Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
We una hofu gani? Bakhresa ni mfanyabiashara wa kimataifa hana tatizo kama mawazo yako yalivyo. Nikurejeshe kwenye post yako kuu. Hivi Zanzibar ni koloni la waarabu wa wapi? Qatar, UAE, Yemen au nini. Ndo mana nakwambia umekaririshwa na hujui ulisemalo. Leo hii bado unaongelea kutawaliwa na Taifa lingine. We mtupu kweli
Halafu ni vizuri usome hoja zangu za msingi kuhusu suala la kiusalama na chokochoko za mipaka ikifika hapa kama unaelewa naongelea nn ni lazima ifikirie mara mbili kabla ya kukomenti.