Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Watu wengine mnasababisha tuwaonee huruma ,yaani umeona Hitler & co company unasema kuwa Hitler yupo hai ,nyie vipi ?
 
there are few associations that kept the word Tanganyika and it reminds me that Tanganyika just exists and soon it will regain independence from Tanzania.

On my list

  1. Tanganyika Farmers Association
  2. Tanganyika Law Society
  3. Tanganyika Instant Cofee Ltd

Yuko wapi Tanganyika, umemuona mtaa gani miaka mingi tunamtafuta???
 
4.Tanganyika medical council

Kila taasisi inayojiita Tanganyika ni kipenzi changu, na KAHAWA zao nazipenda pia huko maduka, huduma za kisheria, kitiba na kadhalika.

Lakini kiukweli mpaka baada ya hii miaka 50 pamoja, naona ni heri tuwe na SERIKALI MOJA TU ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania basi.
 
Hivi kwa akili yako Tanzania kuna serikali ngapi ?
 
Watu wengine mnasababisha tuwaonee huruma ,yaani umeona Hitler & co company unasema kuwa Hitler yupo hai ,nyie vipi ?

Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak
No more comment to you!
 
Hivi kwa akili yako Tanzania kuna serikali ngapi ?

Kumbuka siku ya muungano hakukuwa na Tanzania bali United republic of Tanganyika and Zanzibar.

Nasikia Kuna Tanganyika Bus kule Mwanza
 
Kumbuka siku ya muungano hakukuwa na Tanzania bali United republic of Tanganyika and Zanzibar.

Nasikia Kuna Tanganyika Bus kule Mwanza

Hata lake lipo linaitwa Lake Tanganyika japo la Malawi :yuck: Afu akina nani walishuhudia siku hiyo ya Muungano inaonekana mnazungumza mambo ya hadthini !!
 
Naitamani nchi yangu Tanganyika. Eeee Tanganyika nchi yangu Tanganyika................ulifichwa wapi Tanganyika? Nani alikuficha eeewe Tanganyika. Natamani kukuona tena. Nitakupigania kwa moyo wangu wote Tanganyika........ Rudi, Rudi Tanganyika rudi,..........
 
Tanganyika Packers hivi nani kaifilisi, naona watu wamejimegea viwanja tuu hapa kawe!!
 
Naona sasa tunashindana kuandika pumba, Ngoja

Mi nina swali? Ni mkoa mmoja tuu umeungana na John Mnyika ndio maana takapata(Tanga+ Mnyika)= Tanganyika.
- Je mikoa mingine ingeungana naye nchi hii ingekuwa na jina gani?
Mfano: Shinyanga+John Mnyika= Shinyika,
 
Serikali moja ya Zanzibar kwani wewe unaona ngapi?

Alaa kumbeee !! Hamfahamu kuna serikali ngapi ,kuna serikali ya Tanzania kuna Serikali ya CCM kuna serikali ya Zanzibar GNU ,na kuna Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na kuna serikali za watu binafsi(Hizi zinauwezo wa kuziamuru hizo serikali hapo kwa matakwa yao).
 
Come rain!!... Come sun!!... one day... TANGANYIKA will return triumphantly!!!
 
Alaa kumbeee !! Hamfahamu kuna serikali ngapi ,kuna serikali ya Tanzania kuna Serikali ya CCM kuna serikali ya Zanzibar GNU ,na kuna Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na kuna serikali za watu binafsi(Hizi zinauwezo wa kuziamuru hizo serikali hapo kwa matakwa yao).
Crap
 
Naitamani nchi yangu Tanganyika. Eeee Tanganyika nchi yangu Tanganyika................ulifichwa wapi Tanganyika? Nani alikuficha eeewe Tanganyika. Natamani kukuona tena. Nitakupigania kwa moyo wangu wote Tanganyika........ Rudi, Rudi Tanganyika rudi,..........

Maneno matupu hayavunji mfupa. Umeimba wimbo mzuri. Sasa anza kuchukua hatua. Dai TANGANYIKA.
 
Back
Top Bottom