Pakacha said:Kaka yangu na bado Tanzania Mainland (Kwa wewe siyo Tanganyika) ina madini mengi tu ardhini, pamoja na mafuta pamoja na gesi kibao pamoja na ardhi nzuri ya kilimo. Kwa nini isikubali hii rajuwa iliyoko Zenj watumie wale Waswahili kule peke yao ambao hawana chochote kile chengine cha kutegemea (karafuu ishaanguka ).
Pakacha,
..binafsi i am of the opinion kwamba Zanzibar wamiliki mafuta yanayopatikana ktk eneo lao by 100%.
Jasusi said:Lakini si makubaliano ya mwungano yaliondoa mipaka. Nini manaa ya "a one sovereign republic?" That is what we were supposed to become, no?
Jasusi,
..Muungano uliondoa mipaka, pia uliondoa u-Tanganyika, lakini haukuondoa u-Zanzibari.
..kama wa-Zanzibari wangekuwa wanaona kwamba wao ni wa-Tanzania, kama ilivyo kwa wa-Tanganyika, sidhani kama matatizo haya yangekuwepo.
..nadhani hilo ndilo tatizo kuu la huu Muungano and it is too late kulirekebisha.
Last edited: