Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya tumeyakubali yote wacheni yatukute, jst tupeni mwanya w kuchomoka tu. dah mijamaa inaboa cjui imeambowa zanzibar ndo moyo wao. mtwana haachi asilie, kila siku mnatupga kampeni izo kwa izo
na hatufaham basi, tuacheni tupumue
Tusubiri tuone, Tangu lini mwarabu wa pemba na mtu mweusi wa unguja wakawa ndugu? Ninyi semeni kwamba tangu historia mmekuwa na uhusiano wa Mabwana na watwana. Lakini sio kutuambia ndugu. Kuna mawili: kama sio kuwa na pemba na unguja kama mataifa mawili basi itakuwa ni waarabu wa pemba kuwatawala weusi wa zenji.Zanzibar ilikuwepo zaidi ya miaka 1000 na hakujawahi kutokea historia ya watu wa unguja na pemba kupigana sisi ni ndugu damu na mila na desturi zetu ni moja na hata siku moja haitatokea sisi kuuwana kama nyie watanganyika:israel:
Yaani na ninyi mnajivuna kwamba mmeendelea kiasi cha kuiona bara haijaendelea? ama kweli nyani halioni _ _ _ _ _ .hyo atakuwa mwalimu ndio amekusomesha vibaya ila endelea kutoka povu wadanganyika ujinga ndio ibada ndio maana mpaka leo maendeleo mnaona kwenye tv na hii ndo sera yenu zidumu fikra za mwalimu.
Umenena vema kwamba wajinga ndio waliwao. Hii ndio maana Tunaitawala Zanzibar. Nafikiri kwa hapo umeshajua kati ya Tanganyika na Zanzibar nani mjinga na nani mwerevu.Hii tabia ya kwa sadala ndio inayoifanya Tanganyika kujifanya mkoloni mweusi kwa Zanzibar, mnapenda mteremko, hamtaki kujituma, mna raslimali mnazikalia. Kwa taarifa yenu wakenya tuu ndio watakaonufaika mukiungana na Kenya, maana wajinga ndio walio wao na nyinyi (tanganyika) wajinga, wakenya ndio wanaouza tanzanite nje kuliko Tanzania, wakenya ndio wenye mlima kilimanjaro na serengeti kwa sababu bado mmelala, na ndio maana Tanganyika yenu ikayayuka bila hata kujijua mnafanya nini, kwa sababu vichwa vyenu povu tupu, kwa hiyo usitegemee mkiungana na kenya mtafaidika ndio watakumalizeni kila kitu kitakuwa chao mpaka gesi ya mtwara. tanganyika itabaki kama Yomba Yomba
Nadhani sasa umefika wakati wa kuwaacha Wanzanzibar wadai nchi yao wenyewe. Hata sisi Watanganyika tunataka nchi yetu, full stop. Hatutaki muungano...
kwa kweli ningekuwa RAISI leo ningetengeneza mazingira watanganyika tubaki wenyewe. Hao mdebwedo siwataki hata kuwasikia. jamaani nendeni zenu huko Zanzibar. Na mmeajiriwa wengiiii Tanganyika sasa mtajazana ofisi gani kwenu huko?
KTK NCHI HII KUNA KASUMBA ZA KUTAKA KUZIMA MAWAZO NA MAMBO AMBAYO YAKO OBVIOUS. ETI MUUNDO WA SERKALI 2 NDIO ULIOKUBALIKA. JE ULIKUBALIKA NA NANI KAMA SIYO KUNDI LA WACHACHE? TUJIULIZE WALIFANYA HIVYO KWA FAIDA YA NANI KAMA SIYO USHABIKI WA AFRIKA NZIMA KUUNGANA? TUSIPAKE RANGI NYEUPE HAli ndani tuna rangi nyeusi. kuna mawazo ya ajabu sana eti wazanzibari wanahitaji identity. kwahiyo sisi watanganyika hatuhitaji IDENTITY? KUNA NINI HAPA. IKIWA NA NCHI HUHITAJI IDENTITY HII ANALOGY INANISHANGAZA SANA. NI LAZIMA TURUHUSU MAWAZO YA WATU WOTE SIYO KUTEKWA NA KUNDI LA WATAWALA HAWA WASI NA HURUMA. KWANIN WABONGO WAKIENDA ZENJI WANAONEKANA KUWAKATAA WABARA KWA KUWACHOMEA BIASHARA , MAKANISA, LAKINI WANAPOKUJA BARA KUHEMEA WANAKUWA WAPOLE GHAFLA NA KUUENZI MUUNGANO? MIMI NAPATA SHIDA na unafiki huu wa watu wa zanzibar. kama tumeamua zanzibar kuwa na serkali haina budi tuanzishe yabara pia ili mijadala inayohusu Tanganyika wazenji wasiwe na fursa ya kujadili mambo yetu kama ilivyo wao wanapojadili mambo yao katika BARAZA LAO TUKUFU LA MAPINDUZI na Baraza la Wawakilishi. UTUKUFU WA BARAZA LAO HAUWEZI KUIUA TANGANYIKA NA SISI TUBAKI TUNANG'AA MACHO PIMA , LAZIMA TUFANYE KITU, HUWEZI KUOMBA MTOTO BILA KUSHUGHULIKIA MAMBO YA MSINGI YA KUPATA MTOTO. KWAHIYO NI WAKATI WETU SASA WATANGANYIKA TUIDAI SERKALI YETU, VINGINEVYO KAMA SIYO BASI GHARAMA YA KUIKOSA TANGANYIKA NI LAZIMA IWE NI GHARAMA YA KUIKOSA ZANZIBAR. HATUWEZI KUBAKI NA WATU NDANI YA NCHI MOJA WATAKA IDENTY HALAFU SISI TUNAIZIKA IDENTITY.[h=5]Sema hapana Serikali "Tatu", Sema ndiyo "Serikali moja". Nchi moja, Taifa Moja, Watu wamoja - nje ya hapo Hapana!!! Tumeshatengeneza ulaji na ukiritimba wa kutosha kwenye serikali mbili halafu tunataka kuongeza serikali ya tatu? Mizigo miwili midogo imetushinda (tunahangaika nayo) halafu magenius wetu wanataka kutupa mizigo mitatu mikubwa!? Kwanini tusiamue kutengeneza mzigo mmoja tu tukaubeba!?[/h]Pamoja na jaribio dhaifu la Tume ya Warioba kupendekeza kuikataa majimbo, pendekezo lao la Katiba Mpya kimsingi linatengeneza majimbo yale yale (States) ambapo kutakuwa na majimbo mawili - Tanganyika na Zanzibar! Kwa sababu kama nchi mbili zimeungana na kuunda 'Shirikisho" basi zile zilizoungana haziwezi kuendelea kuwa nchi tena; zinahamisha hakimiya (sovereignty) yake kwenda kwenye federal government isipokuwa kama kilichoundwa (Shirikisho) siyo nchi! Kwa kuanzisha mfumo wa Majimbo - Jimbo la Tanganyika litakuwa na nguvu kubwa sana kuliko jimbo la Zanzibar. Lakini kama wakiamua kufanya hali ya sawa katika kuendesha serikali ya Jamhuri ya Muungano Zanzibar itaonewa kwani ikitakiwa kuchangia nusu ya gharama za kuiendesha serikali ya Muungano italalamika mno na sidhani kama Wazanzibari watatakiwa kukubali mfumo huo. Kwa sababu hiyo njia ya kuimarisha "Muungano" kama lengo ndio hilo basi ni kuingia Serikali Moja ya Kitaifa na Nchi Moja - siyo serikali tatu za kitaifa. Chini ya serikali hiyo moja ya kitaifa (federal government) kutakuwa na serikali za Majimbo (States) ambapo Zanzibar itabakia kama ilivyo (Visiwa vya Mafia, Bagamoyo, Pangani vinaweza kuongezwa huko... I know.. I know.. au ikagawanywa Unguja ikawa kivyake na Pemba kivyake!.) halafu Tanganyika igawanywe kwa States saba hivi ambazo zitaunda 'Regional Governments). Chini ya Regional Governments kutakuwa na "Local Governments" za Miji, Majiji, Vijiji na mifumo mingine ya kujitegemea. Na maneno mengine mengi.... In short.. Tusikubali serikali tatu za nchi; bali serikali moja, nchi moja, taifa moja na watu wamoja.. Mapendekezo ya Tume ya Warioba kuwabebesha Watanzania mizigo hii ni ya kupingwa, kukataliwa na kupuuzwa.
I agree with you Mzee Mwanakijiji mzigo wa kuendesha hizi unatushinda elimu duni afya duni huduma duni yote hii ni uhaba wa fedha sasa serikali tati tena jamani hii tuseme hapana tuungane na ccm kuukataa
Acha kuaminishwa ujinga, nchi hii ina pesa kuliko unavyofikiri, mianya ya wizi, rushwa, ufisadi, misamaha ya kodi na mengi yanayofanana na hayo yakidhibitiwa, pesa itatosha kuhudumia serikali zote za EAC.
Tatizo sasa hivi hatuna serikali ya kuwatumikia watu, bali tuna genge la mafisadi na wezi ndilo linalotuongoza. Ukitaka kujua pesa zinavyoliwa wafuatilie sasa hivi wafanyakazi wa Halmashauri uone wanavyo funga kasma zao. Wanatunga project hewa wanakomba pesa za miradi benki ili kusiwepo fungu linalorudi hazina. Achana na serikali ya CCM ni balaa!
Nikupe mfano: Mtu mume akioa mtu mke mbona hasemi nimeongeza gharama, na je anaweza akasema tusizae kwanza maana gharama itaendelea kuwa kubwa? Mambo mengine ni kuaminishwa ujinga na magamba, Serikali tatu zije, hata za majimbo zije kwani ndiyo tutadhibitiana wenyewe kwa wenyewe!