We una hofu gani? Bakhresa ni mfanyabiashara wa kimataifa hana tatizo kama mawazo yako yalivyo. Nikurejeshe kwenye post yako kuu. Hivi Zanzibar ni koloni la waarabu wa wapi? Qatar, UAE, Yemen au nini. Ndo mana nakwambia umekaririshwa na hujui ulisemalo. Leo hii bado unaongelea kutawaliwa na Taifa lingine. We mtupu kweli
Halafu ni vizuri usome hoja zangu za msingi kuhusu suala la kiusalama na chokochoko za mipaka ikifika hapa kama unaelewa naongelea nn ni lazima ifikirie mara mbili kabla ya kukomenti.
Kwanza ungekiri kama umeelewa kuwa hoja yako ya Zanzibar kuwa koloni tena ni kuwadhalilisha na kuwadharau ndugu zetu kuwa hawawezi kutetea uhuru wao bila kuwa ndani ya muungano. Rejea sheria za kimataifa kuhusu taifa moja kuvamia taifa lingine. Mf. Uvamizi wa Iraq Kuwait. Kisha ntakuchambulia hoja zako za kukaririshwa
Mbona unakomalia Bakhresa au akili zako ndio mwisho wake. Nakuomba utoe hoja ya msingi kuhusu wale wanaomiliki ardhi na ni watu wa kawaida kabisa je mtataifisha ardhi yao au mtawapa fidia warudi kwao?
Znz hatuwez kuiachia serkal tatu maana yake n kuachia znz sis hatufaidiki lolote na znz zaid ya kiusalama,position ya znz n mbaya sn kwa tanganyika, serkal inajua yote lkn n bora kuliko hili la kiusalama,na ndo mana kuna kamb jeshi yetu kule
Issue za kuwa na serikali mbili, tatu au zaidi ni kuvuta hisia za wananchi kujitambua kwa utaifa wao. Kuna watu wamezaliwa Zanzibar na wanaasili ya bara leo hii useme waondoke zanzibar waende wapi?
nyingine ni kwa manufaa ya viongozi wa ccm na familia zao .
Kivipi?ishu kubwa ni usalama...tunaiitaji zenj sababu ya tahadhari ya usalama.
ccm wananufaika vp na muungano? ebu fafanua plz
ishu kubwa ni usalama...tunaiitaji zenj sababu ya tahadhari ya usalama.
hivi kama mtu akiamua kuwatwanga , zanzibar itaokoa kitu gani ? Kama mnajali usalama mngewapa wale wahuni wajenge ghorofa karibu na ikulu ?