Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

na kwakuwa cuf ni pemba na ccm ni unguja maeneo mengi watasumbuana sana, inaweza kuwa kama somalia.ikawa badala ya kujenga uchumi tunapeleka majeshi kulinda magaidi

Pu-mbav!mumeshindwa kulinda tembo wenu na albino wasiuliwe muje kuweza kulinda magaidi?
 
Mkuu vunjika kwanza wewe ndiyo uzungumzie muungano wetu kuvunjika umeukuta na utauacha.
 
Mkuu tusiwachoke wale wanaburuzwa na sefu wakati yeye anamalengo yake tuwashauri tusiwachoke kabisa.
 
na kwakuwa cuf ni pemba na ccm ni unguja maeneo mengi watasumbuana sana, inaweza kuwa kama somalia.ikawa badala ya kujenga uchumi tunapeleka majeshi kulinda magaidi

hilo sio tatizo kwetu,, Kwa sababu watakuwa na Zanzibar yao na sisi na tanzania yetu,, hapa kila mtu bila shaka atakuwa na jeshi lake!!! wakivurugana wenyewe sisi tutalinda mipaka yetu, mbona tuna majirani tunaishi nao, kenya, uganda na wengineo. nao watakuwa ni nchi katika OAU,, tatizo lao lolote litakuwa solved kwenye OAU , Kama watapigana itakuwa ujinga wao kama wengine wasio na amani, nawatakapopigana watakuja OAU sisi tutalinda mipaka yetu..
 
Mi nashangaa sana unajua ukweli unaosababisha hii tanganyika isiendelee ni ukubwa wake kwani viongozi wetu hawajajaliwa kuongoza vitu vikubwa vikubwa kwani hata familia zao zinawashinda sembuse tanganyika + zanzibar tena kwa kuongeza serikali nyingine.mi naona huu muungano tuachane nao then na huku tanganyika tufanye serikali za majimbo then hii tanganyika itaendelea kuliko hapa tulipo.wazanzibar wanataka zanzibar yao wapewe tu.huu muungano ni sawa na kung'ang'ania kuishi na mke ambaye hakutaki
 
Ni kweli Maana hao wana hamu sana na kuludisha wakoloni wa Kiaraabu ni Watu wenye njaa ya kutawaliwa wakati Dunia nzima inapiga vita Ukoloni wao wanashangaza Dunia kwa Kuwa na kiu ya Ukoloni Mtoto akililia Wembe mwachie ukimkata atashituka hao Wazanzibar ipo siku wataikumbuka Tanganyika baada ya Mateso ya waarabu kuwaathili
 
Achana nao hata wakipiga kura kujiunga na Somalia poa tu,wakileta chochoko ni kuwamwagia uji wa moto basi.
 
Muungano wetu unatikiswa kwa hoja ya serkali 3, lakini tukiwa na serikali 2 Tutadumu kwa miaka 50 mingine.

Naombeni tuunge two government system reformed.

Kwani muungano wa sasa si serikali mbili? Mbona misuguano inaongezeka badala ya kupungua?!

Umeshawahi kufuatilia vikao vya baraza la wawakilishi Zanzibar ukawasikia wanavyoponda muungano?!
 
Pia zanzibar ni kama kupe kwa tanganyika.we have resources in short we are reach ila nashangaa wanaoulilia muungano why why what do we get from them? Wapeni zanzibar yao siku wakitaka kurudi tutawakaribisha.mwanamke halazimishwi kuolewa anaamua kwa hiari kila kitu nyerere for what watu tuwe tunaangalia uhalisia na sio reference.
 
ikitokea Muungano Ukafariki Hakika Tanganyika itakuwa Nchi Tajiri sana Kama South Africa kwani Wazanzibar watalipia Viza na vibali vya kuishi Tanganyika huku Umeme na Chakula wakivilipia kwa Dola kuna Pato kubwa linapotea hapa ktk Muungano huu wa Ajabu uluosalia Duniani. Hili pato jipya litakuja likichanganywa Na Mafedha ya Mgao wao Toka Hazina kwa Kweli Tanganyika itakuwa na Fedha Nyingi Hakuna Mfano , Tambua Pesa ya Kuubembeleza muungano kupitia Wizara ya muungano inapotea Bure kwani haijapunguza kero za Muungano wala kusaidia chochote inaliwa na wajanja , hizo pesa zote za kuwalisha Zenji zikisalia Tanganyika zitaifanya Kuwa Nchi Tajiri sana .
 

Umefunguka vizuri sana lakini hapo kwa Nyerere umechemsha kidogo . Tambua Kuwa Nyerere na Karume waliasisi Muungano wakitarajia Kuwa muungano utakuwa ukiboreshwa kulingana na wakati ,ujue Nyerere alipenda sana mabadiliko Ndio Maana alikubali Mfumo wa Vyama Vingi si kwamba alisema Muungano usikosolewe ! Huu muungano kwa sasa imebaki Kuwa muungano Analogia haupo popote Ulimwenguni kwani Haubalance pande Zote Kwani Wazanzibar ni wachache lakini ni Wajanja kuliko watanganyika Zanji kuna watu 1.5 tu lakini wana wabunge wengi sana wakivuna posho bara na visiwani huku wabunge wa bara wakivuna posho ya bara tu huko visiwani hawana chao . Tambua cha Zenji ni cha zenji tu na Cha Tanganyika ni cha wote . Ndio Maana wao wanamiliki Ardhi bara lakini mtanganyika hawezi kumiliki Ardhi Zenji ! Yapo mengi yenye vioja ktk huu Muungano Analogia. Tujifunze toka Muungano Digtal wa kule U.S.A ambapo Hakuna kero za muungano wala Wizara za muungano Pia hakuna Rais kwa kila Nchi wao wanatumia Gavana Ndio Maana wamepiga hatua.
 
Tanganyika =>Rais,Makamu wa Rais,Waziri Mkuu . Zanzibar =>Rais,Makamu wa kwanza,Makamu wa pili . Huu ni Muungano Ghari sana unaendeshwa kwa Fedha nyingi sana toka Hazina na Kama Rais angelikuwa mmoja tu hizi Gharama zingeweza kuepukika
 

Likija Suala la Faida au hasara kwa kweli Miaka hii ya sasa
Hakuna faida tena kwani faida ilikuwepo zile Enzi za ubepari na Ujamaa yaani Tanganyika walihofia Usalama wao endapo Zanzibar angakuja Bepari na kuweka makazi ya kudumu . Lakini Ujamaa haupo tena na Nchi zote ni Mabepari Hakuna hatari tena hivyo muungano hauna Faida kwa Upande wa Tz bara lakini kwa upande wa ZNZ una faida sana Maana wao wanawachuna sana Bara wanakula wakishiba wanavurumisha Vuvuzela Tanganyika anatetemeka anawabembeleza kwa Fedha nyingi sana .Tambua Wazenji ni Wajanja mbele ya Watanganyika
 
muungano ulikua nuhimu enzi hizo kwasababu kuu 2: 1 kulinda ujamaa na viongozi / wafuasi wa ujamaa 2. kulinda mapinduzi na kuyahalslisha yaani mzee karume alihofia kupinduliwa na kutolewa madarakani.

kwasasa umuhimu huu haupo dhahiri kiasi hicho.
 
Koti hili nahisi lishatubana ni vyema tu tulivue. Na hili walitakalo la Serikali tatu walitakalo litatupwaya. Bora kila mtu atazame mambo yake baada ya hapo tuwatazame Wapemba ambao ndio wenye uwekezaji mkubwa waanze kulipia permit za kuishi huku na pia waache shughuli za biashara ndogo kama viduka vyao spea kuuza chips na juice na kuuza nguo kariakoo itakua shughuli ambazo wanatakiwa wafanye Watanganyika na siye tushachoka jamaa walalamishi kama nini tunawabebea sehemu kubwa ya mzigo wao lakini wamekosj shukrani.
 

Wewe mpaka leo wakoloni munao munawaga dhahabu wanawaachia mashimo

Sijui kwanini tanganyika ni maskini mpk leo. Ujinga wako.
 
Warioba katumwa na walituma sasa wanakenua nyie mnaparangana kina mambo yamejificha hapa hamuyajui,taifa limesalitiwa,
 
Wewe mpaka leo wakoloni munao munawaga dhahabu wanawaachia mashimo

Sijui kwanini tanganyika ni maskini mpk leo. Ujinga wako.

Poa hapa Mashimo yapo wakoloni wapo bado wapo lakini hiki Kidogo kinachopatikana hapa kikitumika kwa Watanganyika peke Yao kitakuwa kikubwa lakini sasa Fedha nyingi inatumika kuubembeleza muungano wenye Stress muungano Analogia huku wajanja waking'ang'ania ubaki hivi hivi ili waendelee kwawapitishe Bajeti za kuondoa kero za muungano na kuzifanyia Ufisadi huku kero zikizidi zaidi Tambua kero za muungano ni mladi wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…