Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Well said
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Maalim Seif sio mwarabu,Maalim Seif ana asili ya Kishirazi,si unakumbuka Afro Shirazi Party(ASP),chama kilichoongozwa na Karume,Chama kiilichompindua Sultan wa Zanzibar,halafu chama hicho kikaungana na TANU mwaka wa 1977 halafu kikazaliwa CCMCuf ya Maalim ni chama kinachopata pesa toka kwa Sultani aliepinduliwa. (Maalim anakutanishwa na Sultani Jemshid Qatar, na Karume anajua) Kwanini tunachezea shilingi chooni? Pia kinaitwa Hizbu kama chama asilia ya Sultani yaani kwa kiswahili ndio chama cha wananchi. Chama kichafu hichi kwa amani na mustakabali wa nchi yetu. Chama kifutwe mara moja. Migogoro mingine sio ya lazima, tuachwe tufanye kazi, hawa wanaotamani uarabu kama suluhu ya matatizo ya kiuchumi waone Siria, Somalia na Yemen wakigombania kula mizoga ya mbwa na watu. Futeni chama chenye ndoto ya piga ua kuigawa Tanzania.
Kaka sijui kama unajua unachokiongea,Katiba ya Zanzibar imebadiliswa wakati wa utawala wa Kikwete,makubaliano ya maridhiano baina ya CUF na CCM Zanzibar ilikuwa wakati wa utawala wa Kikwete..UAMSHO wakati wa Kikwete...Mfalme wa Qatar alipokuja tu Zanzibar tena kwa njia ya baharini hapo hapo Karume na Maalim wakakutana, Maalim akaitambua serikali ya Karume, Karume akamuingiza Maalim katika serikali kama Makamo wake, jaribio likafanywa la Karume kuongezewa muda wa Urais ili azidi kuwaunganisha eti Wazanzibari, chokochoko za kudai mafuta na gesi ya Zanzibar yakaanza yakiongozwa na Mansouri CCM na Jussa kwa CUF (sasa wote cuf) vikundi vya ugaidi UAMSHO vikaanza kazi bila kuficha kuidai Zanzibar kwa kuwachomea Wabara, kuuwa Viongozi wa Kikristo. Meli za kina hao hao nje zenye bendera ya Tanzania zikaanza kusafirisha kila kilicho gharamu. Je nani atapinga kuwa kwenye Meli ya Mfalme wa Qatar hakuwepo pia Mfalme wa Zanzibar? Kwanini baada tu ya Meli ile Zanzibar ikafanya marekebisho ya katiba yake ili ianze kwa kusomeka "Zanzibar ni nchi?" Badala ya Zanzibar ni sehemu ya Tanzania? Asante Mungu Anko Magu yupo, uozo wote utafumuliwa.
Wapinga Muungano Zanzibar wengi sana ni wagonjwa, wanabishana kutwa kujiita Waarabu, mwenye ngozi nyeupe kidooogo tu mfano wa kina Chenge basi wao ni Waarabu asilimia 100 na hadi sauti wanabadili, kubana pua, kujitenga, kudharau weusi, kutembea kwa kujivuta vuta hivi kimlegezo eti kiarabu. Yaani Zanzibar unacheka akili ya kuku.
Wa bara walio ajiriwa visiwani ni wachache lakini wa visiwani ni wengi sana kuliko sisiPoint ya pili na ya tatu zina mashiko kiasi chake. Kuhusu point ya kwanza naona unakosea kwasababu kuna wa bara nao pia wameajiriwa huko visiwani.
Mkuu ukiangalia mgawanyo wa ajira kwa bara na Zanzibar ni Zanzibar wanafaidika kuliko sisi na kuna ubaguzi sana wanabagua sana wa BaraRekebisha namba 1. Wabara wapo zenji wengi tu wameajiriwa.
Nadhani upande wa ajira hakuna tatizo, ni kama vile kwenda kufanya kazi nje ya nchi