Ndg yangu Kitila,
Mimi nadhani JK amejaribu kutatua mgogoro wa Zenj, na hapo ndipo alipofikia. Jambo la msingi hapa kwa sasa ni kuelekeza nguvu zetu ktk kura ya maoni. Kama unaona kuna njia nyingine ya ufumbuzi basi ni vizuri ukaileta ktk JF ili tuifanyie kazi. Tuzinatie maslahi ya nchi hapa