Baba wa Taifa la Zanzibar ni John Okello a.k.a Field Marshal au Mungu wa Afrika,
Karume alikabidhiwa madaraka kutoka kwa Okello chini ya MSAADA wa Julius Nyerere huyohuyo uliyelishwa maneno kuwa alimuua Karume!
Tuwafahamishe rasmi Wazanzibar kuwa hakuna Mzanzibar HALISI anaetaka muungano uvunjwe bali WAHAMIAJI (waarabu) ndio wenye chokochoko hizo na wamewapandikiza watu chuki hizo bila watu hao kujua hasa nini wanakichukia!
Muungano huu ukivunjia hata dakika hii, Tanganyika haina hata chembe ya HASARA bali mateso na mahangaiko yako kwa Wazanzibar HALISI!
Bajeti ya Zanzibar ni kadilio la bilioni 610 hivi watika makusanyo ya mapato yake yote kwa mwaka ni kadilio la bilioni 120 hivi,
Hebu tafakari pengo la bajeti hiyo hutolewa na Tanganyika!
Kwenye kapu la Muungano bajeti ni kadirio la bilioni 1536 hivi wakati huo Zanziba huchangia kadilio la bilioni 24 hivi tu, baada ya kuchangia tu ofisi ya rais wa Zanziba hupewa kadilio la bilioni 36 hivi kutoka kwenye kapu hilo, hivi kimantiki Zanzibar inakuwa imechangia 0 na kuchota 36 bilioni,
Takwimu hizo zinaweza zisiwe halisi kabisa lakini zinaakisi ukweli huo,
Sasa kwa mtu mpumbavu atasema Muungano unawanufaisha zaidi Tanganyika bila kujua ukweli,
Haya tuje mengine haya,
Zanzibar haina bajeti ya wizara ya ulinzi tangu ipate uhuru mwaka 1963, hutegemea TANGANYIKA
Zanzibar haina bajeti ya Elimu ya juu tangu uhuru 1963, wanafunzi wa elimu ya juu husoma bure huku wenzao wa bara wanakopeshwa, hivyo mzazi wa Tanganyika humlipia mkopo huo hata mtoto wa kizanzibari na wote wanakuja bara kutafuta kazi pamoja! Katika hilo Zanzibar huitegemea TANGANYIKA,
Zanziba hawajui gharama za Umeme, bili zao hulipwa kwa kodi za watanganyika!
Haya tuwaulize wazanzibar kuwa Tanganyika inapata faidi gani kutoka Zanzibar zaidi ya ulinzi uliokuwa ukitazamwa enzi za vita baridi?
Zanziba haina vitega uchumi vingine zaidi ya Karafuu, Uvuvi na Utalii,
Je leo wakijitenga wataweza kuhudumia jamii hiyo kwa ufanisi kwakutegemea vitegauchumi hivyo?
Leo Tanganyika ikiamua kujenga vivutio vyake vya kitalii katika pwani za Bagamoyo, Tanga, Dar, Lindi na Mtwara kuna mtalii atakanyaga Zanzibar???
Hali iliyopo pale zanziba na pato lake, kama ikijitenga leo hii, haiwezi kujiendesha zaidi ya siku 15!
Propaganda za kuwaangamiza wazanzibar ni hatari sana!
Leo hii kiongozi wa chokochoko za kuuvunja muungano huu Maalim Seif hataki muungano huu unvunjike ila anataka uboreshwe, jiulize kwanini hataki uvuninjwe??
Anajua ukweli wa mambo na anashindwa kuwaeleza ukweli huo nyinyi aliowadanganya, badala yake anataka muungano wa MKATABA, jiulizeni kwanini anataka wa muungano wa MKATABA?
Watanganyika HATUTAKI muungano wa MKATABA,
Tunataka kama mnataka muungano uvunjike basi iwe hivyo,
Tunawataka muende salama salimini!