Masakata
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 374
- 137
so msitoe mapovu! ni mjadala mpaka mtoto atazaliwa!
..ila tungependa kuusoma mchango wako na wewe mkuu,serikali moja,mbili or tatu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
so msitoe mapovu! ni mjadala mpaka mtoto atazaliwa!
Chakula kikuu cha zenj ni wali na mchele unaotumiwa ni ule unaotoka pakistan, india au vietnam kuhusu uchumi ni utalii, karafuu, uvuvi hawawezi kufa njaa 1.5 mil people
Mbona kujiunga na Kenya itakuwa ni faida kubwa sana kuliko kujiunga na ninyi! Hiyo ikitokea hata kesho ni afadhali mara kumi. Maana wakenya watafaidi kutoka kwetu na sisi tutafaidi kutoka kwao, hivyo utakuwa ni muungano wenye tija pande zote Mbili.
Chama cha magamba ndicho kinachowang'ang'ania na sio Watanganyika wanaoelewa uthamani wa utanganyika wao! Subiri tu maana bado kitambo kidogo mtaachwa muwe mataifa mawili huru yaani Unguja na Pemba. Kama hamuamini, ombeni tu maisha marefu ili mshuhudie wenyewe. Zanzibar ni lazima iwe mataifa mawili lakini Tanganyika tutabaki taifa moja maana sisi sote ni ndugu na maana ya udugu tunaijua.mbona bado mnatungangania sie kama ni wa kweli c mukanigotiate na wakenya
Chama cha magamba ndicho kinachowang'ang'ania na sio Watanganyika wanaoelewa uthamani wa utanganyika wao! Subiri tu maana bado kitambo kidogo mtaachwa muwe mataifa mawili huru yaani Unguja na Pemba. Kama hamuamini, ombeni tu maisha marefu ili mshuhudie wenyewe. Zanzibar ni lazima iwe mataifa mawili lakini Tanganyika tutabaki taifa moja maana sisi sote ni ndugu na maana ya udugu tunaijua.
Hata kama utalii wa Zenji ungekuwa unaingiza 99.9% ya pato lote la taifa bado kama Tanzania bara haitusaidii chochote. Sababu ya kusema hivyo ni kwamba mfumo wetu wa kiuchumi ni "vyangu ni vyangu na vyako ni vyetu" hivyo kwa kuwa pato la wazanzibari ni lao tu halitusaidii lolote.
Pia unasahau kuwa Zanzbar sasa tutajiunga na OIC pamoja na mataifa ya Kiarabu ambapo katika Muungano tumekuwa tukikatazwa! Tutapata misaada mingi toka nje ambayo mingine ilikuwa inamezwa na muungano.
We mtanganyika wa wapi mbulula?ni Tanganyika ipi hiyo ambayo watu si wastaarabu na mbumbumbu?labda kwenu huko kwenye kisiwa cha walalamishi.Kwa taarifa yako watanganyika hawaishi kwa akili za kushikiwa,kila mtu anaishi kwa kuchagua maisha anayotaka kuishi!TUPO HURU na tuliupata mwaka 1961!Karibu Tanganyika!!!!
Hayo ndiyo matatizo ya kutumia makalio badala ya ubongo katika kuchambua mambo
Basi labda haujaelewa, utasemaje haitusadii chochote wakati Chanzo kikubwa cha mapato Tanzania kinatokana na Utalii?
Maana yake ni kwamba kuanzia Mishahara mpaka pesa za kujengea Miundo Mbinu kwa namna moja au nyingine zinatokana na Mapato ya utalii, sasa unaposema haitusaidii chochote sijui unamaanisha nini!!
Hao watalii Kama wanakwenda zanzibar Mbona bado ni tegemezi kwa Bara?au hizo pesa zinaliwa na wajanja?kumbuka Tz Bara Ndio Taifa lenye Mbuga nyingi Duniani ni La kwanza likiongoza kwa mito,maziwa,na miongoni mwa mataifa yenye madini kibao . Tatizo ni mgawanyo wa Mapato kwani Bara wanaingiza pesa nyingi lakini wanalazimika kuibeba ZNZ iliyojaa walalamishi kibao
Mi sioni haja ya kupoteza muda na resources zetu kama tunaona kwa kuunda serikali tatu tutafikia huko!why?kwa nini??...Sioni namna ya Wazanzibar kuridhia mfumo wowote wa Muungano, hivyo Nasema NDIYO kwa Serikali tatu kwa sababu moja kubwa, hii ni njia rahisi na ya wazi kuelekea kwenye serikali moja ya Jamhuri ya Tanganyika...
Tanganyika ndio wapi? Nimetafuta kwenye ramani sijaiona. Labda tupe longitude na latitude data.
Ninamaanisha Haitusaidii watanganyika. Hata kama Zanzibar wataondoka leo bado tutaendelea kuendesha maisha yetu ya kila siku kama kawaida, tena nafasi zilizozibwa na wapemba waliojazana kariakoo na maeneo mengine zitakuwa wazi na zitachukuliwa na wabara. Siamini kama uchumi wetu utakufa eti kwasababu Zanzibar imejitenga ni sisi.
Excellent economic plan! Umesahau na kitu kingine.
Zanzibar yenye mamlaka kamili Watakuwa kama Dubai.
Itakuwa Center ya biashara kwa watu wa Afrika ya Mashariki yooooote na nchi zote za maziwa makuu.
Hiyo ni plan A. Hiyo ikisumbua watahamia Plan B. Watachukua "The Singapore Model." ha ha ha ha...
we msahaulifu ee?!
Hapa pasu kwa pasu hakuna cha wabunge 50/20 hata vp!km ni 70 tunataka 35/35.
Hizi ni nchi mbili huru zina haki sawa!km vp kajiungeni na Kenya!
Yes tunataka hivyo .....na Mbunge mmoja tu kwa kila jimbo la uchaguzi.........(na kwangu mimi well, it doesn't matter whether that 'serikali moja...........moja' comes under TANZANIA as one sovereign country or TANGANYIKA as one sovereign country with no blah blah ya shirikisho with three governments.Kwanza mkuu,tambua hii sio KATIBA,ni rasimu tu ya katiba,hivyo basi inaweza kuboreshwa kwa kuongeza au kupunguza chochote,maadamu tu kinachoongezwa kina hoja ya maslahi ya nchi,hivyo basi mimi,mwanakijiji na baadhi yetu,nasi kama wananchi wa TZ,tunaonelea kwamba serikali moja inatosha kwa sababu tulizozitaja hapo juu,hata kama kuna wengine walisema serikali 3..Serikali moja,bunge mmoja,rais mmoja,mfumo wa mahakama mmoja,NEC mmoja,TRA mmoja,bendera moja,wimbo mmoja wa Taifa,..