Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

Chakula kikuu cha zenj ni wali na mchele unaotumiwa ni ule unaotoka pakistan, india au vietnam kuhusu uchumi ni utalii, karafuu, uvuvi hawawezi kufa njaa 1.5 mil people

Excellent economic plan! Umesahau na kitu kingine.
Zanzibar yenye mamlaka kamili Watakuwa kama Dubai.
Itakuwa Center ya biashara kwa watu wa Afrika ya Mashariki yooooote na nchi zote za maziwa makuu.

Hiyo ni plan A. Hiyo ikisumbua watahamia Plan B. Watachukua "The Singapore Model." ha ha ha ha...
we msahaulifu ee?!
 
Pia unasahau kuwa Zanzbar sasa tutajiunga na OIC pamoja na mataifa ya Kiarabu ambapo katika Muungano tumekuwa tukikatazwa! Tutapata misaada mingi toka nje ambayo mingine ilikuwa inamezwa na muungano.
 
Mbona kujiunga na Kenya itakuwa ni faida kubwa sana kuliko kujiunga na ninyi! Hiyo ikitokea hata kesho ni afadhali mara kumi. Maana wakenya watafaidi kutoka kwetu na sisi tutafaidi kutoka kwao, hivyo utakuwa ni muungano wenye tija pande zote Mbili.

mbona bado mnatungangania sie kama ni wa kweli c mukanigotiate na wakenya
 
Jamaa wanaamini sana kwenye ushirikina, ukienda maeneo ya Ilala ambako wameweka ngome kwa kujaa sana utashangaa karibu kila nyumba ina mtoto zezeta! Hawa watu ni nouma. Utajiri wao wengi unatokana na NGUVU ZA MAJINI... Wazenji ni nouma
 
mbona bado mnatungangania sie kama ni wa kweli c mukanigotiate na wakenya
Chama cha magamba ndicho kinachowang'ang'ania na sio Watanganyika wanaoelewa uthamani wa utanganyika wao! Subiri tu maana bado kitambo kidogo mtaachwa muwe mataifa mawili huru yaani Unguja na Pemba. Kama hamuamini, ombeni tu maisha marefu ili mshuhudie wenyewe. Zanzibar ni lazima iwe mataifa mawili lakini Tanganyika tutabaki taifa moja maana sisi sote ni ndugu na maana ya udugu tunaijua.
 
umeona eee?!
 
Hata kama utalii wa Zenji ungekuwa unaingiza 99.9% ya pato lote la taifa bado kama Tanzania bara haitusaidii chochote. Sababu ya kusema hivyo ni kwamba mfumo wetu wa kiuchumi ni "vyangu ni vyangu na vyako ni vyetu" hivyo kwa kuwa pato la wazanzibari ni lao tu halitusaidii lolote.

Basi labda haujaelewa, utasemaje haitusadii chochote wakati Chanzo kikubwa cha mapato Tanzania kinatokana na Utalii?
Maana yake ni kwamba kuanzia Mishahara mpaka pesa za kujengea Miundo Mbinu kwa namna moja au nyingine zinatokana na Mapato ya utalii, sasa unaposema haitusaidii chochote sijui unamaanisha nini!!

Pia unasahau kuwa Zanzbar sasa tutajiunga na OIC pamoja na mataifa ya Kiarabu ambapo katika Muungano tumekuwa tukikatazwa! Tutapata misaada mingi toka nje ambayo mingine ilikuwa inamezwa na muungano.

hakuna atayewakataza kula matapishi yenu huko arabuni. kajiungeni kokote mnakotaka.
 
We mtanganyika wa wapi mbulula?ni Tanganyika ipi hiyo ambayo watu si wastaarabu na mbumbumbu?labda kwenu huko kwenye kisiwa cha walalamishi.Kwa taarifa yako watanganyika hawaishi kwa akili za kushikiwa,kila mtu anaishi kwa kuchagua maisha anayotaka kuishi!TUPO HURU na tuliupata mwaka 1961!Karibu Tanganyika!!!!

Tanganyika ndio wapi? Nimetafuta kwenye ramani sijaiona. Labda tupe longitude na latitude data.
 
Hayo ndiyo matatizo ya kutumia makalio badala ya ubongo katika kuchambua mambo

Tanganyika ijiandae na mgogoro mkubwa wa dini
Wabunge 100 wa zanzibar wakiondoka bunge litabaki kuwa la wakristo
Mfumo utakua wazi kuonekana kazi kwenu
 
Basi labda haujaelewa, utasemaje haitusadii chochote wakati Chanzo kikubwa cha mapato Tanzania kinatokana na Utalii?
Maana yake ni kwamba kuanzia Mishahara mpaka pesa za kujengea Miundo Mbinu kwa namna moja au nyingine zinatokana na Mapato ya utalii, sasa unaposema haitusaidii chochote sijui unamaanisha nini!!

Ninamaanisha Haitusaidii watanganyika. Hata kama Zanzibar wataondoka leo bado tutaendelea kuendesha maisha yetu ya kila siku kama kawaida, tena nafasi zilizozibwa na wapemba waliojazana kariakoo na maeneo mengine zitakuwa wazi na zitachukuliwa na wabara. Siamini kama uchumi wetu utakufa eti kwasababu Zanzibar imejitenga ni sisi.
 
Hao watalii Kama wanakwenda zanzibar Mbona bado ni tegemezi kwa Bara?au hizo pesa zinaliwa na wajanja?kumbuka Tz Bara Ndio Taifa lenye Mbuga nyingi Duniani ni La kwanza likiongoza kwa mito,maziwa,na miongoni mwa mataifa yenye madini kibao . Tatizo ni mgawanyo wa Mapato kwani Bara wanaingiza pesa nyingi lakini wanalazimika kuibeba ZNZ iliyojaa walalamishi kibao

Unachukulia kigezo gani kusema kwamba Zanzibar ni tegemezi kwa Bara? tatizo ni mfumo, yaani pesa yote ya Utalii inaiingia Serikali kuu, halafu Serikali kuu ndio inawagiwia Zanzibar fungu, kama vile kinavyowagawia Mwanza au Tunduma!

Ni kweli kwamba TZ Bara tuna vivutio vingi vya utalii lkn havina maana yoyote au vina maana kidogo ukilinganisha na Zanzibar, na moja ya sababu kubwa ni kwamba Utalii Tanzania Bara ni aghali sana kwa Mgeni kwa mfano kupanda tu Ml kili ni Dolla 600 sasa hiyo ni pesa nyingi sana kwa Mtalii wa kawaida na Vivutio vingine vilivyobaki ni hivyo hivyo!

Ingawaje tuna vivutio vingi lkn idadi ya Watalii wanaokuja Tanzania kwa ajili tu ya vivutio vya vyetu ni ndogo sana, na sehemu kubwa wanakuja tu kwa sababu ndani ya Tanzania kuna Zanzibar!
 
...Sioni namna ya Wazanzibar kuridhia mfumo wowote wa Muungano, hivyo Nasema NDIYO kwa Serikali tatu kwa sababu moja kubwa, hii ni njia rahisi na ya wazi kuelekea kwenye serikali moja ya Jamhuri ya Tanganyika...
Mi sioni haja ya kupoteza muda na resources zetu kama tunaona kwa kuunda serikali tatu tutafikia huko!why?kwa nini??
Tuwaachie wazanzibari nchi yao TUKUFU nasi tuendelee na mambo yetu na Tanganyika yetu!Tuachane kwa amani tuwe nchi mbili jirani na marafiki.
SO, NO TO SERIKALI TATU; YES TO SERIKALI MOJA,AU NCHI MBILI HURU-TANGANYIKA NA ZANZIBAR HURU.
 
Tanganyika ndio wapi? Nimetafuta kwenye ramani sijaiona. Labda tupe longitude na latitude data.

Ukitaka kuipata Tanganyika kwenye ramani ni very simple;
Angalia mahali ramani ya Tanzania ilipo ondoa vijisiwa vidogo vya Zanzibar upande wa mashariki hapo utakuwa umeipata TANGANYIKA!Umeelewa!?
 
mnatetemeka sasa maneno teleee kama mnaibeba znz kiuchumi wenyewe hawataki tenaaa
zanzibar hakuaza 1964 kuwa nchi.....znz imekuwa dola kwa mamia ya miaka kabla tanganyika kulikuwa porini tu.
eti tanzania bara atajina la nchi yao hawalijui misukule ya nyerere.....
TUMESEMA TUNATAKA MAMLAKA KAMILI FULLSTOP msitutafute undani nila mmoja akaangalie utarabu mbele kwa amanii kabla hayajazuka mengine hapa
 
Ninamaanisha Haitusaidii watanganyika. Hata kama Zanzibar wataondoka leo bado tutaendelea kuendesha maisha yetu ya kila siku kama kawaida, tena nafasi zilizozibwa na wapemba waliojazana kariakoo na maeneo mengine zitakuwa wazi na zitachukuliwa na wabara. Siamini kama uchumi wetu utakufa eti kwasababu Zanzibar imejitenga ni sisi.

Unajua unafurahisha sana, unaandika kama vile kuna Ugomvi kati ya watu wawili walio sawa, kumbuka Zanzibar ambayo unapoteza muda kuiongelea hapa ina watau chini ya milioni na km za Mraba 2500, wakati sisi tuna watu milioni 40 na km za Mraba karibu milioni moja, hivi huoni kama watu wengine wanaweza kukushangaa kushindisha hivyo vitu viwili?

Zanzibar wanakunyima nini? kuwepo kwao au kutokuwepo kwao?

Excellent economic plan! Umesahau na kitu kingine.
Zanzibar yenye mamlaka kamili Watakuwa kama Dubai.
Itakuwa Center ya biashara kwa watu wa Afrika ya Mashariki yooooote na nchi zote za maziwa makuu.

Hiyo ni plan A. Hiyo ikisumbua watahamia Plan B. Watachukua "The Singapore Model." ha ha ha ha...
we msahaulifu ee?!

Kwa kuanzia hawawezi kua kama Dubai au singapore lkn baada ya kuchimba mafuta yao who knows?
 
Hapa pasu kwa pasu hakuna cha wabunge 50/20 hata vp!km ni 70 tunataka 35/35.
Hizi ni nchi mbili huru zina haki sawa!km vp kajiungeni na Kenya!

Hii ni sawa na hadithi za ABUNUASI hakuna cha 50/50 maana kuna nchi na KA-nchi haiwezi kusa sawa
 
Kwanza mkuu,tambua hii sio KATIBA,ni rasimu tu ya katiba,hivyo basi inaweza kuboreshwa kwa kuongeza au kupunguza chochote,maadamu tu kinachoongezwa kina hoja ya maslahi ya nchi,hivyo basi mimi,mwanakijiji na baadhi yetu,nasi kama wananchi wa TZ,tunaonelea kwamba serikali moja inatosha kwa sababu tulizozitaja hapo juu,hata kama kuna wengine walisema serikali 3..Serikali moja,bunge mmoja,rais mmoja,mfumo wa mahakama mmoja,NEC mmoja,TRA mmoja,bendera moja,wimbo mmoja wa Taifa,..
Yes tunataka hivyo .....na Mbunge mmoja tu kwa kila jimbo la uchaguzi.........(na kwangu mimi well, it doesn't matter whether that 'serikali moja...........moja' comes under TANZANIA as one sovereign country or TANGANYIKA as one sovereign country with no blah blah ya shirikisho with three governments.
 
Back
Top Bottom