Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay, walipowaibia hao Twiga Waarabu walikuwa wameingia kutokea Zanzibar?Waarabu wanataka kutuvamia watupore madini, gesi na wanyamapori wetu--si unakumbuka wamewahi kutuibia twiga na mpaka leo hawajaturudishia wanyama wetu hao? Chezea mwarabu wewe!
Jeikei alisema kukosa muungano wapemba wasingelima vitunguu kwahyo mkivunja hawatolima vitunguu.
Wakuu, baada ya kuangalia sarakasi mbalimbali kuhusu muundo wa muungno wetu, nimeona ni vema tukabainisha faida zitokanazo na muungano huu kwa pande zote mbili. Hii itatupatia mwanga kuweza kujua ni muundo upi utafaa ili kuweza kunufaika na hizo faida.
Pia si mbaya tukitazama na hasara zake, kama zipo, ili tuweze kulinganisha na kutoa maamuzi bora. Tuchangie kwa kuzingatia uhalisia na sio mitazamo ya kisiasa.
Mimi naanza na faida kwa upande wa Zanzibar; umepanua wigo wa kibiashara. Wazanzibari wanafanya biashara Tanganyika kwenye soko kubwa bila vikwazo vyovyote. Pia watangnyika kwa upande wao wanakwenda kutalii Zanzibar bila visa za kitalii
Huu muungano feki tushaukataa, nasema tena hatuutakiiiiiiiii, akili yako ndo imegota hapo ukaona hizo ndo faida kubwa sana kwako, hivi kwa akili yako hizo faida ulizozitaja tukiwa nje ya muungano hatuwezi kuzipata!? Mbona nchi za jirani kama Kenya na Congo hizo fursa unazoziita faida tunapata, kwani wao tumeungana!? Something is wrong in your coconut, sorry to burst your wonderful bubles
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA
ladyfurahia, huoni kama huu muungano kwa jinsi ulivyo tayari ni tatizo kubwa? Umesema muungano "uwepo tu." Je, ungependa uweje?Jamani muungano uwepo tu ila tukiruhusu serikali tatu tujue tutakuja leta matatizo hapo baadaye
huo muungano wako haujawahi kuwa na faida, hauna faida na hautakuwa na faida zaidi ya kutuletea shida tu. kila mtu ajenge nyumba yake bwana, anayewapenda sana wazanzibar basi ahamie huko
ladyfurahia, huoni kama huu muungano kwa jinsi ulivyo tayari ni tatizo kubwa? Umesema muungano "uwepo tu." Je, ungependa uweje?
ningependa muungano uwepo ndani kwa ndani yaani tanganyika iwe na nchi yake na zanzibar iwe na nchi yake ila isiwe na marais wala mawaziri wawepo viongozi tu wa kawaida na pawepo sasa na tanzania ambayo itakuwa na rais pekee atakakuwepo pande zote mbili kwanini nasema hivi nchi ya zanz ilishauzwa siku nyingi na koloni hivyo pakiwepo na seirikali 3 kutatokea vita si unaona mwenyewe huko pande za visiwa
ningependa muungano uwepo ndani kwa ndani yaani tanganyika iwe na nchi yake na zanzibar iwe na nchi yake ila isiwe na marais wala mawaziri wawepo viongozi tu wa kawaida na pawepo sasa na tanzania ambayo itakuwa na rais pekee atakakuwepo pande zote mbili kwanini nasema hivi nchi ya zanz ilishauzwa siku nyingi na koloni hivyo pakiwepo na seirikali 3 kutatokea vita si unaona mwenyewe huko pande za visiwa