Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 766
Sikiliza Makamu wa Rais Zanzibar, lazima Zanzibar ile irudi.Shida Sisi watanganyika tunataka kuvunja Muungano Kwa kuwakomoa wazanzibari...hii itafanya zoezi kuwa gumu kuliko tunavyo dhani...
Dawa ni kuvunja Muungano Kwa makubaliano Tu ya kuwasaidia wapige hatua ya kuwa Taifa hata Kwa miaka mitano...
Tunaweza sema Tunavunja Muungano Kwa makubaliano ya kuwasaidia hela kidogo Sana ...hata bilioni 50 kila mwaka Kwa miaka mitano Hadi watakapo stabilize....in return na Sisi tutapata assurance kutoka kwao ya kutotumia "Uhuru wao mpya"kutuhujumu na Kenya mfano au nchi yeyote Ile ingine...
Pata Picha Kenya airways wamehamia Zanzibar baada ya Muungano kufa...Sisi tuko tayari??
Dakika ya 17 hadi 30