Muungano ukivunjika na Zanzibar itavunjika

Sikiliza Makamu wa Rais Zanzibar, lazima Zanzibar ile irudi.
Dakika ya 17 hadi 30

 
Usidanganyike na ukubwa wa eneo na wingi wa watu. Unaijua Mauritius? Bahamas je? Hivo ni visiwa vidogo lakini hatuvifikii kwa utajiri na maendeleo
 
"pambaneni wenyewe huko Tanganyika" -Ismalil Jusa Radhu.

na sisi tutasema "pambaneni wenyewe huko Zanzibar"-watangangika
 
mimi nilipokuwa nyani huko Congo wewe ulikuwa hujazaliwa. Tippu Tip mwenyewe alipigwa jaramba na Mbeligiji, baada ya kupewa bendera apite na kuzibandika kwenye himaya yake Mbelgiji alimtimua maeneo yote ya Congo. Kwa hivyo alikuwa akijisevu mwenyewe sisi nyani tulitafuta njia nyingine ya kufika Zanzibar.
 
Mjibu kuwa ulipokuwa nyani yeye alikuwa nyoka tena mwenye sumu kali
 
Tena zenji watapiga hatua kubwa

Ova
 
Usidanganyike na ukubwa wa eneo na wingi wa watu. Unaijua Mauritius? Bahamas je? Hivo ni visiwa vidogo lakini hatuvifikii kwa utajiri na maendeleo
Ni kweli lakini pia usisahau Comoro, Haiti !
 
Hujui kwamba Tanganyika ndio iliitoa Zanzibar mikononi mwa sultani la sivyo Zanzibar ingekuwa bado chini ya mwarabu katili.

aliyekwambia kuwa Sultan alikuwa ni katili nani?? Makatili ni CCM
 
Wivu Unawatesa sana watangayika kwa Zanzibar, kwa kifupi tu mchawi wa Zanzibar ni CCM bila ya CCM Zanzibar ingelikuwa mbali sana, Na Tanganyika ndio inayoieka CCM Zanzibar kwa nguvu ya Dola, Siku Muungano ukivunjika tu CCM Zanzibar nayo habari yake imekwisha, and the New Era will begin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…