Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?


mkuu, soma vizuri hoja yangu uielewe. nimesema kwamba hizi ni BAADHI tu ya 'faida' na zimekuwa zikitolewa mara kwa mara na wale waumini wa serikali 2, sio hoja zangu hizi. Nimeziweka hapa makusudi ili tuzichambue na kuzidadavua.
 
Tusilazimishane kwa huu muungano feki, we want our Tanganyika back by any means!
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA
 
Faida kuu kuliko zote ni usalama wa nchi yetu!

Kivipi? Zanzibar ni majirani kama zilivyo Nchi nyingine zinazopakana nasi.
Tukitengana nao tutailinda mipaka yetu km tufanyavyo ktk pande kuu nne za dunia. Sioni sababu ya kuingiza hofi ktk hilo unless ni udhaifu mkubwa!
 
tpaul,

Sijaona faida hapo, hizo ni nadharia tupu. Zimejaa propaganda na mawazo mgando. Toa faida halisi za ki uchumi. Mambo ya kupata wachumba wa kipemba hayahitaji muungano. Waarabu wanaovamia Zanzibar wanatoka taifa gani? Misri, Yemen, UAE au Kuwait? Kwanza tafuta sababu za muungano na kisha ujiulize mpaka leo zipo?
 
Kuoleana!!!. Wewe lazima utakuwa mswahili maana wana tabia ya kuozeshana mabinti wao kama wanaingia ubia. Nikama raisi flani wa bongo alieigia uwarabuni akazawadiwa kabinti.
 
Wadau,kwa aliyesikiliza hotuba ya warioba,na akaielewa vizuri,haina haja ya kuendelea na muungano,KUMBUKENI DUNIA YA LEO SIO ILE YA AKINA NYERERE,LAZIMA TUENDANE NA MABADILIKO,TUSIPENDE KUWA STATIC,TUJIFUNZE KUWA DYNAMIC.
 
Kivipi? Zanzibar ni majirani kama zilivyo Nchi nyingine zinazopakana nasi.
Tukitengana nao tutailinda mipaka yetu km tufanyavyo ktk pande kuu nne za dunia. Sioni sababu ya kuingiza hofi ktk hilo unless ni udhaifu mkubwa!
Watu wenye mtindio wa ubongo kama we we huwezi kuziona faida ya muungano. Nyambafu we we!
 
Jeikei alisema kukosa muungano wapemba wasingelima vitunguu kwahyo mkivunja hawatolima vitunguu.
 
Waarabu wanatafuta nchi zilizopakana na visiwa wavamie?

Kwani tuna bifu na Muarabu gani?

Waarabu wamewahi kuvamia nchi gani duniani?

Tulichowazidi Waarabu ambacho watavamia waje kukipora ni nini, dawa zetu za Kimasai?

Mwarabu alikuwepo hapo alifukuzwa na Mganda mmoja mwenye mawe na wanamgambo hawana viatu, leo unasema Muarabu ataharisha usalama wako, mbona hakuhatarisha alipokuwa na himaya hapo? Watanganyika let's not be a bunch of wussies.
 

Waarabu wanataka kutuvamia watupore madini, gesi na wanyamapori wetu--si unakumbuka wamewahi kutuibia twiga na mpaka leo hawajaturudishia wanyama wetu hao? Chezea mwarabu wewe!
 
Uharooo..nonsense

Iv wapemba umewaona hapa Tanganyika tu ww?

Uk kuna wapemba wanaofikia 200,000

Canada 60000

UAE Zaidi ya milion 1 na nusu

KENYA laki 2

MSUMBIJI Laki na kitu

na nchi kadhaa wa kadhaa wapemba wamejaa

ninachokushauri usideal na hawa watu
.
Kama unavowaona wasomali wamezagaa dunia nzima ni sawa na wapemba.

Wana uchumi mkubwa sana kila nchi hapa duniani.
 
Ile ndege ya malaysia iliyobeba watu 239..wasio na hatia wakapotea.Bora ingewabeba wajumbe(wabunge) wa katiba ikapotea nao kuliko vitu wanavyofanya Bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…