Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
tunachokitaka hapa ni serikali 3 , TANGANYIKA IKIWEMO , sasa hayo mashaka ya ccm kwamba tunavunja muungano yametoka wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Znz hatuwez kuiachia serkal tatu maana yake n kuachia znz sis hatufaidiki lolote na znz zaid ya kiusalama,position ya znz n mbaya sn kwa tanganyika, serkal inajua yote lkn n bora kuliko hili la kiusalama,na ndo mana kuna kamb jeshi yetu kule
sababu za kipwani pwani sana hizi.
Usomi wa John Mnyika atakupa kiwewe kilaza wewe wa kata; mimi hanishtui hata kidogo
sababu za kipwani pwani sana hizi.
Kamanda sababu za kiarusha na moshi
Kamanda sababu za kiarusha na moshi
Mkuu kuna memba anasema sababu zako kuhusu muungano ni za kipwani pwani,umemuelewa vyema
Tuone cv yako kama unafaa urais.
Nasubiri ku-defense PhD mkuu...usiwe na shaka na taaluma yangu.
Nasubiri ku-defense PhD mkuu...usiwe na shaka na taaluma yangu.
wazanzibar watahaha sana muungano ukifa japo sasa wanaongozwa na ujuha! Tuliwapenda sana lakn ujuha wao umewapenda zaid. Tuwaache waende huko Oman