Ndg yangu Kitila,
Mimi nadhani JK amejaribu kutatua mgogoro wa Zenj, na hapo ndipo alipofikia. Jambo la msingi hapa kwa sasa ni kuelekeza nguvu zetu ktk kura ya maoni. Kama unaona kuna njia nyingine ya ufumbuzi basi ni vizuri ukaileta ktk JF ili tuifanyie kazi. Tuzinatie maslahi ya nchi hapa
Ndg yangu Kitila,
Mimi nadhani JK amejaribu kutatua mgogoro wa Zenj, na hapo ndipo alipofikia. Jambo la msingi hapa kwa sasa ni kuelekeza nguvu zetu ktk kura ya maoni. Kama unaona kuna njia nyingine ya ufumbuzi basi ni vizuri ukaileta ktk JF ili tuifanyie kazi. Tuzinatie maslahi ya nchi hapa
Ikumbukwe ya kuwa hakuna kiongozi aliyetamka na angalau kulishughulikia suala la muafaka kama alivyofanya JK. Alionesha nia yake ya kuutatua mgogoro wa Zenj pale alipohutubia Bunge kwa mara ya kwanza kama Rais. Aliendelea kufuatilia kwa ukaribu sana maendeleo ya mazungumzo ya muafaka, na hatimae akalipeleka suala hili nyeti likaamuliwe na Halmashauri Kuu ya Chama chake. Ni nani aliyethubutu kufanya hivyo huko nyuma?
Kikwete kama Kikwete asingelipeleka suala hili ktk Halmashauri Kuu kama asingekuwa hataki kupata suluhisho la mgogoro wa Zenj. Taarifa zinadai wajumbe waliokuwa wanaongoza kuipinga hoja hiyo walikuwa wanatoka Pemba.
Hivi wewe ndugu unaamini kuna mtanzania wa leo mwenye utoto kiasi hicho hata aweze kukubaliana n hizo porojo zako?
Mwafrika wa Kike,
Alichokifanya JK ni kuweza kulifikisha suala hili ktk ngazi ya kuamuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM. Hii inaonesha wazi kuwa yeye mwenyewe anapenda kupatikane suluhu za mgogoro huo.
Suala la Iraq ni suala la kijeshi, yaani nchi moja kuvamia nchi nyingine, kwa katiba ya Marekani lilihitaji kupata baraka za Congress. Suala la Zenj ni la kisiasa, linatakiwa kutatuliwa kisiasa, na ndio maana JK amekihusisha chaa chake. Kumbuka ya kuwa, wanaogombana Zenj ni CUF na CCM. Hivi vyote ni vyama vya Kisiasa
Mwafrika wa Kike,
JK angewezaje kuanza kulitolea maamuzi suala hili kwanza ktk NEC wakati hata hajui nini watakubaliana na CUF?
Let's be seriuos hapa jamani. Ktk kutatua mgogoro wowote kuna mambo muhimu LAZIMA yakubalike kwanza, nayo ni: Kuwe na pande mbili zinazotofautiana, pande hizo zikubali tofauti hiyo, pande hizo zikubali kusuluhishwa, pande hizo zimkubali msuluhishi na mwisho ni kukubali mahali patakapotumika kuluhisha.
Haya yote yakiwepo, hatua ya kwanza ni "negotiation", wasipokubalina ktk hatua hii, then wanaenda ktk hatua ya pili ya "mediation" na hatua ya tatu ni "arbitration?
Hivi hujui hata kamati ya muafaka ilikuwa na majukumu gani ya kufanya? au unatania tu?