Kama tungekuwa na tabia ya mtu kujiamulia jambo linalomuhusu basi tungekuwa Wastaarabu lakini hili halipo na ndio maana Wazanzibari wnaamuwa kuwalisheni dawa ile ile mnayoitumia nyie YA KUINGILIA MAMBO YASIYOWAHUSU>
 


Kama tungekuwa na tabia ya mtu kujiamulia jambo linalomuhusu basi tungekuwa Wastaarabu lakini hili halipo na ndio maana Wazanzibari wnaamuwa kuwalisheni dawa ile ile mnayoitumia nyie YA KUINGILIA MAMBO YASIYOWAHUSU>
 


Kwa utamaduni wa sasa kuna aina tatu za ndowa , mke na mume, dume na dume na mke na mke. Sijui ndowa hiyo ni aina gani kati ya hizi tatu?
 
Binafsi huwa sioni faida za hii ndoa, bora ivunjike tu, kwanza mizigo wanatubebesha, kaeneo kadogo kama mkoa mmoja wa bara, lakini kila kitu kanataka mgawo kama nchi kamili!

Ingekuwa mie talaka tatu ningetoa mara moja!


Unajuwa tatizo ni nini? Watu wa huko kwahala wamezowea kulisha na wanawake na ndio wanangangania.
 
Mkuu Madela Wa- Madilu hapa umemaliza. Ni ajabu Wazanzibar kudai bara wawe na Serikali inawahusu nini? Wenyewe tumeridhika na Serikali ya muungano kama nao wanatamani si wavunje SMZ ili tuwe na Serikali moja tu?


AT last mmekubali ukweli kuwa hakuna Serikali ya Muungano.
 



Wabara je si Wavivu? Kwani kinachokuhamisheni vijijini na kujijaza mijini nini?
Huo uhodari wenu wa Kilimo mpaka sasa haujakutoweni katika kufa kwa njaa. Mko ndani ya Basi moja na Zanzibar angalau wao wana sababu kuwa hawapewi uhuru wa kufanya kazi zinazostahiki. Hivyo dhana yako kuwa maendeleo ya nchi zote yataletwa kwa kilimo? Hata hivyo kuna wakati Zanzibar iliwasaidia majirani wake kwa Fedha iliyotokana na Kilimo na sio kitu chengine.
 
Taabu kubwa Visiwani ni watu wavivu ktk kazi!!!

Kubwa Visiwani wanalojua ni Kulalamika tu na kuomba msaada!!!

Hivyo huo uvivu wao ndio uwafanye kuhama kwenu kwa makundi na kwenda kuweka kambi huko kwa kazi za vibaruwa na umachinga?
 

WASALITI WAPO KILA PAHALA. Kweli una manufaa kwake na ndio maana hangatuki lakini safari hii itabidi ateuliwe maana jimboni hawako pamoja nae.
 

Hata Wabara hatuutaki, wanaong'ang'ania ni Viongozi ambao hawana vision hawataki kusikiliza maoni ya Wananchi na wanaung'ang'ania ili kulinda maslahi yao. Hakuna chochote ambacho Wabara tunafaidika kutokana na Muungano huo.


...Nakubaliana na wanaosema ni muungano unaolazimishwa na viongozi wetu kwa maslahi yao. Ndiyo sababu kamwe wananchi hatutaruhusiwa kuamua kama tunauhitaji au vipi, au pia kama uboreshwe vipi?

Mchukia Fisadi, Bubu Ataka Kusema, n.k.,

Mimi sioni ni vipi kiongozi wa Tanzania Bara, fisadi and such, anaweza kunufaika binafsi na Muungano. Kwa mfano kivipi, hebu nipeni nadharia moja. Nionavyo mimi, kama wewe ni kiongozi wa Tanzania bara, ungetaka huu muungano ufe, sababu moja ikiwa ni kwamba Wazanzibari wanamaliza Oxygen ya uongozi huku kwetu.

Wazanzibari tumewapa ki affirmative action fulani hivi, wanatengewa nafasi za uongozi lukuki wakati wanatoka kwenye kiwilaya kimoja tu, I mean, Unguja, Pemba zote (1660 sq. km) zinamezwa na Masasi (8,940 sq. km). zaidi ya mara tano. Lakini tunawapa V.P. wa muungano, mawaziri kibao, yani ni bwena, na wabunge lukuki wakati wanawakilisha watu kiduchu. Can't believe it, I mean, there are more Mtwarans than Zanzibaris. Sasa ni kwa nini waachwe wamalize Oxygen ya uongozi huku kwetu bara?



 
Kama tungekuwa na tabia ya mtu kujiamulia jambo linalomuhusu basi tungekuwa Wastaarabu lakini hili halipo na ndio maana Wazanzibari wnaamuwa kuwalisheni dawa ile ile mnayoitumia nyie YA KUINGILIA MAMBO YASIYOWAHUSU>


Dawa mmetuandalia ili mtunyweshe sisi, lakini bahati mbaya mmeamua kuonja wenyewe kabla hamjatunywesha sasa mnapata maumivu ya bure. Tunywesheni basi hiyo ilobaki nasi tupate maumivu ili yatupe nguvu ya kudai Tanganyika.
 
kazi zenyewe zipo? nyinyi mkiletwa huku kuja kupiga kura na chama chenu cha Mafisadi hamrudi makwenu mnahamia kila pahala mnajipachika tu...........aaaaagh.

Kwani hakuna wazanzibari bara? wangapi wamehamia bara? na chama chetu cha mafisadi nyie mnaongozwa na chama gani? si mkitoe madarakani.
 
hivi vimkoa vidogo vinavyoongozwa na waziri asiye na wizara maalum, tabu tupu, vyeo wamepewa, hela wanapewa lakini basi tu...vurugumavi tu, kila saa...sijui wanataka nini sasa...mimi nadhani its time katiba katiba and lets call a spade a spade na karume awe mkuu wa mkoa etc, kama wao wanavyokula umeme wa bara (bila kulipa), basi mafuta yao nao yetu wote...hamna arguments hapo,
 
Kulingana na matangazo ya moja kwa moja ITV ya sherehe za Muungano uwanja wa Uhuru Jijini Dar Es Salaam. Hadi sasa sherehe hazijaanza rasmi. Watu wanakula Burdani ya Muziki wa wana Msondongoma. Rais kashindwa kuja Uwanjani wakimsubiri Rais wa Zanzibar aje Dar tokea Zanzibar.

Hali ya Hewa imezuia Ndege iloenda kumchukua kushindwa kutua DIA.

Sijui itakuwaje kama hiyo hali ya hewa ikisusa kuruhusu hiyo ndege kutua.

Helikopta inaonekana ikikatisha kucheki hali ya hewa.

Hii ya leo kali

Naomba kuwakilikisha
 
Hali ya Hewa imezuia Ndege iloenda kumchukua kushindwa kutua DIA.


Helikopta inaonekana ikikatisha kucheki hali ya hewa.

Hii ya leo kali

Naomba kuwakilikisha

Kwa hiyo helikopta inakagua hali ya hewa eeh? Na DIA ndege haiwezi kutua kwa kuwa hali ya hewa mbaya?

Mkuu, Unawakilisha, au unawasilisha? Unawakilisha nini au nani?
 
Wee pata ujumbe tu wa hali halisi ya maendeleo ya sherehe za Muungano, ukianzisha lugha za ubishi utabishana mwenyewe
 
Sasa keshaingia uwanjani makamu wa Rais, na anaesubiriwa ni Rais Kikwete. Bila shaka Rais Karume karudi Zanzibar juu kwa juu
 
ukweli uliopo, jamaa wa CUF, wamewawin CCM kwa hili, lakini agenda ya CUF siku zote ni ubaguzi tu japokuwa wanauficha, lengo na madhumuni makubwa ya wana CUF ni kuchukua Pemba na kisha kujirudisha kwa sultan wao wa Oman, kwani sidhani kabisa kwamba hawa jamaa wanajiona ni waswahili, na ni ukweli usiofichika kama hawa jamaa wakijitenga hata mwaka haufiki Pemba na Unguja nazo zitajitenga
 
Tayari Rais Kikwete kaingia uwanjani. Mshereheshaji hajaeleza bado kilichosibu hadi viogozi hawa wakuu wa juu kuamua kuendelea na hii shughuli bila ya Mwenzao wa Zanzibar kuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…