Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Baada ya maoni ya wachache (sic!) kama yalivyotolewa na Mh. Tundu Lissu ndani ya Bunge la Maalum la Katiba na TBC kuamriwa kuhakikisha hasikiki kwa wananchi, sasa si swala la Kero za Muungano peke yake, hapana, jinamizi jipya limezuka...Muungano wa Kero. Kero za Muungano alizitaja Mh. Jaji Joseph Sinde Warioba, Mwenyekiti wa Tume ya Katiba wakati akiwakilisha rasimu ya Katiba ndani ya Bunge Maalum la Katiba na Mh. Tundu Lisu naye akaja kutoa somo kuhusu Muungano wa Kero uliodumu kwa miaka 50.
 
Kwa miaka mingi tangu kutikiswa kiberiti 1984 na mitikisiko iliyofuatia mpaka leo hii ya Rasimu ya Katiba, suala la Kero la Muungano linaongelewa.

Najiuliza hasa kero za Muungano ni zipi? Je wanaokereka wamefikisha wapi vilio vyao?

Je waliopokea vilio hivi, wamefanya nini mpaka leo hii ambapo ni miaka 30 tangu kiberiti cha kwanza kilipotikiswa?

Amani iwe Kwako RK:

Kutokana mijadala ya uwakilishi wa Tanzania katika jumuia ya EA na vilevile migogoro iliyotokea Mtwara, ninaweza kusema kuwa kero za muungano ni udhaifu wa mfumo wa central government.

Wazanzibar wana vyombo vya kisheria na historia wanavyoweza kuvitumia kutoa dukuduku zao. Mtu wa Mtwara, Mwanza, Kigoma au Kilimanjaro hana vyombo na historia haijamruhusu kuwa navyo.

Hivyo badala ya kutumia muda kujadili mwingi kujadili kero, umefika wakati wa kuangalia muundo mzima wa serikali. Je muundo uliopo sasa wa kila kitu kualiwa DSM unafaa?
 
kero za muungano ni muungano wenyewe.
Ivi kaka mimi na wewe tukikubaliana kuwa marafiki tukaishi hivo kwa muda mara mie nikaamua nisiwe rafiki yako kwanini wewe ung'ang'anie kuwa rafiki yangu? I mean kwa nini Bara tunang'ang'ania kuwa na muungano na wakati upande wa pili hawautaki?

wengne hatuelewi tueleweshwe tunashabikia
tu...

Tanganyika icwepo au iwepo its not my concern nnachotaka maisha bora, kodi hasa
PAYE ipungue..

Wale wapemba waliojazana kariakoo warud kwao nataka kuanza kuuza duka langu
kariakoo ajira Tanganyika hamna mmezishika
nyie wazanzibar..

ngja nianze kuangalia frem na viwanja
kariakoo vya kumiliki..

Wazanzibar tuwaache waendeleze nchi yao
wanavyotaka ila wakija huku permit km kawa
renewable in two years na watatakiwa walipe
2,000usd ili kuzipata cjui zitakuwa class
gan..!!!! Wale wapemba nlosoma nao cpat
picha teh teh,

Lkn ccm bla muungano c itarud kuwa TANU??
Polen watawala, chama kikibadilika jina tunarudia uchaguz wa nchi nzima

Wachaga busy kusaka maduka kariakoo so
wapemba mtajiondoa wenyewe kwa kutaka
serikali tatu..support without knowledge

weekend walikuwa wanaenda zanzibar bla
hata kuaga, muungano hamna lazma tuombe
VISA, madem zetu wa kipemba byebye...

Bakhresa nae arudishe viwanda vyake kwao
pemba, opportunity kwa Mengi(IPP)..

Juice ya bakhresa itauzwa 4,000/- kwa lita ili kupromote kutumia vya nyumban kutoka kwa
mengi ambayo itauzwa 2,500/- kwa lita..discouraging importation..

maembe ya
zanzibar yatatosha kutengeneza juice za
bakhresa kusambaza africa mashariki?
opportunity for tanganyika to export to
Zanzibar...

Zanzibar itakuwa nchi ya kiislam, Tanganyika
je?? Padri Mushi rudi nyumban Kilimanjaro
muungano ushavunjika, so sad hyo sio nchi
yako tena unachukuliwa kama adui, utumishi
rudisha nyumban JK hana sauti tena
huko....!!!

Ntaomba kaz immigration kuhakikisha naondoa wapemba wote dar es salaam afu nickie
vjana wa dar mnalalamika ukosefu wa ajira, discrimination..

wapemba wote huku bara watapata jina jipya la "magaidi",mabomu yote yanayolipuka huku Arusha tutakuwa tunawakamata wao kwanza kusaidia upelelez, so sad cz nchi si sio ya kwao..!!!

"is all of this is divide and rule tactics? struggle
for power? racism?"

Yetu macho cz muundo ulivyo hautuhusu kura
yenyewe hatujawahi kupiga, tuna kadi za
vyama vyote(opportunity seekers) tunaangalia
opportunity inayojitokeza kwenye kila
kinachofanywa..

muungano ukivunjika
nkimuona mpemba tu hata nauza juice
namripoti immigration kama vle nmemuona
mkongo..
 
Hizo ajira walizochukua wapemba wamejiajiri au wameajiriwa.? Uvivu tu. Walipa kodi hao kwa taarifa yako.
Ekeni hata visa wataishi, umesikia wapi England kuwafukuza Scottish? Na wanataka kujitenga? matembezi na udugu yapo kabla ya muungano hivyo hakuna sababu ya kuwafukuza, tunata ka. Zanzibar huru. This is
 
Uoga wetu umetufanya tuwe masikini, tunashindwa kusema kweli tumekuwa taifa la watu waongo.
 
Naomba mniambie ni faida zipi hasa Tanganyika inapata kwa kuungana na Kata ya Zanzibar na je, Muungano ukivunjika ni hasara gani Tanganyika itapata.
 
Kwani Tanganyika tunanufaika nini na mungano? Ukichunguza kwa undani kama tumebeba mzigo wa misumali nahasa pale unapo mbeba mtu ambae hana shukrani
 
Kwani Tanganyika tunanufaika nini na mungano? Ukichunguza kwa undani kama tumebeba mzigo wa misumali nahasa pale unapo mbeba mtu ambae hana shukrani

Tunapata siku ya kupumzika tukisherehekea muungano; siku ambayo pesa zooote hukombwa na walalahoi kuachwa hoi
 
Nyenyere,

Mkuu sijui unaweza kunisaidia hili. Watu wabara wanakwenda nchi ya Zanzibar yenye Rais, katiba, wimbo wao nk. Watu wa Zanzibar wanakuja bara ambako hakuna Rais, Katiba, wala wimbo wa Taifa. Sasa kama unaamini kwamba muungano wa nchi mbili, Tafadhali nisaidie kujua kwamba kama nchi moja no zanzibar je nchi yapili inaitwaje, Rais wa Zanzibar tunamjua, je rais wa nchi yapili anaitwa nani? Hiyo nchi yapili nisaidie kama unakatiba yake naomba nakala moja na kama unafahamu wimbo wake nisaidie nipate huo wimbo. Nchi moja ambayo ni Zanzibar ina serikali yake inayoitwa smz je hii nchi yapili ina serikali?
 
acha uongo bhana, sio kweli kuwa dar ina wabunge wa4 tu. mtemvu, makongoro, mdee, zungu, azzan, mnyika, yule wa ukonga, ------

tpmazembe,
 
Faida kuu ni kulipitisha kanisa zanzibar kupitia muungano,bila ya muungano kanisa lingekuwa hoi zanzibar,hata lukuvi analifahamu hili.
 
Ni matumani yangu kuwa tupo njema na salama. Katika pita pita yangu, nimekuwa nikiuliza watanzania wenzangu swali moja tu,nakujaribu kupata fikra na mtizamo wao. Lakini majibu yao yamenipa changamoto kubwa sana ya kutaka kujuwa ukweli, na kutokubali kuwa mmoja wa watanzania wa kukubali mambo bila kupata elimi ya kitosha katika jambo husika.

Naomba swali hilohilo nililete kwa ndugu zangu, wanajamii wenzangu, home of the great thinkers.

Swali langu nihili; ni kitugani au faida gani tumepata, au tuliyonayo, kwa kuwepo kwa muungano wetu na Zanzibar kama jinsi ulivyo? Je wewe kama mtanzania mmoja kati ya watanzania zaidi ya million 45 umepata faida gani kwa kuwepo na muungano wetu na wazanzibari?

Mwisho kabisa, naomba kutoa angalizo kwamba mimi no muhumuni na sapota mkubwa sana wa kuungana kwa nchi za Africa (United Africa) moja ya muungano uliofeli ni wa Jumhiaya ya Africa Mashariki, muungano ambayo ni wananchi wachache sana wanaujuwa, na hata wanaoujuwa hawawezi kukueleza kwa kina faida tunayopata kwa kuwepo kwa muungano huu unaojulikana kama Jumhuiya.

“SAMBAZA UPENDO”
 
Back
Top Bottom