Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

tunachokitaka hapa ni serikali 3 , TANGANYIKA IKIWEMO , sasa hayo mashaka ya ccm kwamba tunavunja muungano yametoka wapi ?
 
Znz hatuwez kuiachia serkal tatu maana yake n kuachia znz sis hatufaidiki lolote na znz zaid ya kiusalama,position ya znz n mbaya sn kwa tanganyika, serkal inajua yote lkn n bora kuliko hili la kiusalama,na ndo mana kuna kamb jeshi yetu kule

Kaka jukumu la kulinda nchi yako ni lako haliepukiki...Marekani na Cuba walikuwa maadui wa kubwa na wapo pua na mdomo walikaa vp?itakuwa haka kaunguja...si tunakizamisha tu baharini..
 
sababu za kipwani pwani sana hizi.

umeona eeh,sababu legelege,hakuna sababu za msingi hasa kwa mtanganyika.zenji wao wana sababu ajabu wamefanikiwa kutushikia akili.na sasa wanataka sarafu,wanasema shilingi yetu haina dhamani
 
Ronaldo wa Real Madrid Agoma kula kisa Kikwete kagomea serikali Ta2....

Pele achekelea Zanzibar kuwa Nchi huru.

Maddona Achukizwa na Tanganyika kutaka kuchomoza kisa Kaota Nywele pubic Area.

Jay Z atishia kusitisha misaada ikulu ya Tz,baada ya Serikali kushindwa kutoa tamko la kukubali MADUME Kugeuzana.

Yabainika CCM wanamuogopa Aboud Jumbe,hii ni kufuatia kutomualika katika Hafla yoyote ile ya Kitaifa.

Tetesi :Tifutifu vyama vya upinzani, chanzo ni Wivu wa Kike,kwa Ruling Party.

Tafiti nyingi zaonesha Watanzania wengi ni watu wa kulalamika tu,tena hasa watu wa BARA a.k.a Wadanganyika na Muda si mrefu baada ya kupitishwa kwa Katiba wata tawanyika.

Hizi ni baadhi ya dondoo kwenye vyombo vya Habari dunia ya KWANZA.
 
Mimi ni mtanzania wa hali ya kawaida sana . Ninakerwa na Viongozi wanao ogopa Kumfunga paka Kengele. Kikwete kasema Muungano yeye hauvunji labda atoke madarakani ndiyo watu waje kuuvunja. Inaonyesha CCM wanaogopa kubeba hiyo Dhambi ambayo kwenye Biblia wala Quran haipo. SASA MIMI NAJITOLEA KUBEBA HIYO LAWAMA KWA HISTORI YA VIZAZI VYOTE VITAKAVYOKUJA MBELE YETU. Nipeni Urais wa Mkataba wa Mwaka Mmmoja nifanye yafuatayo.

1. Siku ya pili baada ya kuapishwa Nitatangaza Nchi ya Tanganyika; hivyo nitatoa Mwezi MMOJA Wazanzibar wote popote pale walipo huku Tanganyika warudi kwao. Watakao taka kurudi Bara Wafuate taratibu za Uhamiaji.
2. Wanajeshi wote Kutoka Tanzania Bara watarudishwa Tanganyika. Hii ikiwa na kubeba Silaha zote zilizokuwa huko Visiwani.
3.Nitaimarisha ulinzi Mkali kwenye Mwambao wote wa Bahari ya Hindi Kuanzia Tanga hadi Mtwara.
4. Watanganyika Nitawapa Mwezi MMOJA waamue Jina la nchi yao. Je libaki kuwa TANZANIA au lirudi TANGANYIKA.
5.Vyama vya siasa Vitaamua vyenyewe kubadirisha majina au Kutumia hayohayo ya Mwanzo.
6. Mwisho Nitaitisha Uchaguzi mkuu Muwachague viongozi wenu mtakao wataka Wanchi yetu TANGANYIKA ambao hawatakuwa wamebeba hii lawama.
Asanteni sana. SITANII NIKO SERIOUS.
 
...ivi kwani muungano bado upo,au unazungumzia historia maana kinachofanyika sasa ni kutafuta namna bora ya kufunika kile alichosema nyerere nyufa za muungano,zilishavunjika...
 
wazanzibar watahaha sana muungano ukifa japo sasa wanaongozwa na ujuha! Tuliwapenda sana lakn ujuha wao umewapenda zaid. Tuwaache waende huko Oman
 
Kweli mbona wantisha mie?! Muungano hauvunjiki twapigana mkwara tu yahee.
 
Umetoka kututishia tusimtukane rais na taasisi ya urais, mbona mbona umeanza kubaka mawazo ya rais wako tena, au ilikua ni dhihaka dhidi ya hotuba yake?...

wazanzibar watahaha sana muungano ukifa japo sasa wanaongozwa na ujuha! Tuliwapenda sana lakn ujuha wao umewapenda zaid. Tuwaache waende huko Oman
 
Back
Top Bottom