Sikiliza Mkwawa acha wapeleke ila si kwamba watakuwa wamepata dawa ya muungano ila watakuwa wameongeza shida zaidi kwa huyu mgonjwa wao. Na kesho keshokutwa jambo hili litarudi kule kule back to squire one.Hili suala hata mimi niliwahi kusema si suala la Lowassa na Vuai!
Hivi CCM na viongozi wake ni lini watakubaliana kuwa watanzania wana mawazo nao wanaweza kuchangia?
Kuhusu muungano ninakubaliana na wewe ni vema tuuvunje kwanza au iundwe serikali moja hata ukisoma kitabu cha Mwalimu uongozi na ... alishauri serikali moja kwa sababu alisema muundo wa muungano ni serilaki mbili kuelekea serkali moja baadaye. Lakini zanzibar cini ya CUF na CCM wenye we huko wanataka serikali tatu ili waendelee kutunyonya zaidi!!
Sawa haya ya (Lowaasa na Vuai )yakipelekwa bungeni yakapitishwa yatakuwa mabaya zaidi kuliko hata ya Nyerere na Karume . Hawa watu wa bara wataumia zaidi lakini hao hao wa bara wamekuwa kama
walinyweshwa dawa kuhuu muungano hawataki kabisa kuungolea!!!
Hapa ndipo huwa ninakubaliana na Mtikila!
Mwiba,
Mwiba at least leo umekuja na rangi yako.. maneno yako hayana tofauti kabisa na Kaburu na hakika Zanzibar itaendela kuwa chini ya Bara kwa nguvu zote...
Cha ajabu ni kwamba nyie Wa-Comoro (wa kuja) wahamiaji Zanzibar ndio wenye mdomo sana nadhani ipo haja ya kuwarudisha kwanza kwenu ambako tumewafunga kamba za mbuzi.
Hivi mkuu umewahi kujitazama ktk kioo kuangalia mabichwa yenu yasiyokuwa na kisogo jinsi yalivyoishinda uzito shingo? au huwa unatazama zile pua za kiarabu ambazo hazina sifa zaidi ya kuitwa mipua!
Wacha Jazba ,inaonyesha umekasirika niliposema machogo,inaonyesha wewe sulubu za siasa huziwezi,unajua wakati wakampeni Salimin amour alimchokoza Seif Sharifu katika majukwaa nae kwa vile Seif ni mtaalamu wa siasa za malumbano akamwambia Salimini kuwa ameonekana baharini akifamya ugagula na moja ya lichokifanya eti alivua nguo zote na kukalia fenesi sasa weka kando hayo,mbona wengine kuitwa wapemba hawakasiriki japo hawapendi na WaZanzibari wote wanapotua bandarini dar wanaitwa wapemba na ndio hivyo hivyo wanaotoka Tanganyika nao huitwa machogo nakumbuka nilipokuwa nikisoma Ngamiani Tanga ile shule ambayo sasa inaitwa Jumuia mkabala na standi ya mabasi kwa ndani unaipata hospitali ya Ngamiani karibu na kituo cha matreni ulikuwepo wakati wa mabezo basi aliekuwa na chogo akiingia kwenye mabezo hupata tabu sana na kwa vile kwenye siasa na wanaopingana na Zanzibar wana machogo sio kosa kuwawakilisha kwa msamiati huo.Mwiba,
Mwiba at least leo umekuja na rangi yako.. maneno yako hayana tofauti kabisa na Kaburu na hakika Zanzibar itaendela kuwa chini ya Bara kwa nguvu zote...
Cha ajabu ni kwamba nyie Wa-Comoro (wa kuja) wahamiaji Zanzibar ndio wenye mdomo sana nadhani ipo haja ya kuwarudisha kwanza kwenu ambako tumewafunga kamba za mbuzi.
Hivi mkuu umewahi kujitazama ktk kioo kuangalia mabichwa yenu yasiyokuwa na kisogo jinsi yalivyoishinda uzito shingo? au huwa unatazama zile pua za kiarabu ambazo hazina sifa zaidi ya kuitwa mipua!
Zanzibar kama wakileta fujo basi watakiona cha mtema kuni kilichomtoa kanga manyoya Usalama wa Tanzania ni pamoja na kuona hakuna anayeleta choko choko kule visiwani, mifano ipo mingi Taiwan, Hong Kong n.k. Tanzania imetumia pesa nyingi sana kuifanya Zanzibar na mahali popote pale Tanzania kuwa hapo ilipo, waswahili walisema Usione vinaelea Vimeundwa. Hakuna kuvunja huu muungano - PERIOD!
Mkuu sina jazba isipokuwa unapouchonga jua wengine pia twaweza, hakuna jazba hapa hata kidogo Uhuni hujibiwa kwa uhuni. Umetuita machogo kama neno la kutuona sisi tupo chini yaani binadamu waliokuwa na kasoro ya kimwili. Hii haisemi mtu mmoja wala kundi dogo la watu ila tusi lenu kubwa kwa Watanzania wote wa bara. Ttatizo la msemo huu metokana na watu wa kuja Wa Comoro ambao tumewapatia hifadhi Bara na Visiwani bila shukran mnaanza kuleta za kuleta kama Makaburu. Tutawafanyia kikweli maanake mnajiingiza sana ktk siasa za Tanzania wakati hamna hata nchi.. Ombeni tuwarudisheni Comoro hilo litakuwa wazo zuri sana..Wacha Jazba ,inaonyesha umekasirika niliposema machogo,inaonyesha wewe sulubu za siasa huziwezi,unajua wakati wakampeni Salimin amour alimchokoza Seif Sharifu katika majukwaa nae kwa vile Seif ni mtaalamu wa siasa za malumbano akamwambia Salimini kuwa ameonekana baharini akifamya ugagula na moja ya lichokifanya eti alivua nguo zote na kukalia fenesi sasa weka kando hayo,mbona wengine kuitwa wapemba hawakasiriki japo hawapendi na WaZanzibari wote wanapotua bandarini dar wanaitwa wapemba na ndio hivyo hivyo wanaotoka Tanganyika nao huitwa machogo nakumbuka nilipokuwa nikisoma Ngamiani Tanga ile shule ambayo sasa inaitwa Jumuia mkabala na standi ya mabasi kwa ndani unaipata hospitali ya Ngamiani karibu na kituo cha matreni ulikuwepo wakati wa mabezo basi aliekuwa na chogo akiingia kwenye mabezo hupata tabu sana na kwa vile kwenye siasa na wanaopingana na Zanzibar wana machogo sio kosa kuwawakilisha kwa msamiati huo.
This is the price which our country is paying for allowing some people to be our leaders because of the stolen money. SAS hakuwa na hela ya kuwapa wajumbe wa Mkutano mkuu CCM na ndiye aliyekuwa anatakiwa awe kiongozi wa Tanzania ambaye angerudisha heshima ya IKULU yetu. Sasa watumie tena hela kuzima mjadala wa kuvunja muungano kwa ama kuwapa vyeo baadhi ya wabunge wanaopigia kelele kuwa mawaziri au kuwafungulia accounts offshore. G55 ilizimwa na Mwinyi kwenye hoja ya Tanganyika kwa kuwapatia vyeo baadhi ya vinara wake.
Muungano ni kitu muhimu sana lakini uwe muungano wa kweli watu waujadili na kuja na suluhu itakayoridhiwa na WATANZANIA wa pande zote na sio issue ya kigenge cha wachache wanaojiita CCM. Hoja nzito kama hii AGENDA irudishwe kwa wananchi.
Tatizo linalotokea leo ni result of RISK AVOIDANCE tendancy ya Viongozi wa Tanzania kila mmoja hataki kuliongea kwa kuhofia Muungano kuvunjikia kwake. Tusipoziba ufa tutajenga ukuta. Tusipouongelea muungano leo huko tuendako tutakosa nafasi ya kuuongelea na itabaki kuwa majuto baada ya kuvunjika.
Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha.
Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional reforms".
Kwa upande wangu sikubaliana na ufumbuzi waliofikia kwa 100%
Check this out:
1) mineral and oil exploration be co-opted into the national debate on the future of the political federation.
-debate is good but mineral and oil exploration should not be political.
2)Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) should have an equal number of representatives from either side.
-Equal number kwa vigezo gani? Idadi ya watu? Tuelezene mlivyokuja na hiyo soultion equal number of people.
3)consultant on the distribution of wealth generated through mining and oil extraction be hired to advise the Union government on how it can be shared equitably.
-Please kama ni hivyo na huo muungano hatuutaki. For what?
4)It was decided that 50 per cent of the income would be used to finance the operations of the authority and the other 50 per cent be distributed on the basis of 60 per cent for the Mainland and 40 per cent for Zanzibar.
-Hivi hizo hesabu mnafanyaje? How did you come up with 60%, ardhi, watu,?????
Najua watanzania hawataki kuongelea muungano wakiogopa mizimu ya Mwalimu. Kwa upande wangu kuna mambo mawili tu hapa ambayo yanaweza kuleta ufumbuzi wa kudumu kwanza kuuvunja muungana na Zanzibar ikawa nchi kama ilivyo Kenya na tutaendelea kushirikian nao kama tunavyoshirikiana na Kenya, au Zanzibar uwe mkoa. zanzibar kuna watu wasiozidi 3 mil wakati mkoa wa Dar tu una watu 4 mil. Hapo utajiuliza ni kivitu tugawane nusu kwa nusu?
Kama watu hamtaki kuongela hili sual basi mwezi October linaengia kwenye katiba.
Mzee Mkandara,
Mimi naamini hakuna kitu kitachotutengenisha kati yenu na Zanzibar kijamii, sisi ni wamoja na tunashirikiana vizuri sana kijamii. Muungano wa kiuchumi na kisiasa unaturudisha nyuma sana kimaendeleo. Ni kitu ambacho hakiingii akilini kwa nini Zanzibar iwe na serikali yake ndani yamuungano wakati Dar es Salaam ambayo wakati wake ni mara mbili ya wakazi wa visiwani na bado wanataka wachukua 40% for what. Kama hawataki Zanzibar uwe mkoa basi muungano wa kisisa na uchumi ufe, ni gharama kubwa kwa serikali ya Muungano.
Muungwana ni vitendo, huyo mnayemuita Muungwana anafanana na matendo yake?