Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

Ukweli hapa umenigusa kuwa na serikali tatu kwanza ni kurahisisha mpasuko wa kutengana na hii serikali ya muungano itakuwa na kazi ipi hasa, ndani jamhuri moja kuwa na Maraisi watatu nikuzidi kuwanyonya watanzania ambao maisha yao kwa asilimia kubwa hayana mwelekeo kwani hapa naona ni namna ya kuendelea kutafuna kodi za watanzania kwa tabaka moja kuendelela kufaidi viongozi ambao asilimia kumbwa ndiyo wenye maisha bora wakati Mtanzania wa kawada hajui hata mlo wake wa siku utakuwaje. Si busara kabisa kuwa na serikali tatu, how could a Government of about 44m join with a Government with as low as 1m people to share some sorts of equalities. Tunahitaji kuliangalia hili kwa jicho la pili nadhani hapa tunatakiwa kuwa na Serikali moja tu kisha iundwe namna ya kuwa na internal Governmental leadership to both mainland and Zanzibar,hii nadhani itasaidia kuleta heshima ya muungano, marais watatu how!!!!
 
Mkatoliki Mtanganyika Mchaga tangia lini akamuonea huruma Mzanzibari Muislamu!!!!!'?
Kwa Taarifa tu Leo Maalim Seif alikuwa na mkutano Zanzibar kasema hivi-
Lazima kwa maana ya lazima mamlaka kamili ya Zanzibar yapatikane.
Mambo ya nje yatoke ktk Muungano.
Benki kuu na Sarafu itoke ktk Muungano.
Uraia na uhamiaji pia itoke ktk Muungano.
Vyama vya Siasa vitoke ktk Muungano.
mkifanya serikali 3/4/10 kazi kwenu ss tunataka mamlaka kamili!!!.
Mmechanganyikiwa Mfumo kristo unakufa baharini!!
Na MoU inakufa baharini.
Madai ya Waislam wa Tanganyika/
Kujiunga na OIC
Kupumzika Ijumaa
Mgawanyo sawa madaraka ya Serikali
MoU ifutwe.
Mahkama ya Qadhi.
..... mengine utajaza mwenyewe!!!!
 
si wananch ndio wametaka au ni warioba ndio anataka!
Kwanza mkuu,tambua hii sio KATIBA,ni rasimu tu ya katiba,hivyo basi inaweza kuboreshwa kwa kuongeza au kupunguza chochote,maadamu tu kinachoongezwa kina hoja ya maslahi ya nchi,hivyo basi mimi,mwanakijiji na baadhi yetu,nasi kama wananchi wa TZ,tunaonelea kwamba serikali moja inatosha kwa sababu tulizozitaja hapo juu,hata kama kuna wengine walisema serikali 3..Serikali moja,bunge mmoja,rais mmoja,mfumo wa mahakama mmoja,NEC mmoja,TRA mmoja,bendera moja,wimbo mmoja wa Taifa,..
 
huku kwetu tanganyika. mijitu ni mbumbumbu vichwa tasa kila kitu wanareffer kwa nyerere angetokea kusema yy ni mungu wangemfuata. mijitu ya huku inaujinga aisee.
vichwa maji ma emaneno tele hatujui hata kudharauliwa
tumejikumbatisha kwa wazenji japo hawatutaki
hatustaarabiki. tunatembea uchi. hatuwajali wanawake zetu. na hata mama zetu. hatithaminiani. vya pombe sisi. tena vilabuni tunaenda na wake zetu. ushenzi huu tulonao
washatuchoka tuwaacheni
tunajidai lakini hatuwapi chao? inashangaza . tunakasirikaje na mtu kudai chake. aisee watanganyika dhulmaa
 
Mkatoliki Mtanganyika Mchaga tangia lini akamuonea huruma Mzanzibari Muislamu!!!!!'?
Kwa Taarifa tu Leo Maalim Seif alikuwa na mkutano Zanzibar kasema hivi-
Lazima kwa maana ya lazima mamlaka kamili ya Zanzibar yapatikane.
Mambo ya nje yatoke ktk Muungano.
Benki kuu na Sarafu itoke ktk Muungano.
Uraia na uhamiaji pia itoke ktk Muungano.
Vyama vya Siasa vitoke ktk Muungano.
mkifanya serikali 3/4/10 kazi kwenu ss tunataka mamlaka kamili!!!.
Mmechanganyikiwa Mfumo kristo unakufa baharini!!
Na MoU inakufa baharini.
Madai ya Waislam wa Tanganyika/
Kujiunga na OIC
Kupumzika Ijumaa
Mgawanyo sawa madaraka ya Serikali
MoU ifutwe.
Mahkama ya Qadhi.
..... mengine utajaza mwenyewe!!!!

Hayo ndiyo matatizo ya kutumia makalio badala ya ubongo katika kuchambua mambo
 
Kutolewa kwa rasimu ya katiba mpya ambayo imetoa mwelekeo wa kuwa na serikali tatu na hivyo kutoa mwanya wa kuundwa kwa Taifa la Tanganyika, huenda kukawa ndio mwanzo wa wanzanzibar kuonja machungu ya kuishi kwa kujitegemea kiuchumi.

Ni muungano wa serikali mbili uliokuwa unawasitiri wazanzibar wengi kiuchumi kuliko raia wa Tanganyika.

Wazanzibar karibu wote walikuwa wanahudumiwa kiuchumi na serikali ya Tanzania ambayo inakusanya kodi kubwa kutoka kwenye biashara ya pombe, Sigara, Kitimoto, madini, Pamba, nk kutoka upande wa Tanganyika.

Sasa tunapoelekea wazanzibar itabidi waishi kwa kutegemea serikali yao zaidi ambayo inapata mapato kutoka kwenye kilimo cha karafuu(ambacho kipo duni sana) na bandari(ambayo kwa sasa imefifia sana). Zipo ndoto za mafuta Zanzibar, hizi si za kutegemea sana kwa sababu rasilimali hii huwa inawindwa na mataifa tajiri duniani na kichocheo cha vita popote duniani.

Zanzibar imebebwa sana kiuchumi na Tanganyika, sasa ni wakati wake kujibeba, mtoto akililia wembe mpe!!!

Unaandika usichokielewa!
Kwa taarifa yako tu zaidi ya asilimia 60% ya Watalii wanaokuja TZ, wanakwenda Zanzibar, kwa maana nyingine hao watalii wanakuja TZ kwa sababu kuna Zanzibar, na Utalii ktk Nchi yetu ni namba moja au mbili kwa kuingiza mapato Serikalini!

Leo hii tembea Duniani kote uliza watu kuhusu Tanzania watakwambia hawaijui na wala hawajawahi kuisikia, lakini uliza Zanzibar utasikia mara moja wanakwambia its my Dream place!

Usiandike usichokijua!

ZNZ ni kweli wanamtegemea Tz Bara kwani bila Bara kwao ni full njaa na fujo kwani ni walalamishi kupindukia hata wapewe nini hawaachi kulaamika hata wakijitenga Watagombana wenyewe kwa wenyewe Na hao waarabu wanaotaka kuludisha koloni watagombana tu kwani hawatavumilia ulalamishi toka kwa watu ambao wanawasaidia Na Ndoto ya Mafuta Pemba wakumbuke ipo na Bara Pia kwani Bara kuna Bahari kubwa sana Tokea Tanga hada Mtwara imejaa mafuta tele ZNZ watambue Kuwa wao watakuwa Raia wa Kigeni Bara pindi wakijitenga na itakula kwao kulipia viza na vibali vya kuishi na kufanya kazi Bara kinyume na hapo waishi Kama wakimbizi TZ Bara ni Nchi tajiri sana na wananchi wake si walalamishi sana Ndio Maana wana endelea kuwahudumia pasipo ubaguzi
 
Mkatoliki Mtanganyika Mchaga tangia lini akamuonea huruma Mzanzibari Muislamu!!!!!'?
Kwa Taarifa tu Leo Maalim Seif alikuwa na mkutano Zanzibar kasema hivi-
Lazima kwa maana ya lazima mamlaka kamili ya Zanzibar yapatikane.
Mambo ya nje yatoke ktk Muungano.
Benki kuu na Sarafu itoke ktk Muungano.
Uraia na uhamiaji pia itoke ktk Muungano.
Vyama vya Siasa vitoke ktk Muungano.
mkifanya serikali 3/4/10 kazi kwenu ss tunataka mamlaka kamili!!!.
Mmechanganyikiwa Mfumo kristo unakufa baharini!!
Na MoU inakufa baharini.
Madai ya Waislam wa Tanganyika/
Kujiunga na OIC
Kupumzika Ijumaa
Mgawanyo sawa madaraka ya Serikali
MoU ifutwe.
Mahkama ya Qadhi.
..... mengine utajaza mwenyewe!!!!
Duh!Kumbe kelele zote za wazanzibar ni kutafuta Taifa la kiislamu la Zanzibar lenye mamlaka kamili?nilifiri watu msiotaka muungano mna ajenda za maana kumbe vichwa vyenu vimejaa mapovu namna hii!Kawaambie wenzio TANGANYIKA ndio habari ya mujini,hutaki kajilipueee!!!
 
Hapa pasu kwa pasu hakuna cha wabunge 50/20 hata vp!km ni 70 tunataka 35/35.
Hizi ni nchi mbili huru zina haki sawa!km vp kajiungeni na Kenya!
 
Mbona kujiunga na Kenya itakuwa ni faida kubwa sana kuliko kujiunga na ninyi! Hiyo ikitokea hata kesho ni afadhali mara kumi. Maana wakenya watafaidi kutoka kwetu na sisi tutafaidi kutoka kwao, hivyo utakuwa ni muungano wenye tija pande zote Mbili.
 
Unaandika usichokielewa!
Kwa taarifa yako tu zaidi ya asilimia 60% ya Watalii wanaokuja TZ, wanakwenda Zanzibar, kwa maana nyingine hao watalii wanakuja TZ kwa sababu kuna Zanzibar, na Utalii ktk Nchi yetu ni namba moja au mbili kwa kuingiza mapato Serikalini!

Leo hii tembea Duniani kote uliza watu kuhusu Tanzania watakwambia hawaijui na wala hawajawahi kuisikia, lakini uliza Zanzibar utasikia mara moja wanakwambia its my Dream place!

Usiandike usichokijua!

Hao watalii Kama wanakwenda zanzibar Mbona bado ni tegemezi kwa Bara?au hizo pesa zinaliwa na wajanja?kumbuka Tz Bara Ndio Taifa lenye Mbuga nyingi Duniani ni La kwanza likiongoza kwa mito,maziwa,na miongoni mwa mataifa yenye madini kibao . Tatizo ni mgawanyo wa Mapato kwani Bara wanaingiza pesa nyingi lakini wanalazimika kuibeba ZNZ iliyojaa walalamishi kibao
 
Ukweli hapa umenigusa kuwa na serikali tatu kwanza ni kurahisisha mpasuko wa kutengana na hii serikali ya muungano itakuwa na kazi ipi hasa, ndani jamhuri moja kuwa na Maraisi watatu nikuzidi kuwanyonya watanzania ambao maisha yao kwa asilimia kubwa hayana mwelekeo kwani hapa naona ni namna ya kuendelea kutafuna kodi za watanzania kwa tabaka moja kuendelela kufaidi viongozi ambao asilimia kumbwa ndiyo wenye maisha bora wakati Mtanzania wa kawada hajui hata mlo wake wa siku utakuwaje. Si busara kabisa kuwa na serikali tatu, how could a Government of about 44m join with a Government with as low as 1m people to share some sorts of equalities. Tunahitaji kuliangalia hili kwa jicho la pili nadhani hapa tunatakiwa kuwa na Serikali moja tu kisha iundwe namna ya kuwa na internal Governmental leadership to both mainland and Zanzibar,hii nadhani itasaidia kuleta heshima ya muungano, marais watatu how!!!!

so msitoe mapovu! ni mjadala mpaka mtoto atazaliwa!
 
Kwa nini wachaga wa Cdm mnalazimisha muungano kuna nini haiwezekani znz watu hawazidi mil 2 wawe masikini visiwa duniani Vipo juu kiuchumi hapa kwetu masikini Jibuni hoja za wazanzibar nyie wanyonyaji wamewastukia sisi watu wa pwani tunaomba leo kesho wapewe mamlaka kwa nini watu wa kaskazini hamtaki kuna Siri gani?
 
Mkatoliki Mtanganyika Mchaga tangia lini akamuonea huruma Mzanzibari Muislamu!!!!!'?
Kwa Taarifa tu Leo Maalim Seif alikuwa na mkutano Zanzibar kasema hivi-
Lazima kwa maana ya lazima mamlaka kamili ya Zanzibar yapatikane.
Mambo ya nje yatoke ktk Muungano.
Benki kuu na Sarafu itoke ktk Muungano.
Uraia na uhamiaji pia itoke ktk Muungano.
Vyama vya Siasa vitoke ktk Muungano.
mkifanya serikali 3/4/10 kazi kwenu ss tunataka mamlaka kamili!!!.
Mmechanganyikiwa Mfumo kristo unakufa baharini!!
Na MoU inakufa baharini.
Madai ya Waislam wa Tanganyika/
Kujiunga na OIC
Kupumzika Ijumaa
Mgawanyo sawa madaraka ya Serikali
MoU ifutwe.
Mahkama ya Qadhi.
..... mengine utajaza mwenyewe!!!!
Udini hauna nafasi ktk Dunia ya sasa kwani Huko Dubai saudia Libya nk wanatawaliwa na wazungu kifkra huku wakibaki na itikadi zao
 
Chakula kikuu cha zenj ni wali na mchele unaotumiwa ni ule unaotoka pakistan, india au vietnam kuhusu uchumi ni utalii, karafuu, uvuvi hawawezi kufa njaa 1.5 mil people
 
huku kwetu tanganyika. mijitu ni mbumbumbu vichwa tasa kila kitu wanareffer kwa nyerere angetokea kusema yy ni mungu wangemfuata. mijitu ya huku inaujinga aisee.
vichwa maji ma emaneno tele hatujui hata kudharauliwa
tumejikumbatisha kwa wazenji japo hawatutaki
hatustaarabiki. tunatembea uchi. hatuwajali wanawake zetu. na hata mama zetu. hatithaminiani. vya pombe sisi. tena vilabuni tunaenda na wake zetu. ushenzi huu tulonao
washatuchoka tuwaacheni
tunajidai lakini hatuwapi chao? inashangaza . tunakasirikaje na mtu kudai chake. aisee watanganyika dhulmaa

We mtanganyika wa wapi mbulula?ni Tanganyika ipi hiyo ambayo watu si wastaarabu na mbumbumbu?labda kwenu huko kwenye kisiwa cha walalamishi.Kwa taarifa yako watanganyika hawaishi kwa akili za kushikiwa,kila mtu anaishi kwa kuchagua maisha anayotaka kuishi!TUPO HURU na tuliupata mwaka 1961!Karibu Tanganyika!!!!
 
Unaandika usichokielewa!
Kwa taarifa yako tu zaidi ya asilimia 60% ya Watalii wanaokuja TZ, wanakwenda Zanzibar, kwa maana nyingine hao watalii wanakuja TZ kwa sababu kuna Zanzibar, na Utalii ktk Nchi yetu ni namba moja au mbili kwa kuingiza mapato Serikalini!

Leo hii tembea Duniani kote uliza watu kuhusu Tanzania watakwambia hawaijui na wala hawajawahi kuisikia, lakini uliza Zanzibar utasikia mara moja wanakwambia its my Dream place!

Usiandike usichokijua!

Hata kama utalii wa Zenji ungekuwa unaingiza 99.9% ya pato lote la taifa bado kama Tanzania bara haitusaidii chochote. Sababu ya kusema hivyo ni kwamba mfumo wetu wa kiuchumi ni "vyangu ni vyangu na vyako ni vyetu" hivyo kwa kuwa pato la wazanzibari ni lao tu halitusaidii lolote.
 
Watu million 1.5 wanasema chetu ni chetu na chenu nyie million 45 ni chetu na cha wote jumulisha na ulalamishi na udini
 
Kutokusoma na kukosa akili kwako si kosa la serikali bali ni kosa lako mwenyewe! Kuwa na akili ya kiuwendawazimu si lazima uokote makopo![
QUOTE=Boribo;6545785]Mkatoliki Mtanganyika Mchaga tangia lini akamuonea huruma Mzanzibari Muislamu!!!!!'?
Kwa Taarifa tu Leo Maalim Seif alikuwa na mkutano Zanzibar kasema hivi-
Lazima kwa maana ya lazima mamlaka kamili ya Zanzibar yapatikane.
Mambo ya nje yatoke ktk Muungano.
Benki kuu na Sarafu itoke ktk Muungano.
Uraia na uhamiaji pia itoke ktk Muungano.
Vyama vya Siasa vitoke ktk Muungano.
mkifanya serikali 3/4/10 kazi kwenu ss tunataka mamlaka kamili!!!.
Mmechanganyikiwa Mfumo kristo unakufa baharini!!
Na MoU inakufa baharini.
Madai ya Waislam wa Tanganyika/
Kujiunga na OIC
Kupumzika Ijumaa
Mgawanyo sawa madaraka ya Serikali
MoU ifutwe.
Mahkama ya Qadhi.
..... mengine utajaza mwenyewe!!!![/QUOTE]
 
ZNZ ni kweli wanamtegemea Tz Bara kwani bila Bara kwao ni full njaa na fujo kwani ni walalamishi kupindukia hata wapewe nini hawaachi kulaamika hata wakijitenga Watagombana wenyewe kwa wenyewe Na hao waarabu wanaotaka kuludisha koloni watagombana tu kwani hawatavumilia ulalamishi toka kwa watu ambao wanawasaidia Na Ndoto ya Mafuta Pemba wakumbuke ipo na Bara Pia kwani Bara kuna Bahari kubwa sana Tokea Tanga hada Mtwara imejaa mafuta tele ZNZ watambue Kuwa wao watakuwa Raia wa Kigeni Bara pindi wakijitenga na itakula kwao kulipia viza na vibali vya kuishi na kufanya kazi Bara kinyume na hapo waishi Kama wakimbizi TZ Bara ni Nchi tajiri sana na wananchi wake si walalamishi sana Ndio Maana wana endelea kuwahudumia pasipo ubaguzi

haya tumeyakubali yote wacheni yatukute, jst tupeni mwanya w kuchomoka tu. dah mijamaa inaboa cjui imeambowa zanzibar ndo moyo wao. mtwana haachi asilie, kila siku mnatupga kampeni izo kwa izo
na hatufaham basi, tuacheni tupumue
 
Back
Top Bottom