Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaweza. Mbona Ali Hassan Mwinyi na Hussein Mwinyi wameweza kuongoza? Soma historia ya Mwinyi utajua alikozaliwa siyo visiwani bali Kivure pale mkoani Pwani.Muungano wetu mzuri sana lakini Kuna mambo tunaitaji kuelimishwa
1.kwa nini mtanganyika harushusiwi kuwa kiongozi kule Zanzibar...
Muongo mkubwa.Anaweza. Mbona Ali Hassan Mwinyi na Hussein Mwinyi wameweza kuongoza? Soma historia ya Mwinyi utajua alikozaliwa siyo visiwani bali Kivure pale mkoani Pwani.
Muongo wewe. Lakini bado hao si wazanzibari na umekiri mwenyewe.Muongo mkubwa.
Mwinyi ni Mzanzibari, aliongoza Zanzibar kama Mzanzibari, kama aliovyoongoza Mzee Abeid Karume mzaliwa wa Malawi.
Wote wawili na wengine wengi wamepata Uzanzibar kwa sababu nchi imepatikana wakiwa pale pale (Mapinduzi 1964) hivyo waafrika wote waliokuwa kwenye Ardhi hio ndio wananchi.
Anaruhusiwa, wapo wengi wenye leasee2.je mtanganyika anaruhusiwa kumiliki ardhi kule Zanzibar?
Mzanzibari wa kweli ni Mreno aliekaa miaka 400.Muongo wewe. Lakini bado hao si wazanzibari na umekiri mwenyewe.
Do you know the meaning of a saying which says yours is mine, and mine is mine!? This is all about the useless Union between Tanganyika and Zanzibar.Muungano wetu mzuri sana lakini Kuna mambo tunaitaji kuelimishwa
1.kwa nini mtanganyika harushusiwi kuwa kiongozi kule Zanzibar?
2.je mtanganyika anaruhusiwa kumiliki ardhi kule Zanzibar?
3.je mwanafunzi anaruhusiwa kusoma kule bila kuwa na resident permit?
4.kwa nini mzanzibar anaruhusiwa kuwa kiongozi huku Tanganyika hususani raisi au waziri?
5.Why bandari ya Dar imekodishwa na si bandari ya Zanzibar?
6.why gharama za ushuru kule bandari ya Zanzibar ni ndogo compared to DAR port?
7.je huwa tunagawana mapato sawasawa
Umiliki Ardhi ili iweje?Kumiliki Ardhi mpaka uwe na kitambulisho cha Mzanzibari.
Sio ngumu kukipata.
Kwa urahisi zaidi vinatolewa ovyo na bure kipindi cha uchaguzi ili wapate kura za watu wa bara ambao huenda wakaipa ssiemu kura, mzenji wa kawaida hata hao wanaovaa kijani hawatoi kura ssiemu.
Vizieni hicho kitambulisho kabla ya uchaguzi mkuu ili mpate kumiliki Ardhi zenji.