Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakati Mzee Mgaya unauliza maswali ya mtoto wa miaka 7! Sasa unafikiri Tanganyika itaenda wapi iwapo hao kupe wataanza kuishi kwa kujitegemea kwa 100%!!Tanganyika itabaki?
kwanini zanzibar ivunjike na tanganyika isivunjike?Kwa wanaojua kanuni za uharibifu, huwa hauachii mahali au kwenye kitu kimoja.
Nyerere aliwahi kuulinganisha na kula nyama ya binadamu. Ailaye haachi. Sijui ukweli wa dhana hii.
Hata hivyo, ukiwasikia wanaohanikiza tuvunje muungano, unapata wasiwasi nao.
Mfano, juzi mtu mmoja aitwaye Jussa alisikika akisema tuuvunje na kugawana mbao. Haya ni mawazo mafupi hasa kwa upande wa visiwani ambao watu wengi hujidanganya kuwa muungano ukivunjika watakuwa kama Dubai kwa vile wameonja harufu ya mafuta. Ni uchoyo na upofu mtupu.
Muungano ukivunjika, yafuatayo yanaweza kutokea:
Mosi, wapemba nao watataka kujitenga na waswahili weusi ili wawe karibu na ndugu zao waarabu ambao huwa wanawaabudia japo waarabu wanawaona kama watumwa wa kawaida.
Pili, Tanganyika italazimika kuwatimua wazenj wote ili warejee kwao na Zenj itajibu mapigo japo hatua hii itazua tatizo jingine.
Tatu, kama idadi ya Wazenji wote walioko bara watatimuliwa, Zanzibar haitakuwa na uwezo wa kuwatosheleza kimaisha hata kama ingekuwa na hayo mafuta ambayo haina uzoefu wa kuya-manage sawa na nchi nyingine za kiafrika.
Nne, Zenj itakumbwa na tishio la mapinduzi toka kwa migawanyiko yake ya asili baina ya waliofanya mapinduzi na waliopinduliwa ambavyo kimsingi, ndiyo sababu kuu iliyoisukuma kuungana na Bara.
Tano, Zenj itakuwa na tishio la usalama kutokana na kutokuwa na jeshi lake na vyombo vingine vya ulinzi. Hivyo, italazimika kuendelea kutegemea Tanganyika hata kama ni kinafiki.
Sita na mwisho, Zenj itatumia fedha nyingi kuagiza bidhaa toka Tanganyika katika fedha za kigeni jambo ambalo litaathiri vibaya uchumi wake.
Unaweza kuongeza madhara mengine na faida kama zipo.
Kabisa Zanzibar watateseka sana muungano ukivunjika.Kwa wanaojua kanuni za uharibifu, huwa hauachii mahali au kwenye kitu kimoja.

Mkuu ulisoma wapi na kwa sasa unafanya shughuli gani?Kwa wanaojua kanuni za uharibifu, huwa hauachii mahali au kwenye kitu kimoja.

Wakiteseka wanakuhusu nini?Kabisa Zanzibar watateseka sana muungano ukivunjika.
Nawaonea huruma tu.Wakiteseka wanakuhusu nini?
Ni familia yako?
Nionee huruma mimi mtanganyika mkuu sina kazi.Nawaonea huruma tu.
Tqnganyika haitaathirika kwa chochote kileTanganyika itabaki?
Ni mkataba wa kupanda miti nchini tunafanya na waarabu?!🙄🥱😳Nionee huruma mimi mtanganyika mkuu sina kazi.
DC wangu katokea kwenye kile kisiwa nami huku sina kibarua.
Nionee huruma mimi ambaye serikali yangu imeshindwa kununua miche ya miti mkuu
👇
Wale wenzetu huwa wanalima mazao gani?Tqnganyika haitaathirika kwa chochote kile
Hakuna ukabila wowote utakaokuwepo Tanganyika kama utakaokuwa Zanzibar,ukitaka kuamini nenda leo kapange nyumba ya mpemba uone tofauti.Kutakuwa na ukabila mkubwa Sana Tanganyika , nipo nimekaa pale
Chanzo kikuu ni kile kinachodaiwa demokrasia ya kinafiki iliyopo ili kuhujumu rasilimali za nchi bila matakwa ya wananchi ambao ndio waajiri wa watawala.Kwa wanaojua kanuni za uharibifu, huwa hauachii mahali au kwenye kitu kimoja.
Nyerere aliwahi kuulinganisha na kula nyama ya binadamu. Ailaye haachi. Sijui ukweli wa dhana hii.
Hata hivyo, ukiwasikia wanaohanikiza tuvunje muungano, unapata wasiwasi nao.
Mfano, juzi mtu mmoja aitwaye Jussa alisikika akisema tuuvunje na kugawana mbao. Haya ni mawazo mafupi hasa kwa upande wa visiwani ambao watu wengi hujidanganya kuwa muungano ukivunjika watakuwa kama Dubai kwa vile wameonja harufu ya mafuta. Ni uchoyo na upofu mtupu.
Muungano ukivunjika, yafuatayo yanaweza kutokea:
Mosi, wapemba nao watataka kujitenga na waswahili weusi ili wawe karibu na ndugu zao waarabu ambao huwa wanawaabudia japo waarabu wanawaona kama watumwa wa kawaida.
Pili, Tanganyika italazimika kuwatimua wazenj wote ili warejee kwao na Zenj itajibu mapigo japo hatua hii itazua tatizo jingine.
Tatu, kama idadi ya Wazenji wote walioko bara watatimuliwa, Zanzibar haitakuwa na uwezo wa kuwatosheleza kimaisha hata kama ingekuwa na hayo mafuta ambayo haina uzoefu wa kuya-manage sawa na nchi nyingine za kiafrika.
Nne, Zenj itakumbwa na tishio la mapinduzi toka kwa migawanyiko yake ya asili baina ya waliofanya mapinduzi na waliopinduliwa ambavyo kimsingi, ndiyo sababu kuu iliyoisukuma kuungana na Bara.
Tano, Zenj itakuwa na tishio la usalama kutokana na kutokuwa na jeshi lake na vyombo vingine vya ulinzi. Hivyo, italazimika kuendelea kutegemea Tanganyika hata kama ni kinafiki.
Sita na mwisho, Zenj itatumia fedha nyingi kuagiza bidhaa toka Tanganyika katika fedha za kigeni jambo ambalo litaathiri vibaya uchumi wake.
Unaweza kuongeza madhara mengine na faida kama zipo.
Kweli ila samahani kiongozi uliwahi kufika Zanzibar?Muungano uvunjike tu ili hawa goigoi wala ulojo wasituharibie nchi yetu.wanakuja kuvuta oksjeni ya bure tanganyika na mapua yao makubwa
Usiwakee watu maneno midomoni hakuna wenye hizo hisia za kipumbavu labda wewe ndiye mwenye nazo!Kikwete kapitia Sana changamoto hizi, huna kumbukumbu tu.
Katukanwa Sana, na mara zote chuki za udini zinajificha kwa watu kujifanya wazalendo lakini linalofukuta moyoni ni jingine kabisa
Nakuunga mkono ndugu, hata huo udini wanaosema ni maneno tu ya baadhi ya watu na kutishana, katika maisha yetu ya kibongo unaweza kujikuta katika kundi la waislam na ukaishi nao poa tu vile vile upande mwingine, na kama unakumbuka kuna dada mmoja muislaam aliwahi kusema yeye hujiona salaama zaid anapokuwa marafiki zake wakristo, kwani uwa wanakuwa bega kwa nega katika matatizo yakeHakuna ukabila wowote utakaokuwepo Tanganyika kama utakaokuwa Zanzibar,ukitaka kuamini nenda leo kapange nyumba ya mpemba uone tofauti.
Nilipokuwa bado napanga nimewahi kuishi kwenye nyumba ya Muhaya,Mzigua,Mpare,Mrangi na Mndengereko regardless kabila langu wala kwanza sikuulizwa nilipewa nyumba wakati fulani nikahitaji frame ya biashara Ilala kule wanakouza spare used nyumba ilikuwa ya mpemba mapatano yakawa ya muda mrefu sababu alitaka bei kubwa wakati tunaendelea ku-negotiate akang'amua asili yangu frame akampa mpemba mwenzake tena bei ndogo tofauti na offer niliyokuwa nimempa.
Nenda Mwanza nenda Arusha nenda Lindi mkoa wowote Tanganyika hii hakuna pasipokuwa na mchanganyiko wa makabila mbona wasianze kubaguana waanze kubaguana kwa sababu tumeachana na watu 600K.
Tanganyika hatuwezi kugawanyika na nashindwa kuelewa sababu gani umetumia hadi ukadhani kwamba Tanganyika haiwezi kujitenga na hao kupe.Wakati bara itagawanyika vipande Saba
1) Kanda ya ziwa
2) Kanda ya kasikazini
3) Kanda ya magharibi
4) Kanda ya kusini
5) Kanda ya mashariki/Pwani
6) Kanda ya kati
7) Kanda ya nyanda za juu kusini