MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Ila awamu hii, Tanganyika imeingia choo cha kike.
Waswahili tunasema "usiyempenda kaja"
Waswahili tunasema "usiyempenda kaja"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndivyo mnataka? Nakuhakikishia in case of kuvunjika Muungano tutaanza hapa kuulizana wewe msukuma wewe mchaga huu ni unabii unaoishi.Natoa tu angalizo
Maana naona Mjadala wa Tanganyika unashika kasi kana kwamba ni Jambo jema kumbe ndio kuharibu zaidi
Muungano ukivunjika na Bandari huna ndio itakuwa nini!!!
Kuweni wenye kutafakari!
cc: Daudi Mchambuzi- Machame
nawe rudi kwenu hapo siyo kwenu we nyau. Hata hiyo bandari haiko kwenuUsitutishe na propaganda za mwaka 1970,kama tumechokana kila mtu aishi kivyake
Vunja Muungano tuone na wewe kama hujarudi kwenuIla awamu hii, Tanganyika imeingia choo cha kike.
Waswahili tunasema "usiyempenda kaja"
Asante sana,Usitutishe na propaganda za mwaka 1970,kama tumechokana kila mtu aishi kivyake
Kwetu wapi ?Vunja Muungano tuone na wewe kama hujarudi kwenu
Hiyo bandari iko karibu zaidi Zanzibar kuliko mkoani kwenu kwa maana hiyo km ni ubaguzi hiyo bandari wala haikuhusu. Msitake kuonja sumu ninyi vijanaNi kweli kabisa. Tukianza kubaguana hatutakaa tuache mpaka nchi isambaratike kabisa.
Lakini kuna maamuzi viongozi wanafanya inapelekea watu kutoa maneno makali sana.
Hili la bandari linashangaza sana, kwenye mambo mengine ya maendeleo tunakumbushana kushirikiana na wenzetu wa visiwani. Ila la Dp World (ambalo tumeambiwa lina manufaa makubwa) hatuwashirikishi. Watu wanafikia conclusion gani? Utawalaumu?
Hawa viongozi wajitafakari sana, nchi ikisambaratika sijui watajiongoza wenyewe?
Ukivunjika tutajua kabila lako na Mkoa wako utarudi, unadhani Kuna Mikoa itakubali kutawaliwa kindezi na Wasukuma dizaini ya kina Mwendazake?Kwetu wapi ?
Tanganyika na Zanzibar ziliingizwa Vyoo vya Kike na Nyerere na Karume usitafute mchawi mwingine.Ila awamu hii, Tanganyika imeingia choo cha kike.
Waswahili tunasema "usiyempenda kaja"
😄😄 Utarudi Ukikuyuni huko Kenya!Asante sana,
Hapo sasa!Just imagine muungano unavunjiks bandari huna na walioiuza ni wale wa kisiwani[emoji1787]
Best loosers [emoji1787]
Primitive Propaganda.😄😄 Utarudi Ukikuyuni huko Kenya!
Wewe endelea kuwasingizia wafu ilhali wao waliwaachia nchi ziko salama kabisa, ujinga wenu wa kuendekeza siasa za kijinga-kijinga ndiyo unalitumbukiza hili taifa shimoni. Ukiendelea hivi utalaumu kila kitu kwa Nyerere na Karume wakati umeufumbia macho ukweli mchungu kwamba Raisi Samia hawezi kuvaa viatu vya uraisi. Nchi siyo vicobaTanganyika na Zanzibar ziliingizwa Vyoo vya Kike na Nyerere na Karume usitafute mchawi mwingine.
Nyerere alikimbilia kuchanganya mchanga bila kuwauliza Watanganyika hali kadhalika Karume.
Nyerere aliondoa Uchifu Hangaya anarudisha Uchifu acheni kuchezea akili za watu.Utajua hujui
Mbowe atarudi Malawi
Unavunjika lini ?Ukivunjika tutajua kabila lako na Mkoa wako utarudi, unadhani Kuna Mikoa itakubali kutawaliwa kindezi na Wasukuma dizaini ya kina Mwendazake?