Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?


Huko n kuchukua risk kwan vta wakat wowote inaweza tokea hata km uchumi n mkubwa au mdogo na uelewe haimaanish kwamba yukijitenga bas ndo mambo yatakua shwar bali lazma kutakua na mtafaruko wa hapa na pale,tuweishika znz kiulinz hata kwa miaka mia kumi bt we cant drop it ,ni kwa kujihami kwan u cant determine war , fungua macho and keep yo heard up na uone mbali
 
Wakuu heshima mbele!
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, ningependa mwenye kujua faida za maana Tanganyika inapata kutokana na Muungano na Zanzibar. Nitajieni tatu tu maana sioni hata moja yenye mantiki, eti usalama??? Ina maana nchi zote ambazo hazijaungana na visiwa sio salama. Haiingii akilini hata kidogo.
Naomba kuwasilisha.
 
1.Kuzaa watoto wasio na vichogo pindi ukiolewa na Mzanzibar.

2.Kupata watanganyika kujifunza kiswahili sahihi maana wengi wao wanakivuruga.

3.Mziki wa taarab
 
Hakuna mwenye kuweza Vunja muungano wa Tanzania na Zenj..Na ukavunjw akijinga basi si muda Zenj itakuwa mzigo kwa Tanganyika kwa tabia fulani ambazo Tanganyika itapata changamoto kiulinzi...na issue za bahari..Vilevile Zenj haiwezi kuwa salama ikiwa na Tanganyika yenye Fikra za CCM...Mara zote patakuwa na bullying ya Tanganyika..Kwa sababu za kipuuzi tuu zenj itashambuliwa,zenj itawekewa vibaraka na Mengine.Tuwe na uhasilia...tuweke mambo sawa nchi iende mbele.Ama serikali moja ambayo ni ngumu kwani CCM wameshawadekeza sana wazenj wazenj na kuwafanya wasijue wajibu wao....au serikali 3 ili zenj ianze wajibika kivyake..under custodian of federal government and central bank..wakifulia basi wanakopeshwa na kuwajibishwa..kwa kusahuriwa n akulazimishwa kufuat mipango ya maendeleo itakayopeleka zenj kutokuwa au kuondoka ktk njia ya ugiriki.
 
Wewe juzi ulikuwa unashangilia serikali tatu sasa hivi tena unaleta ufatani wako.
 
Wajenga hofu mpo wengi" rwanda,drc, Burundi, si salama lkn tunaishi nao hapa kariakoo, wenye kumiliki biashara kubwa ni watu wa asia mbona hatuwafukuzi, mashamba makubwa yanachukuliwa na wachina mbona tumenyamaza.Kazi nzuri ni za wa kenya' sasa hebu ainisha ni vp znz itakuwa hatari
 
Wazanzibari wanafaidi zaidi kuliko wabara, angalia hatawakitangaza nafasi za kazi lazima waweke sharti kuwa muombaji awe mzanzibari ilihali bara hatuweki sharti kama hilo.

Tanganyika analima anavuna peke yake Lakini wakati wa kula wanakula wote kisha wazanzibar wakishiba wanaanza kulalamika upya kabsa hadi Tanganyika anawapa Fedha tena ! Hivyo anayefaidika na muungano ni Zanzibar tu huyu Tanganyika amekuwa Buzi anachunwa kirahisi tu
 
Wazanzibar mbele ya Watanganyika wao ni wajanja zaidi ! Ebu fikiria wao ni wachache lakini wanawapelekesha watanganyika Kama Nyumbu huku wakiishia kusema ndio mzee
 
Sijengi hofu hapa naongelea reality km una hofu ni wewe tuu huwezi meza..Tanganyika haitokoma kutafuta zisingizo vya kuitawala zenj muungano ukivunjika, na Zenj hawatokoma tabia fulani za khatarisha amani....Tena mbaya gesi baharini italeta shida zaidi....Tanganyika imeshaomba kuongezewa usawa wa bahari ..unadhani ni habari nzuri kwa zenj wakitengana?
 
Anadika thread za kuikoa Chadema.

CC; chama


Kumbe yupo huku teh teh teh

hata kuandika hajui..

kupangilia matini hajui...

kujenga hoja hajui....

Akili imechakazwa na vimelea vya mbung'o hata kuelewa haelewi..

Yu na hasara kuu mama aliyemzaa Nicholas
 
Last edited by a moderator:
Muungano wa Marekani ni Nchi 52 hauna kero za muungano wala wizara ya muungano Pia zile Nchi ndogo hazina Utitiri wa Viongozi na wabunge Kama ilivyokuwa kwa Zanzibar wana Lundo la Viongozi lukuki huku Mishahara Yao ikilipwa na Tanganyika wao pato Lao ni Dogo sana hawawezi hata kulisha kijiji . Wapo Wajanja wanafaidika na zile Pesa zinazotengwa kwa ajili ya kutatua kero za muungano wao wanazitafuna kijanja Hata Lile Fungu yaani Mgao wa Fedha za Zenji toka Hazina napo kuna wajanja wananifaika ! Hao sasa Ndio wanapenda serikari 2 ili kero ziendelee na wao wazidi kuneemeke kwani Tanganyika bila Zanzibar Hakuna muungano
 
Hakuna mwenye kuweza Vunja muungano wa Tanzania na Zenj..Na ukavunjw akijinga basi si muda Zenj itakuwa mzigo kwa Tanganyika ........

Muungano wa Tanzania na Zenj?

Background history of the The Union between Tanganyika and Zanzibar.
 
Ni muhimu suala la muundo wa Muungano wetu litatuliwe wakati huu wa mchakato wa kutengeneza Katiba Mpya kama alivyoshauri JK juzi, otherwise nalo linabaki kero ya kudumu. Tume kwa utafiti wake (utafiti ambao CCM haiuamini) inasema Watanzania walio wengi "Bara" na "Visiwani" wanataka Serikali Tatu, hiyo ya tatu kwa ajili ya masuala ya Muungano pekee. JK anasema, kama tunakwenda huko basi Serikali hiyo lazima iwe ni imara zaidi kimapato na raslimali (isiwe tegemezi wa Serkali za Washirika), isitegemee majeshi tu...Wajumbe zingatieni hilo.

Hoja ya CCM kuwa kero za Muungano zinaweza kutatuliwa kwa muundo uliopo siyo kweli kwa sababu tangu 1984 Zanzibar imekuwa ikizitatiti kuwa huru zaidi kupitia marekebisho ya ya Katiba yake, na pengine katika jitihada zake za kutatua masuala ya tofauti za kisiasa - maridhiano- ya CCM na CUF Zanzibar. Watendaji Tanzania Bara wamekuwa wazito kushughulikia issues za Zanzibar ndani ya Muungano - Mzee Warioba na JK wote wamelisema hili. Sasa CCM kusema kwamba inawezekana kuzikabili kero zilizopo kwa sasa ni kutokuwa wakweli.

Kama haiwezekani kutatua suala la muundo wa muungano huko katika Bunge hili la Katiba, basi sitisheni mchakato kwa sasa, tufanye referendum kuhusu muundo gani tuufuate, then tuendelee na mchakato baadaye. Ni vizuri Zanzibar sasa wakakubali wazo la Serikali Moja kama hoja inayozungumzika, mbona vyama vya siasa walikubali mwaka 1977?
 
Muungano wa tanzania na zenj? Mkuu hapo umebugi meen! By the way ..TANGANYIKA KWANZA, MAMBO MENGINE BAADAYE!
 
Tuanzishe 'Tanganyika kwanza' movement kwa ajili ya kudai taifa la Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…