Painlife in Tanzania
Member
- Jun 9, 2013
- 5
- 3
Ukweli hapa umenigusa kuwa na serikali tatu kwanza ni kurahisisha mpasuko wa kutengana na hii serikali ya muungano itakuwa na kazi ipi hasa, ndani jamhuri moja kuwa na Maraisi watatu nikuzidi kuwanyonya watanzania ambao maisha yao kwa asilimia kubwa hayana mwelekeo kwani hapa naona ni namna ya kuendelea kutafuna kodi za watanzania kwa tabaka moja kuendelela kufaidi viongozi ambao asilimia kumbwa ndiyo wenye maisha bora wakati Mtanzania wa kawada hajui hata mlo wake wa siku utakuwaje. Si busara kabisa kuwa na serikali tatu, how could a Government of about 44m join with a Government with as low as 1m people to share some sorts of equalities. Tunahitaji kuliangalia hili kwa jicho la pili nadhani hapa tunatakiwa kuwa na Serikali moja tu kisha iundwe namna ya kuwa na internal Governmental leadership to both mainland and Zanzibar,hii nadhani itasaidia kuleta heshima ya muungano, marais watatu how!!!!