Muungano ni kati ya nchi ya Tanganyika na Zanzibar, kama Zanzibar ipo Tanganyika ipo wapi?

Nyinyi Mizanzibari vichwa flat ni kama mikupe tu. Sasa kwa nini msijitoe kwenye huo muungano na kuwa huru? Maana kila siku ni kudeka deka tu na kupenda kubebwa kama watoto wachanga.
Inaelekea hata hapa duniani wewe hupo. Sisi tumesema na tumefanya sana. Tatizo ni nyinyi machogo kushilikilia kwa nguvu muungano huu kwa nia ya kuidhibiti. Mifano ni mingi lkn juhudi za uamsho na kesi iliyoko mahakama ya kmataifa ni ushahidi wa hilo.

Sisi hatuhitaji kubebwa kwani tunajiweza sana. Wacha kuzungumza mambo usoyajua
 
Si mpige sasa kura ya maoni ya kujitoa kwenye huo muungano! Au mnafikiri kutumia njia zenu za kipuuzi kama hizo za kuanzisha uamsho na kumwagia watu tindikali ndiyo zitawasaidia kujitegemea?
 
Nyinyi Mizanzibari vichwa flat ni kama mikupe tu kwa nchi yetu ya Tanganyika. Kwa nini msijitoe kwenye huo muungano na kuunda Taifa lenu huru? Maana kila siku ni kudeka deka tu na kupenda kubebwa kama watoto wachanga.
Hili la kujitoa tumejaribu sana ila tatizo ni nyinyi Mitanganyika michogo munang'angΩ°ania kwa nia ya kuwadhibiti Wazanzibari eti siasa kali halafu unakuja kulialia.

Sisi hatuhitaji kubebwa kwani tunajiweza. Tatizo ni nyinyi ving'anganizi.
 
Hili la kujitoa tumejaribu sana ila tatizo ni nyinyi Mitanganyika michogo munang'angΩ°ania kwa nia ya kuwadhibiti Wazanzibari eti siasa kali halafu unakuja kulialia.

Sisi hatuhitaji kubebwa kwani tunajiweza. Tatizo ni nyinyi ving'anganizi.
Hakuna Mtanganyika mwenye akili timamu anaweza kuukubali au kuvutiwa na huu Muungano wa hovyo wa changu chako, chako chako.

Jitoeni hata kesho basi muone kama Watanganyika tutasikita au kupoteza chochote! Zaidi nyinyi ndiyo mtageuka kuwa omba omba kwa ndugu zenu zenu Waarabu.
 
Si mpige sasa kura ya maoni ya kujitoa kwenye huo muungano! Au mnafikiri kutumia njia zenu za kipuuzi kama hizo za kuanzisha uamsho na kumwagia watu tindikali ndiyo zitawasaidia kujitegemea?
Kwanini musipige nyinyi hiyo kura ya maoni?
Jitoeni nyinyi ili sisi tusikukereni na mukituona tumekuja kuomba kwenu mtufukuze. Jambo usilolijua ni usiku wa kiza.

Sisi kuomba kwa ndugu zetu waarabu ndo ilivyo nanyi si huwa mnaomba kwa mabwana zenu wazungu?
 
Kama unaona kujitoa ni Rahisi hebu azeni kwanza kujitoa kwenye huo Mkataba wa Bandari uone kama mutaweza
 
inaniuma sana, tena Sana! najiuliza maswali ni nani kawaloga vijana wetu!?, Bunge tu la JMT linaitambua Zanzibar Kama nchi , na Hata balaza la mapinduzi la huko Zanzibar linaitambua Zanzibar Kama nchi na wanzanzibar pia wanajitambua na wanatambua Zanzibar yao NI nchi.

KITUKO , kinakuja huku kwetu , vijana wetu Tena wasomi kabisaaa hawaitambui Kama Tanganyika ni nchi na wao pia watanganyika , yaani hii kitu inasikitisha Sana , utaskia wanasema Tanganyika haipo ilishakufa pale tu ilipozaliwa muungano , niwaulize vijana na wasomi wetu wa kileo siku muungano ukifa ndo mtaanza kuutafuta Tanganyika yenu?

KAMA mnaikana Tanganyika eti haipo na nyinyi wenyewe mnajikana sio watanganyika ni Nani atazilinda Mali za watanganyika na Tanganyika?

Hatuombei itokee , lakini siku muungano huu ukavunjika mtalia kilio Cha mbuzi , kwa ufala wenu , kutokuilinda Tanganyika na Mali za watanganyika !!
 
Ngoja waje! Utakula vyuma mixer spana mpaka uukimbie uzi wako! πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸš¬πŸš¬πŸš¬πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
 
Kumbe! Mimi nilikua naitambua Zanzibar Kama mkoa.
 
Ngoja waje! Utakula vyuma mixer spana mpaka uukimbie uzi wako! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2097][emoji2097][emoji2097]
nawasubili, waje!! [emoji3].
 
Nchi Gani Haina JESHI, Haina PESA yake?
 
Leo tunapo adhimisha miaka 60 ya huu muungano wetu adhimu, nafanya tafakuri, niliwahi kuandika nini humu kuhusu muungano wetu.
Nawatakia maadhimisho mema ya miaka 60 ya muungano wetu adhimu.
Ujumbe wangu ni muungano wetu adhimu udumu milele, na sasa ni muda muafaka tuachane na huu muungano wa kimaghumashi, wa union na federation, sasa twende kwenye muungano wa kweli wa union wa nchi moja, serikali moja, na rais mmoja!.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Tusaidie
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…