there are few associations that kept the word Tanganyika and it reminds me that Tanganyika just exists and soon it will regain independence from Tanzania.
On my list
- Tanganyika Farmers Association
- Tanganyika Law Society
- Tanganyika Instant Cofee Ltd
4.Tanganyika medical council
Kila taasisi inayojiita Tanganyika ni kipenzi changu, na KAHAWA zao nazipenda pia huko maduka, huduma za kisheria, kitiba na kadhalika.
Lakini kiukweli mpaka baada ya hii miaka 50 pamoja, naona ni heri tuwe na SERIKALI MOJA TU ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania basi.
Watu wengine mnasababisha tuwaonee huruma ,yaani umeona Hitler & co company unasema kuwa Hitler yupo hai ,nyie vipi ?
Hivi kwa akili yako Tanzania kuna serikali ngapi ?
Kumbuka siku ya muungano hakukuwa na Tanzania bali United republic of Tanganyika and Zanzibar.
Nasikia Kuna Tanganyika Bus kule Mwanza
Tunaukaribisha uhuru wa Tanganyika kwa mikono saba.
Serikali moja ya Zanzibar kwani wewe unaona ngapi?Hivi kwa akili yako Tanzania kuna serikali ngapi ?
Serikali moja ya Zanzibar kwani wewe unaona ngapi?
CrapAlaa kumbeee !! Hamfahamu kuna serikali ngapi ,kuna serikali ya Tanzania kuna Serikali ya CCM kuna serikali ya Zanzibar GNU ,na kuna Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na kuna serikali za watu binafsi(Hizi zinauwezo wa kuziamuru hizo serikali hapo kwa matakwa yao).
Naitamani nchi yangu Tanganyika. Eeee Tanganyika nchi yangu Tanganyika................ulifichwa wapi Tanganyika? Nani alikuficha eeewe Tanganyika. Natamani kukuona tena. Nitakupigania kwa moyo wangu wote Tanganyika........ Rudi, Rudi Tanganyika rudi,..........