Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
WaTanganyika tupo huyu kidogo amejaribu ametoa joto na ukweli halisi upo katika maneno niliyoyakazia wino;-
Watanganyika tunaikandamiza bara tunauwa uchumi wao ndo wakapata sentensi hiyo.Hatutaki kuiona ikiendelea tunalitumia bunge kuweka mipaka ya kazi zao.Maamuzi yote wanayofanya inabidi yapate baraka zetu,wanasema tunawachagulia Raisi na ushahidi wanao,ukisoma kwa kina hiyo habari hapo juu utayaona yote.
Mimi sikubaliani na yote hayo aliyoyaandika kinachonipa moyo ni kuwa hawa wanataka kutubebesha hata uzembe wao,kila wanapokwama husema Bara ndio kikwazo,wanajidai kuutaka muungano ila kuna vijikero kidogo visawazishwe,hivi tuwaambie basi tufanyeni raisi mmoja kama hawajaluka !!!
Sasa someni gazeti hili ambalo nimeliweka na kulihifadhi kama baadhi ya ushahidi wa watu hawa..
0) Inawezekana kabisa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika ni muungano wa pumbazo la kisiasa la kuharibu na kunyonya upande mmoja ambao ni Zanzibar

1) Zanzibar tunataka kuanzisha kampuni ya simu (ZANTEL) ambayo itatoa huduma Zanzibar bado nayo tunatiliwa ngumu eti TTCL itakosa mapato.

2)Zanzibar ni nchi yenye asilimia 99% ya Waislamu kati ya wananchi wote wa Zanzibar. Cha kushangaza serikali ya Jamhuri ya Muungano imeizuia Zanzibar kujiunga na umoja wa nchi za Kiislamu (OIC) kwa sababu zisizoeleweka.

3)Zanzibar inashindwa kutetea nguvu za umeme wa kutumia taka kutoka Malaysia ambao ilitarajiwa kuwekeza hapa Zanzibar. Hii ni kutokana na serikali ya Jamhuri ya Muungano kutounga mkono na shinikizo toka nje.
Zanzibar tunategemea umeme kutoka bara, hii ni kutufanya tuwe tegemezi katika nyanja muhimu ili tutawaliwe kisiasa na kiuchumi na ndivyo ilivyo. Sababu mojawapo ya kuzuia uwekezaji ule wa umeme wa taka ni kwmba eti TANESCO itakosa mapato kutoka Zanzibar
4)Kama kweli Tanzania ni muungano wa nchi mbili zenye Marais yaani Zanzibar na Tanganyika, mbona mgawanyo wa taasisi na vyuo vya elimu haupo sawa? Tanzania bara kwa mfano kuna vyuo vya biashara kama vile College of Business Education (CBE), DSA, Vyuo vya Ufundi, SIDO n.k. ambavyo vimetapakaa karibu mikoa yote ya bara na hakuna hata kimoja Zanzibar.
5)Sasa hivi tuna msuguano mwingine wa Zanzibar kuwa "Free Port" bado tunatiliwa ngumu na serikali ya Jamhuri eti serikali itakosa mapato, mapato gani hayo? Kama kweli Muungano wetu ni wa kheri kwanini tuvutane au tuwekeane ngumu kwa kuona wivu kuwa Zanzibar itanufaika.
Hitimisho lao:
Mlioliona kwa serikali ya Jamhuri kukosa mapato ni kwa Zanzibar kuwa "Free Port" tu? Vipi ndege za Kikristo zinaingia na kutoka Tanzania kwenye viwanja vyao bila kupekuliwa hamuoni kama serikali inakosa mapato? Mali inayoingizwa au kutolewa kwenye "Air Strips" za Wakristo kusiko na polisi wala Afisa "Custom" kwa ndege za Kikristo mnazijua? Ila Zanzibar tu kuwa "Free Port" huu ni udini ulio dhahiri.

Ili kujinasua na hali hii serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wazanzibari wote kwa ujumla bila kujali tofauti za kisiasa tushikamane ili tuweze kujitegemea katika njia zote kuu za uchumi na ulinzi. La sivyo, tukubali Zanzibari kuwa mkoa na siyo nchi yenye Rais.

Halafu anakuja mzanzibari hapa sijui hiki sijui kile wazandiki wakubwa,nyie mna lenu tu ,hizi ndizo faida tunazopata kwa Wazanzibar sijui wakienda nchi za nje wanazusha uzushi gani.

Mwiba,
Kaazi kweli kweli!
 
Mwiba,
Kaazi kweli kweli!

mwiba lugha yako umayoitumia ni lugha ambayo inaonyesha kila dalili kuwa ni mtu wa kwetu, (nisamehe kama nimekosea)kiswahili chako kiko wazi nimerejea upya kuusoma huu mjadala. nnachogundua huenda unachokoza mada ili usikilize mshindo.

sawa tusubiri nn wengine watasema
 
Under-age,
Unajua Mwiba sijaona na kuelewa hoja yake hadi sasa hata husema Muungano uvunjwe!
Unakumbuka hii hoja ya mapungufu ya Muungano tuliijadili sana hapo nyuma na Mkandala, Kichuguu na wewe na wengine kwa kina. One of central conclusions from such arguments was a consensus that kuna maeneo ya kurekebisha ili kuimarisha Muungano! Haikutokea a polarized view kama ya Mwiba over sababu za kimsingi kuvinja Muungano!
Well tu watu wamoja, tumevumiliana kwa miaka 40, tumeoleana, na kozoena! Hivyo nikiona hoja ya kuvunja Muungano huwa nashidwa kuelewa!
mzalendohalisi.nakumbuka na pia nilifurahi na mjadala ule kwani ulitupeleka mahala tukajifunza mengi na kugundua mengi kuhusu zanzibar,tanganyika na tanzania kwa ujumla.nimejaribu kumhakiki mwiba na kutokana na maelezo yake nimegundua kwamba ana jambo flani amelificha rohoni. niamini kwamba hana tatizo na muungano na wala hana tatizo na zanzibar ,ila kuna kitu kipo rohoni mwake nami tayari nimekigundua. yapekue maelezo yake na angalia picha ya nembo yake ,kama ni mwaguzi mzuri basi utagundua ana nini rohoni mwake.namwachia kama alivyo,kwani anaweza akanipoteza malengo.akikubali kupunguza jazba ili tuujadili muungano kwa upeo wa kuurekebisha ama kuuimarisha kwa misingi ya usawa na uadilifu ,basi hapo ntarudi,kwani naamini ana mengi ya kunisomesha ila kwa sasa jazba imemtawala kichwani mwake,namwachia apoe kidogo.
 
Naomba niongeze kile nilichokiwacha jana inshaallah.

Kuhusu uchaguzi na kuchafuliwa ni kweli tanzania bara wanaingilia sana katika maamuzi ya kututafutia viongozi wa kuiongoza zanzibar na kama hamuamini naomba mrudi nyuma kidogo wakati Dk Salmini anamaliza muda wake watu wlaiopigiwa kura kamati maalumu ya CCM zanzibar ilikaa na kupitisha majina ambapo walipata wagombea kadhaa lakini CCM zanzibar ilimpendekeza Dk Bilal awe Rais wa Zanzibar lakini kilichotokea walipokwenda bara alipewa nafasi hiyo Amani Karume ambapo hadi leo ndio rais na katika kipindi cha pili halikadhalika kwa hivyo bara wanawaamulia wazanzibari na hicho ndio kisa cha kugawanyika wana CCM Zanzibar mpaka leo.

wana CCM wana donge kuwa moyoni na sio rahisi kutoweka kutokana na chaguo lao ni dk bilal lakini amepewa Amani Karume.

kwenye uchaguzi wenyewe tanzania bara huleta majeshi na polisi kwa ajili ya kusimamia uchaguzi lakini matokeo yake usimamizi huo unatumiwa vibaya.

walinzi wakishirikiana na janjaweed jeshi la Amani Karume ambalo limewekwa makambini kwa lengo la kupiga watu wa upinzani tu wanawapiga watu ovyo wakati wa uchaguzi, wanabaka na kuwanyanganywa watu vitu vyao na hilo nalisema hata mbele ya nani maana nina ushahidi kabisa nilikuwa ni mfuatiliaji mkubwa wa ukiukwaji wa haki za binaadamu watu wamepigwa nondo za vichwa, wamebakwa, wamenyanganywa fedha na bidhaa zao madukani na nyumbani na hilo niko tayari kulitolea ushahidi sio kwa mahakama tu lakini hata mbele ya Mweyeenzi mungu nipo tayari maana mimi ni muislamu na sitoacha kufanya uadilifu katika kazi yangu kwa kumuogopa mtu ambapo ukiukwaji wa haki za binadamu unakiukwa kwa sababu zi kisiasa tu.

Nilimshuhudia mzee wa miaka 77 amepigwa nondo na wanaojiita janjaweed wakati akiuza pweza usiku kwa kuwa tu amekaa kwenye sehemu amabyo wanakaa wapinzani wa CUF basi walipojiwa kupigwa na kutimuliwa wakapigwa kila aliyekuwepo pale bila ya kuzingatia kama ni mpinzani au laa janjaweed walifika pahala wakampiga katibu mkuu wa utawala bora bila ya kujua waliompiga ni nani.

na mtu kama haamini yaliotokea zanzibar atafute kuna dvd ambazo zimeshawahi kuoneshwa katiak vyombo vya nje ya nchi ikiwemo bbc na aljazira ambayo ilirekodiwa na waandishi kutoka ABC Australia waliokuja zanzibar. zipo zimeenea na hata Kikwete ameshaangalia hiyo.

na kama kuna mtu anaitaka basi ajaribu kuitafuta katika maduka ya DVD atapewa.mbali ha hizo kuna zile nyengine ambazo zimetengenezwa hapa hapa pamoja na waathirika waliopigwa mapanga na watu walipata tabu sana hapa zanzibar msifikiri kwa kuwa vyombo vya habari vya bara havitoa hizo taarifa mkadhania ni za uongo kuna wakati magazeti la al nuur yaliandiak story hizo za kupigwa watu na kutoa picha basi yalifuatwa huko huko bandarini bara na usalama wa taifa na yakatupwa pwani wakati yamo ndani ya poti mzigo mzima na mambo hayo yamewahi kufanyika mara mbili. na ushaidi wa hayo tumepewa baadhi ya usalama wenyewe kuwa walitumwa na wakubwa wakayatose baharini. huku kuna mambo makubwa msifikirie mzaha na mimi najua mengi kwa sababu ni mtu wa kufuatilia ukiukwaji wa haki za binaadamu. ama kweye suala la kuiba kura mimi wala halinishughulishi maana ni mchezo wa siasa lakini kwend akupiga watu wasio na hatia inaniuma sana sana sina la kufanya tu lakini ningekuwa na uwezo wa kuyazuwia haya basi ningefanya hivyo.

Naamini kama tanzania bara itajiweka mbali na kuleta ulinzi wa majeshi basi CCM zanzibar hawatokuwa na kiburi kata kidogo lakini wana hakika kama wanaungwa mkono na kusaidiwa na wenziwao huko bara. na hivi sasa wameshafahamu kuwa bila ya vikosi au polisi hawawezi kushinda CCM basi wamepitisha sheria za vikosi vya SMZ kutumia silaha jambo ambalo linakera sana maana hawa vikosi vya SMZ wengi wao hawana elimu coalifications zao ni ukereketwa tu wengine wamefika darasa la nne tu na hilo wenyewa wamethibitisha.
 
Hilo la kuurekebisha ndio mimi sipo kabisa,maana kinachorekebishwa sikioni,labda unipeleke kwenye serikali tatu huko ninaweza kuwa nawe.lakini kwa hili la kunyanyasana sipo tayari kuona Mtanganyika kutoka pembe yeyote ile anabuguziwa na hawa watu wao wanajiona malaika hawaendi chooni.
 
kwani hiyo kuweka serikali tatu sio kuurekebisha?
 
mwiba,
Acha kujificha ficha muaraab yakhee!! natumai umenifahamu!
 
Naomba niongeze kile nilichokiwacha jana inshaallah.

Kuhusu uchaguzi na kuchafuliwa ni kweli tanzania bara wanaingilia sana katika maamuzi ya kututafutia viongozi wa kuiongoza zanzibar na kama hamuamini naomba mrudi nyuma kidogo wakati Dk Salmini anamaliza muda wake watu wlaiopigiwa kura kamati maalumu ya CCM zanzibar ilikaa na kupitisha majina ambapo walipata wagombea kadhaa lakini CCM zanzibar ilimpendekeza Dk Bilal awe Rais wa Zanzibar lakini kilichotokea walipokwenda bara alipewa nafasi hiyo Amani Karume ambapo hadi leo ndio rais na katika kipindi cha pili halikadhalika kwa hivyo bara wanawaamulia wazanzibari na hicho ndio kisa cha kugawanyika wana CCM Zanzibar mpaka leo.

wana CCM wana donge kuwa moyoni na sio rahisi kutoweka kutokana na chaguo lao ni dk bilal lakini amepewa Amani Karume.

kwenye uchaguzi wenyewe tanzania bara huleta majeshi na polisi kwa ajili ya kusimamia uchaguzi lakini matokeo yake usimamizi huo unatumiwa vibaya.

walinzi wakishirikiana na janjaweed jeshi la Amani Karume ambalo limewekwa makambini kwa lengo la kupiga watu wa upinzani tu wanawapiga watu ovyo wakati wa uchaguzi, wanabaka na kuwanyanganywa watu vitu vyao na hilo nalisema hata mbele ya nani maana nina ushahidi kabisa nilikuwa ni mfuatiliaji mkubwa wa ukiukwaji wa haki za binaadamu watu wamepigwa nondo za vichwa, wamebakwa, wamenyanganywa fedha na bidhaa zao madukani na nyumbani na hilo niko tayari kulitolea ushahidi sio kwa mahakama tu lakini hata mbele ya Mweyeenzi mungu nipo tayari maana mimi ni muislamu na sitoacha kufanya uadilifu katika kazi yangu kwa kumuogopa mtu ambapo ukiukwaji wa haki za binadamu unakiukwa kwa sababu zi kisiasa tu.

Nilimshuhudia mzee wa miaka 77 amepigwa nondo na wanaojiita janjaweed wakati akiuza pweza usiku kwa kuwa tu amekaa kwenye sehemu amabyo wanakaa wapinzani wa CUF basi walipojiwa kupigwa na kutimuliwa wakapigwa kila aliyekuwepo pale bila ya kuzingatia kama ni mpinzani au laa janjaweed walifika pahala wakampiga katibu mkuu wa utawala bora bila ya kujua waliompiga ni nani.

na mtu kama haamini yaliotokea zanzibar atafute kuna dvd ambazo zimeshawahi kuoneshwa katiak vyombo vya nje ya nchi ikiwemo bbc na aljazira ambayo ilirekodiwa na waandishi kutoka ABC Australia waliokuja zanzibar. zipo zimeenea na hata Kikwete ameshaangalia hiyo.

na kama kuna mtu anaitaka basi ajaribu kuitafuta katika maduka ya DVD atapewa.mbali ha hizo kuna zile nyengine ambazo zimetengenezwa hapa hapa pamoja na waathirika waliopigwa mapanga na watu walipata tabu sana hapa zanzibar msifikiri kwa kuwa vyombo vya habari vya bara havitoa hizo taarifa mkadhania ni za uongo kuna wakati magazeti la al nuur yaliandiak story hizo za kupigwa watu na kutoa picha basi yalifuatwa huko huko bandarini bara na usalama wa taifa na yakatupwa pwani wakati yamo ndani ya poti mzigo mzima na mambo hayo yamewahi kufanyika mara mbili. na ushaidi wa hayo tumepewa baadhi ya usalama wenyewe kuwa walitumwa na wakubwa wakayatose baharini. huku kuna mambo makubwa msifikirie mzaha na mimi najua mengi kwa sababu ni mtu wa kufuatilia ukiukwaji wa haki za binaadamu. ama kweye suala la kuiba kura mimi wala halinishughulishi maana ni mchezo wa siasa lakini kwend akupiga watu wasio na hatia inaniuma sana sana sina la kufanya tu lakini ningekuwa na uwezo wa kuyazuwia haya basi ningefanya hivyo.

Naamini kama tanzania bara itajiweka mbali na kuleta ulinzi wa majeshi basi CCM zanzibar hawatokuwa na kiburi kata kidogo lakini wana hakika kama wanaungwa mkono na kusaidiwa na wenziwao huko bara. na hivi sasa wameshafahamu kuwa bila ya vikosi au polisi hawawezi kushinda CCM basi wamepitisha sheria za vikosi vya SMZ kutumia silaha jambo ambalo linakera sana maana hawa vikosi vya SMZ wengi wao hawana elimu coalifications zao ni ukereketwa tu wengine wamefika darasa la nne tu na hilo wenyewa wamethibitisha.

StoneTown:

Naomba uite ukwaju ukwaju na ubuyu ubuyu. CCM na muungano ni vitu viwili tofauti. CCM ni chama na Muungano ni nchi. Mimi mtanganyika CCM siipendi na kama kuna mvutano ndani ya CCM kuhusu nani awe rais wa Zanzibar hilo ni jukumu la wana-CCM wenyewe. Watanganyika wengi sio wanachama wa vyama vya kisiasa na wananyimwa haki zao za kiraia. Hivyo basi lawama kuwa wabara wanawachagulia wa-Zanzibar viongozi zinawagusa wengi wasiokuwemo.

Na tusiopenda CCM tunasubiri kwa hamu kubwa ushindi wa vyama vya upinzani huko Zanzibar. Kwa sababu ushindi huo unawaamsha wengi kuwa nchi inaweza kuongozwa tena kwa amani na mafanikio bila ya kuwepo CCM madarakani.

Kama kuna maovu yanayofanyika huko Zanzibar na viongozi wa juu CCM, basi yanafanyika hili wabaki madarakani lakini hayana uhusiano na Tanganyika wa bara. Uchaguzi wa CCM ulimalizika umeonyesha na jinsi gani rushwa inavyotembea katika chama hicho.

Mafanikio ya Japan, yamefanya nchi zingine za Asia kuamka. Naamini kabisa mafanikio ya sehemu moja ya Tanzania yatawafanya watanzania wengine waamke. Hivyo basi kama Karume sio kiongozi mwenye sifa, basi matatizo anayoyaleta Zanzibar yataendelea mpaka bara.
 
WaTanganyika tupo huyu kidogo amejaribu ametoa joto na ukweli halisi upo katika maneno niliyoyakazia wino;-
Watanganyika tunaikandamiza bara tunauwa uchumi wao ndo wakapata sentensi hiyo.Hatutaki kuiona ikiendelea tunalitumia bunge kuweka mipaka ya kazi zao.Maamuzi yote wanayofanya inabidi yapate baraka zetu,wanasema tunawachagulia Raisi na ushahidi wanao,ukisoma kwa kina hiyo habari hapo juu utayaona yote.
Mimi sikubaliani na yote hayo aliyoyaandika kinachonipa moyo ni kuwa hawa wanataka kutubebesha hata uzembe wao,kila wanapokwama husema Bara ndio kikwazo,wanajidai kuutaka muungano ila kuna vijikero kidogo visawazishwe,hivi tuwaambie basi tufanyeni raisi mmoja kama hawajaluka !!!
Sasa someni gazeti hili ambalo nimeliweka na kulihifadhi kama baadhi ya ushahidi wa watu hawa..
0) Inawezekana kabisa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika ni muungano wa pumbazo la kisiasa la kuharibu na kunyonya upande mmoja ambao ni Zanzibar

1) Zanzibar tunataka kuanzisha kampuni ya simu (ZANTEL) ambayo itatoa huduma Zanzibar bado nayo tunatiliwa ngumu eti TTCL itakosa mapato.

2)Zanzibar ni nchi yenye asilimia 99% ya Waislamu kati ya wananchi wote wa Zanzibar. Cha kushangaza serikali ya Jamhuri ya Muungano imeizuia Zanzibar kujiunga na umoja wa nchi za Kiislamu (OIC) kwa sababu zisizoeleweka.

3)Zanzibar inashindwa kutetea nguvu za umeme wa kutumia taka kutoka Malaysia ambao ilitarajiwa kuwekeza hapa Zanzibar. Hii ni kutokana na serikali ya Jamhuri ya Muungano kutounga mkono na shinikizo toka nje.
Zanzibar tunategemea umeme kutoka bara, hii ni kutufanya tuwe tegemezi katika nyanja muhimu ili tutawaliwe kisiasa na kiuchumi na ndivyo ilivyo. Sababu mojawapo ya kuzuia uwekezaji ule wa umeme wa taka ni kwmba eti TANESCO itakosa mapato kutoka Zanzibar
4)Kama kweli Tanzania ni muungano wa nchi mbili zenye Marais yaani Zanzibar na Tanganyika, mbona mgawanyo wa taasisi na vyuo vya elimu haupo sawa? Tanzania bara kwa mfano kuna vyuo vya biashara kama vile College of Business Education (CBE), DSA, Vyuo vya Ufundi, SIDO n.k. ambavyo vimetapakaa karibu mikoa yote ya bara na hakuna hata kimoja Zanzibar.
5)Sasa hivi tuna msuguano mwingine wa Zanzibar kuwa "Free Port" bado tunatiliwa ngumu na serikali ya Jamhuri eti serikali itakosa mapato, mapato gani hayo? Kama kweli Muungano wetu ni wa kheri kwanini tuvutane au tuwekeane ngumu kwa kuona wivu kuwa Zanzibar itanufaika.
Hitimisho lao:
Mlioliona kwa serikali ya Jamhuri kukosa mapato ni kwa Zanzibar kuwa "Free Port" tu? Vipi ndege za Kikristo zinaingia na kutoka Tanzania kwenye viwanja vyao bila kupekuliwa hamuoni kama serikali inakosa mapato? Mali inayoingizwa au kutolewa kwenye "Air Strips" za Wakristo kusiko na polisi wala Afisa "Custom" kwa ndege za Kikristo mnazijua? Ila Zanzibar tu kuwa "Free Port" huu ni udini ulio dhahiri.

Ili kujinasua na hali hii serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wazanzibari wote kwa ujumla bila kujali tofauti za kisiasa tushikamane ili tuweze kujitegemea katika njia zote kuu za uchumi na ulinzi. La sivyo, tukubali Zanzibari kuwa mkoa na siyo nchi yenye Rais.

Halafu anakuja mzanzibari hapa sijui hiki sijui kile wazandiki wakubwa,nyie mna lenu tu ,hizi ndizo faida tunazopata kwa Wazanzibar sijui wakienda nchi za nje wanazusha uzushi gani.

Mwiba:

Sasa inabidi tuulizane. Hivi shule ulikwenda wapi? Magazeti ya nchi zote yanaandikwa na waandishi na majina yao wawekwa kwenye wakala wa habari walizoandika.

Mwandishi wa gazeti ametumia haki yake ya kiraia ya kuandika anachofikiri. Lakini maandishi yake yasitumike, kuwakilisha mawazo ya waZanzibar, watanganyika au watanzania wote.

Inaonyesha kabisa waasisi wa Muungano walikuwa mbele sana ya wakati kuliko umma waliouongoza. Muundo wa serikali ya Tanzania si mgeni duniani hila watu wenye fikra kama zako awe ametoka bara au visiwani mmepitwa na wakati. Hivyo Nyerere na Karume walifanya vitu vinavyoeleweka na wastaarabu wengine duniani. Chukua mfano wa Puerto Rico na Marekani. Puerto Rico ni sehemu ya Marekani lakini inajiendesha yenyewe.
 
Shule nilimalizia Murutunguru,sasa tatizo lipo wapi au unaniona mshamba.
Nilichokinukuu kinatoka katika gazeti la alnuru,inaonekana wengi wenu hamkunifahamu na kiasi cha kuniona msaliti wa Muungano maana ukiniita na kuniona Mzanzibar basi tayari umeniweka katika kundi la usaliti wa Muungano.Kiini ambacho nakitafuta ili nione muungano ni bora na umeimarika ni kuwekewa faida za muungano huu ulioanzishwa tokea 1964,labda haya malalamiko ya kumezwa kwa wengine tuyaite kero kama wengine mnavyopenda ,kero zisizokwisha na hazina ufumbuzi.
Muungano huzaliwa na kufa na nchi nyingi tu hivi sasa zimefikia hatua hiyo ya kuvunja muungano na ule wa Ujerumani Muungano wa kujigawa ulikufa na kufanywa Muungano wa kujiunga.
Lakini hatua ya waliyofika wajamaa hawa wa Zanzibar ni mbaya na wamefika kututusi.
Hivi mnafikiria ni sababu zipi zinaufanya Muungano huu uendelee kama kuna kero hizi na zile basi iwepo serikali moja tu,ijulikane tumekuwa wamoja sisi ni wao na wao ni sisi hakuna serikali ya muungano wala ya Zanzibar ,hatuwezi kuwa na Muungano kama mmoja bado anajihesabu ni nchi kamili naona itakuwa kama shirikisho.
 
Muungano unaweza kuwa ni mzigo kwa Tanzania bara, lakini CCM barawanajua wanavyoutumia kwenye mahesabu yao ya ndani inapofika wakati wa uchaguzi wa nani anatakiwa kuwa Rais, na CCM Zenji wanajua wanachotaka inapofika wakati wa kumchagua rais wa visiwani, lakini wanaoubeba mzigo mzito zaidi ni wabara. Siri ya Muungano wa Tangayika na visiwani iko kwa CIA na Nyerere. Nyerere hayupo kwa hiyo anayeweza kuitafuta kwa CIA anaweza kutusaidia kujua ukweli.
 
Sasa ukiwa mzigo kwa Tanganyika huoni kama tunaoumia ni sisi walala hoi,huyu Muungwana anajifanya kama amesahau wakati yeye ndie aliekuwa kinara wa kudai Tanganyika.
Wacha hilo ni juzi tu niliandika kama hawa watu wa Zanzibar wanatudharau,sasa mnasemaje kuhusu hili la mtoto wa Karume tena wa KIKE ambae amekunya mbovu pale mahakamani na kuonyesha makucha ufalme wa kwao.
Hakuna shaka yeyote ametumia ubavu wa Zanzibar na baba yake Ukoo huu nasikia una historia ndefu sana Zanzibar ,Babu yake ni muuwaji , ami yake ameshawahi kuuwa , baba yake mpaka leo ni muuwaji ,na huyu mtoto wao hana wasiwasi wowote na hilo . Yote haya yameripotiwa ,na Serikali ya Muungano inayajuwa hayo ,lakini kwa sababu hakuna chombo cha sheria kilicho fuatilia na hakuna yeyote alietiwa hatiani ndio sasa ukoo huu unajiona upo juu ya SHERIA na hakuna wa kuwahukumu na ndio hufanya watakavyo ,TUNAWAOGOPA au ? .Hili suala la kumtukana Hakimu tena ndani ya Mahakama Tukufu ni kosa mbele ya sheria na kumtishia kumpiga hakimu ni kosa la pili ,sasa tuone sheria itamhukumu Hakimu kwa kosa la kutotii amri ya mtoto wa Rais au sheria itafuata msumeno??.
 
Well, kama navyojua kuwa tushaambiwa kuwa ZANZIBAR kuna mafuta na tukijitenga basi wao watabaki na mafuta yao...first of all i can admit kuwa i don't know about God being Brazilian lakini Now on a serious note regarding haya mafuta ya Brazili ni kuwa yapo 7,000 feet beneath the sea and then another 17,000 feet under a salt rock cap.

Now last time i checked the deepest rig we have today is 4,000 feet and the much-hyped Chevron's Jack-2 field in the Gulf of Mexico is a mile under the sea and another four miles under the sea bed.

Sasa the Pro MAFUTA YAPO ZANZIBAR ambao wanaongozwa na maalim seif sharif hamad wa CUF kuwa i will be forgoven for not getting on the MAFUTA YAPO ZANZIBAR BANDWAGON and of course cracking open a bottle of my finest Brazilian Cachaca but finding the oil is one thing, extracting it quite another. Sasa kwa haya mafuta yaliyogunduliwa Brazail naweza kusema kuwa the earliest this might be feasible is 2020. And with rigs going today at $520,000 per day in the not so deep North Sea, oil would have to fetch more than it is fetching today for this economically sensible. That day will come soon enough though in what shape we will be I do not know.

Sasa hawa CUF wanaweza kutuambia kuwa ni wapi serikali yao itapata huyop mchimbaji wa kulipwa dola laki tano na nusu perday kuchimba hayo mafuta ya Zanzibar?

Pili nani alifanya wapi hizo studies?

Lini?

Halafu nakumbuka Maalim Sefu aliwahi kuwaambia wanaCUF London kuwa ULE MKONDO WA MAFUTA YA ARABUNI UMEPITIA ZANZIBAR

sasa swali kama ni mkondo mbona hakusema source yake ni wapi?

Hivi kweli kutokana na mamabo ya GEO-POLITICS ya leo hivi waamerika wangekubali kuuuliwa kama kuku kule Falujah,Ramadi na kwingineko wakati mafutayapo hapo ZNZ?

Ukisikia siasa za alinacha za CUF ndio hizo!
Anyway link ya hii story hii hapa:

Brazilian President Luiz Inacio Lula da Silva said Tuesday in relation to his government's announcement earlier this month that massive new oil reserves had been discovered offshore. "This discovery... proves that God is Brazilian," he said during a speech at his presidential palace in the capital Brasilia.

His theological assertion is not original: Brazilians have long claimed that God shares their nationality on the basis of the natural resources at their disposal.

The British magazine The Economist also already made reference to that saying in its take on the oil find in an article last week titled "God may indeed be Brazilian after all."

http://www.breitbart.com/article.php...show_article=1
 
Last edited by a moderator:
Na wewe nawe! umekuwa kama yule "Geologist" wa Baba kutoka Reading....
 
I was surfing and i came across this interesting footage of what happened in Zanzibar during 63 (or 64 sikumbuki) mapinduzi, Anyone know more about it? How many died during mapinduzi ya zanzibar? Did Okello and his crew kill many people?

Here is the link to the footage (ignore the commentary but checkout the raw video.)

[media]http://www.youtube.com/watch?v=kT1LCuxXdcg&feature=related[/media]
 
I wonder if in 1964 the kind of a chopper we see existed, even the quality of the video is very good relatively. I would have expected it to be in black and white. For the story itself, who knows really?
 
not sure of the source either, should we report this video to Youtube? am not sure whether africancrisis.org know about this video either. lets ascertain the authenticity of the video people
 
Naona mpo kimya,hivi mmewasiki wabunge wao wamisema nini jana na juzi bungeni,naona wenye uchungu na Tanganyika lakini naamini Muungwana anakula timing tu siku akiamua kuwaondolea uvivu ndio mwisho wao.
 
Asalamu Alaykum.

Kuhusu Muungano hakuna lolote litakalokuwa zaidi ya kujadili kama nilivyosema awali kuuvunja muungano ni ndoto ya 'Alinacha'yaani ndoto ya mchana ambayo haina majibu mazuri yaani sio ndoto ya kweli.

kuhusu Suala la Mtoto wa Rais Karume huyo hawakilishi wazanzibari wote hilo ni lake kila mmoja mwenye heshima anajua kama alilofanya Fatma ni ukosefu wa adabu hajatumwa na mtu ni adabu zake fupi zilizomtuma kufanya tendo hilo na usichangaye mambo kwani sisi tukisema daktari wa muhimbili amefanya upasuaji wa hatari na kuhatarisha maisha ya kijana mmoja ndio tuseme tanzania nzima imekosea au tuseme watanzania wazembe kwa kufanya hilo? bila ya shaka itakuwa mzembe ni daktari aliyefanya tendo hilo na sio watanzania wote.

kuhusu mauaji watanzania wanasifika kwa mauaji tena ya kila namna kaka yangu, kuna yale ya siri kuna mengine ya dhahiri kuna yale ya kukomoana na kutiana adabu kwa hivyo ukisema kwanza puguza jazba maana tuna details nyingi sana za watanzania waliosababisha kwa njia moja au nyengine ambao wamepoteza roho za watu na sio wazanzibari pekee wanaohusika na mauaji hata wabara.

wakati wa Nyerere kuna mauaji yametokea mengi tu, hasa yale ya siri wakati wa Mkapa kuna mauaji yametokea mengi tu ukiwacha yale ya siri ambayo yanajulikana yamewashirikisha hata viongozi wa kitaifa wamepoteza maisha hapa nchini au hilo kulijua? wengi tu lakini pia kuna yale ya dhahiri kwa kisingizio cha maandamano ya unguja na pemba CUF walicharazwa risasi nani alitoa amri ile ni Karume peke yake? nani amiri jeshi wa nchi hii au hao polisi waliasi ndio wakauwa bila ya amri za viongozi? kuna mauaji ya mwembechai nani ametoa amri ya kutokea mauaji yale? ni Karume alitoa amri hiyo?

kaka kabla hujaandika jambo fikiria kwanza na usitumie jazba ujue kwamba wapo watu wana details nyingi za nchi hii na wala usitumie chuki zako kwa ajili ya kuwachukia wazanzibari kwani wao ni wadau muhimu katika tanzania yetu na ukiwa wewe unatuchukia basi sisi tunakupenda tena sana kwa sababu asilimia kubwa ya wazanzibari ni waislamu na dini yetu inasisitiza upendo.

stonetowner
 
Deadlock over exploitation of Z`bar oil, gas...

2007-12-07 08:42:58
By Austin Beyadi

The Government has said the exploitation of the oil and natural gas discovered in Zanzibar is awaiting agreement between the Union and Zanzibar governments on how the two parties will share the revenue to be collected.

This is because the development of Tanzania`s natural resources is one of the issues appearing on the list of Union matters and must benefit both sides of the United Republic, according to Minister of State in the Vice President`s Office (Union Affairs) Hussein Mwinyi.

The minister said in Dar es Salaam yesterday that, oil and natural gas apart, there were several areas calling for review in order to make sure both governments benefit.

Noting that the arrangement applied both ways, Mwinyi said that the Union government had once agreed with international companies on prospecting for oil in the country�s coastal areas.

``But before the foreign firms could start exploration work, the Zanzibar government raised concern over the modalities of sharing the revenue to be collected in case oil was discovered,`` he pointed out.

He explained that, after consultations between the two governments, it was agreed that a consultant be hired to give them ``technical advice`` on the issue of revenue sharing.

The minister said that a six-member committee with equal representation from both governments was subsequently formed in between to follow up the matter.

It has already prepared a draft paper to be presented to a committee of permanent secretaries in the relevant Union and Zanzibar ministries.

`The money for hiring the said consultant has been secured and the process of advertising the respective tender as per public procurement regulations has been completed,`` said Mwinyi, adding that the consultant would complete the work by the end of August next year ``if all goes well``.

The minister said hitches in the Union and Zanzibar constitutions and legal constraints were making it difficult to implement various agreements geared at solving some of the problems facing the Union.

The last two years have seen Tanzania lease large swaths of its offshore areas to exploration and production firms, among them Petrobras of Brazil, Statoil of Norway, and the Anglo-Irish Aminex.

It has long been confirmed that Tanzania has sizeable reserves of natural gas but the rich oil deposits eagerly awaited have remained elusive.

Offshore oil exploration plans by major international firms like Royal Dutch Shell have meanwhile been held up for years around the semi-autonomous islands of Zanzibar.

The stalemate will end only after agreement is reached between the Union and Zanzibar governments on the management and use of the expected revenue with the mainland government.

SOURCE: Guardian
Source link: IppMedia.

SteveD.
 
Back
Top Bottom