Yericko, wala hakuzungumza kichama. Amezungumza kwa kutumia tume ya maridhiano ambayo haina nguvu za kisheria, kikatiba au vyovyote.Maalimu Seif ni sehemu ya Serikali ya Zanzibar,
Kwanini hakuzungumza kiserikali na badala yake anazungumza kichama?
Watanganyika tunataka muungano uvunjwe kabisa sio marekebisho,
Zanzibar iwe huru tena hata leo, angalau tutapumua
Yericko, wala hakuzungumza kichama. Amezungumza kwa kutumia tume ya maridhiano ambayo haina nguvu za kisheria, kikatiba au vyovyote.
Alichokifanya ni kujificha katika dema na kutema alichokitaka yeye.
Hakuna sababu za makamu wa rais kuongelea mambo mazito kama haya katika viunga vya minazi. Shame!
Ni hivi hiyo tume haipo kisheria na hivyo haina uhalali wa kuongelea matakwa ya raia. Hilo ni tofauti na matakwa ya raia kufanyiwa kazi na chombo chenye nguvu za kisheria.Nguruvi unamaanisha nini unaposema "tume ya maridhiano" haina nguvu kisheria? Hapa tunaangalia nguvu za kisheria au matakwa ya wananchi?
hapa ndipo kwenye tatizo Yericko!Watanganyika tunataka muungano uvunjwe kabisa sio marekebisho,
hapa ndipo kwenye tatizo Yericko!
Watanganyika wengi siku hizi wanataka Muungano uvunjwe lakini tatizo wapo peke yao hawana support ya viongozi (labda unitajie viongozi wawili tu wa juu serikalini wanaotaka muungano uvunjike) tofauti na wenzao Wazanzibar hawautaki Muungano na wana support kutoka kwa viongozi wao.
Bila ya kushirikisha uongozi au viongozi wa kiserikali sioni kama mtafanikiwa kuipata Tanganyika.
Rasimu ikitoka isome. Kama kuna jambo lisilo na masilahi na Tanganyika kataa.Mimi kama Mtanganyika natakiwa kufanya nini ili kuisaidia zanzibar kuwa Taifa Huru? Ushauri tafadhali.
Ndiyo maana kazi ya kuwafanya wajielewe imekamilika.Sidhani kama maoni ya kuuvunja watanganyika walisema kwenye tume ya warioba,wao watanganyika kazi yao ilikuwa kuyalaumu maoni ya wazbr kwenye ile tume,nawaonea huruma sana watanganyika hawajielewi.
Hawa jamaa uliberali umewaaafect bongo zao. They can't think rationally. Wanashindwa kusema ..muungano basi... wanabwabwaja tu huko kibandamaiti. MIMI NI MMOJAWAPO NINAYEUPINGA HUO MUUNGANO WA KIPUUZI.
Mkuu minadhani hakuna mtanganyika anao wang'ang'ania wanzanzibar/muungano, ila nikikundi cha watu wachache ambao wana nufaika nao huo muungano ambao ni CCM.I Think kama wanataka kuuvunja muungano sawa tuh,ila sasa kama wanaamua kutoka basi watoke moja kwa moja,
Naunga mkono inawezekana kuna vitu vya msingi ambavyo wao wanahis wanavimis kwa kuwa ndan ya muungano huu,kwa mantiq hiyo basi yanapotokea majadiliano,wao wayaseme matakwa yao wazi wazi na bila kuchagua kuegemea kwenye urahis watakaoupata kutoka kwetu,
Kama watafikiria kujitoa basi watambue kwa yale mambo yanayowanufaisha kutoka upande wetu watanganyika nayo yapaswa wajiotoe na hayo pia,
Wasiwe selective,kwa kuwa wao ndio wameona huu muungano unawabana...
Nasisi watanganika hakuna haja ya kuwang'ang'ania wazanzibar kama tumeona wamechoka na sisi tumeyaweka mambo yetu ya msingi ambayo tunataka nao wasinufaike nayo...
Rasimu ikitoka isome. Kama kuna jambo lisilo na masilahi na Tanganyika kataa.
Nakuhakikishia kuwa hakuna jambo lolote lenye masilahi na Tanganyika.
Ili kuwasaidia, ni kuendelea kuwaunga mkono katika harakati zao za kujiondoa.
Hiyo ni pamoja na kuwakumbusha huko makazini na mashuleni na mitaani. Kuwaambia bila haya 'tumewachoka rudini kwenye nchi ya ahadi,nchi yenu yenye neema''
Iambie serikali yako kuwa wewe kama Mtanganyika huna sababu za kulipa umeme ikiwemo bill ya mznz ndani yake.
Huna sababu za kulipa mkopo wa shule ili hali kodi zako na wazazi zinasomesha wzn bure.
Huna sababu ya kulipa kodi ili fungu liende znz bila sababu
Huna sababu ya kulipa kodi ili kuhudumia wabunge wa CCM na Waliberali kutoka znz wasio na masilahi na nchi yako Dodoma
Huna sababu za kutafuta ajira wakati ambapo ajira yako amechukua mznz na wewe huwezi kupata ajira znz.
n.k.
Muhimu ni kusimama kidete na kuwaambia waondoke, kama sivyo basi tetea nchi yako kama wanavyotetea yao
Mwambie mbunge wako, jirani yako na yoyote aliye karibu kuwa sasa basi inatosha, let znz go peaceful
Ndiyo maana kazi ya kuwafanya wajielewe imekamilika.
Utajua kuwa wamejielewa siku ambapo utakuwa nchini kwako. Uvumilivu mbona umekwisha kitambo!
Hamuwezi kujielewa kama hamjairejesha tanganyika mkajiamulia mambo yenu,hivi unadhani kwa nn raisi wenu anapishana na ndege kabeba net wenzake wamebeba dhahabu?
I Think kama wanataka kuuvunja muungano sawa tuh,ila sasa kama wanaamua kutoka basi watoke moja kwa moja,
Naunga mkono inawezekana kuna vitu vya msingi ambavyo wao wanahis wanavimis kwa kuwa ndan ya muungano huu,kwa mantiq hiyo basi yanapotokea majadiliano,wao wayaseme matakwa yao wazi wazi na bila kuchagua kuegemea kwenye urahis watakaoupata kutoka kwetu,
Kama watafikiria kujitoa basi watambue kwa yale mambo yanayowanufaisha kutoka upande wetu watanganyika nayo yapaswa wajiotoe na hayo pia,
Wasiwe selective,kwa kuwa wao ndio wameona huu muungano unawabana...
Nasisi watanganika hakuna haja ya kuwang'ang'ania wazanzibar kama tumeona wamechoka na sisi tumeyaweka mambo yetu ya msingi ambayo tunataka nao wasinufaike nayo...
Mimi kama Mtanganyika natakiwa kufanya nini ili kuisaidia zanzibar kuwa Taifa Huru? Ushauri tafadhali.
huyo ndo simbaaa.. maalim seif sio wewe jingakubwa..... ndo mwenyewake mzanzibari halisi anaebura milioni kibao nyinyi.... wewe kasirikaaaaaa.. ukisha kucho ndo hivyo analolitaka mzanznibari ndo hilo hilo......u knowwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwWatanganyika wametoa maoni, waznz wametoa maoni.
Naomba usome habari katika link hiyo hapo juu. Makamu wa Rais Idd Seif amekataa na kusema wazi kuwa wazanzibar wanafaidika na muungano. Shein aliwahi kusema hayo.
Hakuna sababu maoni ya wazanzibar ndiyo yaunde katiba ya JMT. Kwanini wanaweka masharti ili hali tunajua kuwa wapo wazn akiwemo Seif Idd hawakubaliani na Maalim Seif? Je, wznz wapi unaongelea.
The bottom line ni kuwa Seif Hamad asishinikize maoni yake yenye kiu zake za kisiasa kuwa maoni ya wananchi.
Mimi ni mmoja wa wale wanaosema let znz go! lakini itokee hivyo kwa wznz na si kundi au mtu aliyetumwa eti aweke masharti kwa tume ya Warioba. Who is he by the way.