Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

We una hofu gani? Bakhresa ni mfanyabiashara wa kimataifa hana tatizo kama mawazo yako yalivyo. Nikurejeshe kwenye post yako kuu. Hivi Zanzibar ni koloni la waarabu wa wapi? Qatar, UAE, Yemen au nini. Ndo mana nakwambia umekaririshwa na hujui ulisemalo. Leo hii bado unaongelea kutawaliwa na Taifa lingine. We mtupu kweli

Halafu ni vizuri usome hoja zangu za msingi kuhusu suala la kiusalama na chokochoko za mipaka ikifika hapa kama unaelewa naongelea nn ni lazima ifikirie mara mbili kabla ya kukomenti.
 
Halafu ni vizuri usome hoja zangu za msingi kuhusu suala la kiusalama na chokochoko za mipaka ikifika hapa kama unaelewa naongelea nn ni lazima ifikirie mara mbili kabla ya kukomenti.

Kwanza ungekiri kama umeelewa kuwa hoja yako ya Zanzibar kuwa koloni tena ni kuwadhalilisha na kuwadharau ndugu zetu kuwa hawawezi kutetea uhuru wao bila kuwa ndani ya muungano. Rejea sheria za kimataifa kuhusu taifa moja kuvamia taifa lingine. Mf. Uvamizi wa Iraq Kuwait. Kisha ntakuchambulia hoja zako za kukaririshwa
 
Kwanza ungekiri kama umeelewa kuwa hoja yako ya Zanzibar kuwa koloni tena ni kuwadhalilisha na kuwadharau ndugu zetu kuwa hawawezi kutetea uhuru wao bila kuwa ndani ya muungano. Rejea sheria za kimataifa kuhusu taifa moja kuvamia taifa lingine. Mf. Uvamizi wa Iraq Kuwait. Kisha ntakuchambulia hoja zako za kukaririshwa

Uko nje ya mada kabisa ni vyema ungesema hujui kuliko kuandika vitu usivyojua. Kwa nini usisome tu kuliko kukuoti usichokijua.
 
Mbona unakomalia Bakhresa au akili zako ndio mwisho wake. Nakuomba utoe hoja ya msingi kuhusu wale wanaomiliki ardhi na ni watu wa kawaida kabisa je mtataifisha ardhi yao au mtawapa fidia warudi kwao?

Inaonekana roho yako ina chembe chembe za ukatili. Unawaza timua timua tu. Hao sheria itawatambua kama walivotambuliwa wote waliokutwa wakati Tanganyika inapata uhuru. Kwa misingi ya haki za binadamu si makosa yao, sheria ziliwapa haki na wataheshimiwa kwa kuwa walitimiza matakwa ya sheria. Nakushauri safisha roho yako hisia za ukatili bila kufuata sheria zikuishe. Vilevile, soma sana usiwe unapelekwa tu
 
muungano, muungano,muungano... ni bora ukavunjika ili tupunguze maada za kujadili kwenye katiba,, tuna kero na shida nyingi ambazo serikali inashindwa kutatua, sasa ni bora tukaachana na hili tukabaki na ya mengine ambayo hayahitaji mijadala wala posho... kwa suala la usalama, tutatoa mafunzo ya kijeshi ili wawe na jeshi lao imara...
ukubwa wa tanzania umesababisha kero nyingi zinashindikana na viongozi wanashindwa kufikia baadhi ya maeneo sasa ni bora tukaanza kuimega hii nchi ili tukabaki na kainchi kadogo na watu wachache na tukaweza kusikilizana... ni maoni tu na wewe toa ya kwako...
 
You have a point brother,Kimsingi Mtanzania wa kawaida hafaidiki na Muungano wala haoni faida zake.Ukivunjika Kidumu Chama watalia sana maana unawapa vyeo na ulaji
 
Znz hatuwez kuiachia serkal tatu maana yake n kuachia znz sis hatufaidiki lolote na znz zaid ya kiusalama,position ya znz n mbaya sn kwa tanganyika, serkal inajua yote lkn n bora kuliko hili la kiusalama,na ndo mana kuna kamb jeshi yetu kule



Hayo yalikua wakati wa miaka ya Mwanzoni mwa uhuru na mivutano ya vita baridi kati ya Nchi za kibepari na kijamaa.Leo hii usalama wa nchi unategemea teknolojia na uchumi imara.Na ukumbuke suala la muungano liliasisiwa na Idara ya intelijensia ya Matekani.Walihofia kasi ya ukuaji wa uchumi wa Zanzibar na Utawala wa sulutani ambaye alikua ni Muarabu.Sehemu zote zenye waarabu wamarekani wanajenga hofu.
Kwa sasa hakuna haja ya kuhofia; Cha msingi ni kuwa na katiba ya wananchi wenyewe sio hiyo inayotungwa na wabunge na mawaziri na makada mbalimbalimbali wa vyama.Wao ndo wanataka kutuongoza halafu wanatutungia katiba.
Kama katiba itakubaliwa na wananchi wa Pemba ,Unguja ,Mafia na Tanganyika basi hapo tutakua na usalama mkubwa zaidi.
 
Issue za kuwa na serikali mbili, tatu au zaidi ni kuvuta hisia za wananchi kujitambua kwa utaifa wao. Kuna watu wamezaliwa Zanzibar na wanaasili ya bara leo hii useme waondoke zanzibar waende wapi?

itabidi waje bara kwani ndiyo kwao isitoshe kwa sasa hawaruhusiwi kumiliki ardhi zanzibar
je inakuingia akilini kusikia rais JK alikaa na mwenzie wa zanibar na kuvunja katiba ktk swala la mafuta na gesi, je inakuingia akilini ukiwa kama mtanzania kutomiliki ardhi zanzibar ila wao ruksa kumiliki ardhi tanganyika then usema sisi ni wandugu/nchi moja
Vpi pale zanziba ilipovunja katiba ya mungano 2010 na kujitambua kama nchi yenye mipaka yake kamili na mambo mengine?
 
Nimekuwa nikisumbuliwa na swali kuu moja katika mchakato huu wa katiba. Nikaamua kusoma ripoti ya utafiti ya tume ili nijue kwa nini Tanganyika na Zanzibar ziliungana. Kwa mujibu wa hati ya muungano ni sababu mbili tu ambazo zilitufanya tuungane. Nazo zinapatikana ukurasa wa 21 wa ripoti ya tume ya utafiti kuhusu muungano. Nanukuu " ushirikiano wa mda mrefu wa kirafiki na udugu miongoni mwa Watu wa nchi Hizo mbili na ya pili ni kutaka kuuendeleza uhusiano huo na kuzidisha umoja wa kiafrika. Ni sababu hizi mbili tu nilizofanikiwa kuzipata. Kama ndugu zangu mnazingine naomba mnijuze. Hizi mbili nimeziangalia nikaona hazina mashiko ukilinganisha na kero Za muungano tunazozipata.
 
ishu kubwa ni usalama...tunaiitaji zenj sababu ya tahadhari ya usalama.
 
ishu kubwa ni usalama...tunaiitaji zenj sababu ya tahadhari ya usalama.

hivi kama mtu akiamua kuwatwanga , zanzibar itaokoa kitu gani ? Kama mnajali usalama mngewapa wale wahuni wajenge ghorofa karibu na ikulu ?
 
NYERERE alimfukuzaga Sultani Zanzibar, kisha kasingizia ni MAPINDUZI ya Umma. Sasa tumrudishie Sultan halafu tuombe radhi?
 
Sultani hatakiwi zanzibar...hiyo ndo sera ya ccm!

Ni kosa la jinai kumrudisha mwarabu zanzibar...
 
hivi kama mtu akiamua kuwatwanga , zanzibar itaokoa kitu gani ? Kama mnajali usalama mngewapa wale wahuni wajenge ghorofa karibu na ikulu ?

Kinachohofiwa ni Zanzibar kuwa kituo cha Magaidi kama Alqada, Alshabab n.k
Ndio maana piga ua Zanzibar haitakuja kuwa na bendera UN. Hivi tu makanisa yamechomwa sasa wakiachia ujue hata bara hatutakuwa salama. Watataka Zanzibar iwe jamhuri ya kiislam hiyo sera wataiingiza bara maana waislam wapo. Kwahiyo kwa usalama wa bara Zanzibar isipewe meno sana wakristo watahama kama ikipewa meno. Acha tuendelee kuwahadaa kwa kuwapa vyeo huku bara ili tuendelee kuwakalia wasiwe na utambulisho nje hasa nchi za mashariki ya kati.
 
Back
Top Bottom