Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Ndg yangu Kitila,
Mimi nadhani JK amejaribu kutatua mgogoro wa Zenj, na hapo ndipo alipofikia. Jambo la msingi hapa kwa sasa ni kuelekeza nguvu zetu ktk kura ya maoni. Kama unaona kuna njia nyingine ya ufumbuzi basi ni vizuri ukaileta ktk JF ili tuifanyie kazi. Tuzinatie maslahi ya nchi hapa
 
I follow the Moskva
Down to Gorky Park
Listening to the wind of change
An August summer night
Soldiers passing by
Listening to the wind of change

The world closing in
Did you ever think
That we could be so close,like brothers
The future's in the air
I can feel it everywhere
Blowing with the wind of change

Chorus:
Take me to the magic of the moment
On a glory night
Where the children of tomorrow dream away
In the wind of change

Walking down the street
Distant memories
Are buried in the past forever

I fallow the Moskva
Down to Gorky Park
Listening to the wind of change

Take me to the magic of the moment
On a glory night
Where the children of tomorrow share their dreams
With you and me

Take me to the magic of the moment
On a glory night
Where the children of tomorrow dream away
In the wind of change

The wind of change blows straight
Into the face of time
Like a stormwind that will ring
The freedom bell for peace of mind
Let your balalaika sing
What my guitar wants to say

Take me to the magic of the moment
On a glory night
Where the children of tomorrow share their dreams
With you and me

Take me to the magic of the moment
On a glory night
Where the children of tomorrow dream away
In the wind of change
 
Ndg yangu Kitila,
Mimi nadhani JK amejaribu kutatua mgogoro wa Zenj, na hapo ndipo alipofikia. Jambo la msingi hapa kwa sasa ni kuelekeza nguvu zetu ktk kura ya maoni. Kama unaona kuna njia nyingine ya ufumbuzi basi ni vizuri ukaileta ktk JF ili tuifanyie kazi. Tuzinatie maslahi ya nchi hapa

Alichofanya exactly JK hapa ni kipi?
 
Ndg yangu Kitila,
Mimi nadhani JK amejaribu kutatua mgogoro wa Zenj, na hapo ndipo alipofikia. Jambo la msingi hapa kwa sasa ni kuelekeza nguvu zetu ktk kura ya maoni. Kama unaona kuna njia nyingine ya ufumbuzi basi ni vizuri ukaileta ktk JF ili tuifanyie kazi. Tuzinatie maslahi ya nchi hapa

Sisi tuzingatie maslahi ya Nchi na JK na kundi lake wanazingatia maslahi ya Chama chao tutafika ?
 
Ikumbukwe ya kuwa hakuna kiongozi aliyetamka na angalau kulishughulikia suala la muafaka kama alivyofanya JK. Alionesha nia yake ya kuutatua mgogoro wa Zenj pale alipohutubia Bunge kwa mara ya kwanza kama Rais. Aliendelea kufuatilia kwa ukaribu sana maendeleo ya mazungumzo ya muafaka, na hatimae akalipeleka suala hili nyeti likaamuliwe na Halmashauri Kuu ya Chama chake. Ni nani aliyethubutu kufanya hivyo huko nyuma?
Kikwete kama Kikwete asingelipeleka suala hili ktk Halmashauri Kuu kama asingekuwa hataki kupata suluhisho la mgogoro wa Zenj. Taarifa zinadai wajumbe waliokuwa wanaongoza kuipinga hoja hiyo walikuwa wanatoka Pemba.
 
Unajua hata Bush alipeleka suala la kuivamia Iraq kijeshi kwenye congress ya Marekani na kwenye umoja wa mataifa (ingawa alijua kabisa kuwa alikuwa anafanya hivyo kinafiki)!
 
CCM wanachong'ang'ania ni nini..its easy walishacheza rafu sasa wawape haki hawa wenzao..serikali ya mseto ndio dawa kuu..kinyume cha hapo ni majuto.
 
Mwafrika wa Kike,

Alichokifanya JK ni kuweza kulifikisha suala hili ktk ngazi ya kuamuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM. Hii inaonesha wazi kuwa yeye mwenyewe anapenda kupatikane suluhu za mgogoro huo.
 
Ukweli ni kwamba JK alijiona ataweza kuihimili CCM ,lakini kushindwa huku ambako alitilia mkazo kuwa angehitimisha na WaTz wote watashangaa ndiko kumemuweka wazi kuwa ana matatizo makubwa ndani ya Chama chake na kwa wenye kuifahamu CCM juu ya Mwenyekiti wake anavyokuwa na nguvu za mwisho sasa wataona Muungwana amefeli na mitandao iliyomo ndani ya CCM ipo na inafanya kazi na imeanza kumzidi nguvu ya kumwangusha kisiasa ,hii ni kazi ya mitandao ambayo alidai ameimaliza ila makubwa yajayo na tutaona jinsi anavyosambaratishwa muda si mrefu na huu ni mwanzo.
 
Mwafrika wa Kike,

Alichokifanya JK ni kuweza kulifikisha suala hili ktk ngazi ya kuamuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM. Hii inaonesha wazi kuwa yeye mwenyewe anapenda kupatikane suluhu za mgogoro huo.

Na halmashauri ya taifa walichoamua ni nini hasa? Unajua the same strategy ilikuwa inatumiwa na Kibaki kule Kenya ambako alitaka utata wa uchaguzi uamuliwe na croni zake kwenye mahakama kuu.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutaka kufanya kitu na actually kufanya kile unachotaka kufanya. Inaonekana Kikwete bado yuko kwenye kampeni ya kutaka kufanya vitu na bila kujua kuwa muda na thamani kubwa ya huo muda vinakwenda.

Kutaka kufanya kitu hakutoshi, kinachotakiwa ni actually doing something! Kama Kikwete alijua kuwa in the end halmashauri kuu ya ccm ndiyo itaamua haya. Kwa nini hakuanzia huko in the first place kuliko kupoteza muda kwenye kamati ya mwafaka ambayo maamuzi yake kulingana na Kikwete na wana ccm sio binding?
 
Suala la Iraq ni suala la kijeshi, yaani nchi moja kuvamia nchi nyingine, kwa katiba ya Marekani lilihitaji kupata baraka za Congress. Suala la Zenj ni la kisiasa, linatakiwa kutatuliwa kisiasa, na ndio maana JK amekihusisha chaa chake. Kumbuka ya kuwa, wanaogombana Zenj ni CUF na CCM. Hivi vyote ni vyama vya Kisiasa
 
Na ile kamati ya mwafaka kazi yake ilikuwa nini vile?!
 
Mwafrika wa Kike,

JK angewezaje kuanza kulitolea maamuzi suala hili kwanza ktk NEC wakati hata hajui nini watakubaliana na CUF? Let's be seriuos hapa jamani. Ktk kutatua mgogoro wowote kuna mambo muhimu LAZIMA yakubalike kwanza, nayo ni: Kuwe na pande mbili zinazotofautiana, pande hizo zikubali tofauti hiyo, pande hizo zikubali kusuluhishwa, pande hizo zimkubali msuluhishi na mwisho ni kukubali mahali patakapotumika kuluhisha. Haya yote yakiwepo, hatua ya kwanza ni "negotiation", wasipokubalina ktk hatua hii, then wanaenda ktk hatua ya pili ya "mediation" na hatua ya tatu ni "arbitration?
 
Hivi hujui hata kamati ya muafaka ilikuwa na majukumu gani ya kufanya? au unatania tu?
 
Mwafrika wa Kike,

JK angewezaje kuanza kulitolea maamuzi suala hili kwanza ktk NEC wakati hata hajui nini watakubaliana na CUF?

Hold on a minute!

Umesahau kuwa unaongea kwenye JF ambako kuna record zinatunzwa. Hili swala la mwafaka lilitolewa uamuzi na kamati ya mwafaka ya both CUF na CCM. Kuna report nyingi hapa za kuthibitisha hili. Wewe unachosema kuwa JK hakujua nini watakubaliana na CUF una maana gani mkuu?

Let's be seriuos hapa jamani. Ktk kutatua mgogoro wowote kuna mambo muhimu LAZIMA yakubalike kwanza, nayo ni: Kuwe na pande mbili zinazotofautiana, pande hizo zikubali tofauti hiyo, pande hizo zikubali kusuluhishwa, pande hizo zimkubali msuluhishi na mwisho ni kukubali mahali patakapotumika kuluhisha.

Haya yote yameshatimia na yamekuwa yanaendelea for the last two years. Unataka nini zaidi katika hili?

Haya yote yakiwepo, hatua ya kwanza ni "negotiation", wasipokubalina ktk hatua hii, then wanaenda ktk hatua ya pili ya "mediation" na hatua ya tatu ni "arbitration?

Hapa mkuu Kinvaba unaishiwa spinning, jaribu kuja na nyingine. Hizi process zote kama ndizo mulitaka kuvutia muda, zimekuwa zinaendelea for the last 2 years (to be polite maana ukweli ni kuwa haya mambo yalianza kuzungumziwa baada ya uchaguzi wa 1995) ambayo Kikwete amekuwa madarakani!
 
Kikwete ameingia madarakani kama Rais na M/kiti wa CCM mwaka 2005 baada ya uchaguzi mkuu kufanyika. kabla ya hapo alikuwa waziri wa mambo ya nje.

Suala la muafaka lilitokea baada ya CCM na CUF kutofautiana ktk uchaguzi mkuu. Walihitaji kupitia tofauti zao ili wapate muafaka.

Wewe ulikuwa na ushauri gani ktk utatuzi wa mgogoro huu?
 
Back
Top Bottom