapola anakuja kudefend muujiza kwamba walipiga magoti wakaomba kupata gesi,
Mkewe alisema Kapola alipouliza gesi wakapika wiki 2.😂😂😂😂
 
Jiulize watumishi kibao wanafanya miujiza lakini haijawa gumzo hivi.

Kina.mwamposa,gwajima,mzee wa upako,nk kila mahali

Kwann huu wa gesi umekua viral hivi? Unapata jibu ni kwamba Tony Kapola na Mkewe kuna Masharti wameyatindiga huko

Sasa hiii imetumika kama njia yankuwashusha na kweli hili litawashusha na kuwapoteza kabisa.

Yani mimi naamini hawa ni wameumbuliwa kweupe ili watu wajue hapa ni UTAPELINI kaeni makini

Mungu bana ana adhabu zake zikija unaweza usiamini, yani hii adhabu waloipata hawa wataona matokeo yake mwezi ukiisha.

Misifa Mingiiiii eti anajiita mchungaji.... Ngojea tuone trending yake sasa
 
Wanaweza kuwa na mwisho mbaya sana!
 
Ukishaamini Mungu mjuzi wa yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote, huu ujinga mwingine wote wa miujiza ya wachungaji huwezi kuupinga.

Yani huwezi kuupinga ujinga huu halafu ukawa na imani ya Mungu huyo halafu bado ukabaki kuwa logically consistent.

Kwa sababu ujinga huu na imani ya Mungu vyote ni ujinga ule ule tu.

Ni imani katika miujiza. Miujiza ya Mungu.

Sasa ukimpinga huyu Mchungaji halafu bado unaamini Mungu na miujiza yake utajuaje kuwa huu nao si muujiza wa Mungu?

Utakuwa una contradict habari nzima ya kwamba Mungu anaweza kutenda miujiza kwa kupitia watu.

Mimi nisiyeamini Mungu najiona nina nafasi ya kupinga huu ujinga kwa kuwa logically consistent. Kwa sababu siamini habari za Mungu.

Ukishaamini habari za Mungu (muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote) utashangaa nini Mchungaji kujaza gesi? Huo si muujiza mdogo tu kwa Mungu huyo?
 
Anagawa magari bure kivipi😂?

Ukizungumzia money laundering naweza kubali sababu kwa wanachuo ambao wengi ndio huwepo kanisani kwake hakuna sadaka za kumuwezesha yule jamaa kununua Grenadier 2, range rover ya 700 millions.

Kuna namna anafanyika daraja kwenye mipango ya watu kisha anapewa hongo za hayo magari na fedha.
 
Samahani mkuu huyo kwenye picha ndio KAPOLA? Namuona hapo akipuliza gesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…