Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mambo haya ya mafuta na matumizi yake n.k yananifanya nikumbuke kisa kimoja cha hekaya za mtu aitwaye Alinacha... kisa hiko watu wengi wanakifahamu kama "ndoto za Alinacha"..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa je Visiwani mafuta yapo??
Au mbuzi ktk gunia bado??
Umenikumbusha kitu ambacho naomba wasomi watusaidie hapa. Kuna ile sheria ya Bahari ambayo ina upendeleo maalum kwa Visiwa. Ukizingatia sheria ile Tanganyika eneo lake la bahari ni Kilomita chache tu ambazo inaweza kufanya bandari na kuvuwa vibua tu, lakini ile exlusive economic zone (katika bahari kuu) imechukuliwa na visiwa vya Zanzibar. Sasa ukiondoa mpaka huo (Yaani ukivunja Tanzania) na kurejesha mpaka wa baharini wa Zanzibar na Tanganyika.Tanganyika haina chake. Ndipo pale Mwalimu Nyerere alipokuna kichwa na kutania kama ana uwezo angehamisha Visiwa vya Zanzibar akavitokomeza mbali - visiwe karibu na Tanganyika. Hakufanya hivyo lakini amejitahidi kuleta Muungano na kufuta mpaka ule wa baharini kati ya Tanganyika na Zanzibar. Msichokone mambo jamani. Watoto wetu wanahitaji kuishi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...hakuna suala la kujadiliana hapo. Zanzibar wachimbe mafuta yaliyoko ktk eneo lao.
..ifahamike kwamba kuna eneo la bahari kati ya Zanzibar na Tanganyika ambalo tuna-share, kwa maana kwamba haliwezi kuwa defined ni eneo la upande mmoja wa Muungano kwa kuzingatia sheria za kimataifa za bahari.
Sasa mbuzi katika gunia kwa nini Mnamshikilia (Wa-Tanganyka) Si muwakubalie tu Wazanzibari kile wasichopendelea kiwemo kwenye Muungano basi wakitoe. Kwanza Makubaliano ya Muungano si Msahafu. Kama kuyabadili kulingana na matakwa ya upande mmoja kwa nini isiwe hivyo.sasa je Visiwani mafuta yapo??
Au mbuzi ktk gunia bado??
ukisikia uchochezi ndo huotaarifa zilizotufikia hivi punde zinasema bunge la wawakilishi znz lilikutana ghafla kwa kificho katika hotel ya serena zanzibar jana usiku , katika mkutano huo kulikuwa na wazungu kadhaa waliokuja na magari ya kufahari lakini wakaondoka na magari ya kawaida baada ya kuona watu wameanza kuwa na wasiwasi nao haijulikani walijadili nini katika mkutano huo inawezekana ni suala la muungano na mengine yanayohusiana mafuta
Pakacha said:Umenikumbusha kitu ambacho naomba wasomi watusaidie hapa. Kuna ile sheria ya Bahari ambayo ina upendeleo maalum kwa Visiwa. Ukizingatia sheria ile Tanganyika eneo lake la bahari ni Kilomita chache tu ambazo inaweza kufanya bandari na kuvuwa vibua tu, lakini ile exlusive economic zone (katika bahari kuu) imechuliwa na visiwa vya Zanzibar. Sasa ukiondoa mpaka huo (Yaani ukivunja Tanzania) na kurejesha mpaka wa baharini wa Zanzibar na Tanganyika.Tanganyika haina chake. Ndipo pale Mwalimu Nyerere alipokuna kichwa na kutania kama ana uwezo angehamisha Visiwa vya Zanzibar akavitokomeza mabli - visiwe karibu na Tanganyika. Hakufanya hivyo lakini amejitahidi kuleta Muungano na kufuta mpaka ule wa baharini kati ya Tanganyika na Zanzibar. Msichokone mambo jamani. Watoto wetu wanahitaji kuishi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sasa kama mshauri mwelekezi anasema hakuna mafuta, halafu wakati huohuo anasema kama yapo yawe ya muungano, nani anaota ndoto za mchana?ni wazanzibar wanaosema kama yapo yabakiea kwao au smt wanaotaka yawe ya Muungano?Mambo haya ya mafuta na matumizi yake n.k yananifanya nikumbuke kisa kimoja cha hekaya za mtu aitwaye Alinacha... kisa hiko watu wengi wanakifahamu kama "ndoto za Alinacha"..
waswahili tunamsemo wetu 'lisemwalo lipo kama halipo laja'sasa mbuzi katika gunia kwa nini mnamshikilia (wa-tanganyka) si muwakubalie tu wazanzibari kile wasichopendelea kiwemo kwenye muungano basi wakitoe. Kwanza makubaliano ya muungano si msahafu. Kama kuyabadili kulingana na matakwa ya upande mmoja kwa nini isiwe hivyo.
Kaka yangu na bado Tanzania Mainland (Kwa wewe siyo Tanganyika) ina madini mengi tu ardhini, pamoja na mafuta pamoja na gesi kibao pamoja na ardhi nzuri ya kilimo. Kwa nini isikubali hii rajuwa iliyoko Zenj watumie wale Waswahili kule peke yao ambao hawana chochote kile chengine cha kutegemea (karafuu ishaanguka ).Pakacha,
..inawezekana waliotumbukiza mafuta ktk masuala ya Muungano waliona mgongano unaoweza kutokea kutokana na ukaribu wa Zanzibar na pwani ya Tanganyika.
..lakini pamoja na wasiwasi uliounyesha bado Tanganyika ina eneo kubwa la bahari kuanzia Dar-Es-Salaam kuelekea Mtwara na hakuna sababu ya kukorofishana na wa-Zanzibari.
Mshauri Muelekezi amefurunda Bwana. Mimi nilifurahi pale pale wawakilishi walipombwatukia katika semina yake pale Zenj.Sasa kama mshauri mwelekezi anasema hakuna mafuta, halafu wakati huohuo anasema kama yapo yawe ya muungano, nani anaota ndoto za mchana?ni wazanzibar wanaosema kama yapo yabakiea kwao au smt wanaotaka yawe ya Muungano?
jokaKuu,..hakuna suala la kujadiliana hapo. Zanzibar wachimbe mafuta yaliyoko ktk eneo lao.
..ifahamike kwamba kuna eneo la bahari kati ya Zanzibar na Tanganyika ambalo tuna-share, kwa maana kwamba haliwezi kuwa defined ni eneo la upande mmoja wa Muungano kwa kuzingatia sheria za kimataifa za bahari.
..utafiti na uchimbaji mafuta ktk eneo la bahari nililolielezea hapo juu ndiyo uwe suala la Muungano.
Sasa mbuzi katika gunia kwa nini Mnamshikilia (Wa-Tanganyka) Si muwakubalie tu Wazanzibari kile wasichopendelea kiwemo kwenye Muungano basi wakitoe. Kwanza Makubaliano ya Muungano si Msahafu. Kama kuyabadili kulingana na matakwa ya upande mmoja kwa nini isiwe hivyo.
Basi kwanini isiwe serikali ya bara ikawaachia wazanzibar walau "hicho" kidumu kimoja? wakati wao maadini yao na gesi zikabaki kwa kwisha ugomvi. SISI tunakhofu tukileta ushirika mtaitupa rasilimali hii kwa wajanja kama mnavyoyatupa maadini yenu.Na wka nini Wazanzibariw asikubaliane na wabara kuhusiana na kulifanya suala hilo kuwa la Muungano?
Wazanzibari hamtaki kuwaelewa wamehoji na madini yaliyojaa bwerere Bara nayo pia yawe ya Muungano. Na tuzungumze hapa.Na wka nini Wazanzibariw asikubaliane na wabara kuhusiana na kulifanya suala hilo kuwa la Muungano?