Mimi mtanganyika wa Kataryo nimenufaika vipi kwa hilo
umenikumbusha mbali sana aisee, kataryo machimboni, mitaa ya nyaminya tegeruka
Mimi mtanganyika wa Kataryo nimenufaika vipi kwa hiloD
Mzee wa kataryo, nyaminya, tegerukaMimi mtanganyika wa Kataryo nimenufaika vipi kwa hilo?!
Faida kubwa. Samia kuwa rais.Tarehe 26 mwezi huu tunaadhimisha miaka 57 ya muungano. Miaka 57 ni umri wa mtu anayekwenda kustaafu, kama ni mtumishi.
Naomba wanaofahamu manufaa yaliyopatikana kwa Tanganyika, ambayo pengine bila kuungana yasingepatikana wanijulishe na mimi niweze kuyafahamu.
Ndio maeneo ya nyumbani hayo.Mzee wa kataryo, nyaminya, tegeruka
Sijaelewa. Tanganyika imepora utajiri wa Zanzibar? Au kinachozuia wasiwe kama Dubai ni kitu gani!Muungano ulifanyika kumzuia Sultan kurudi Visiwani hata akipata msaada wa kijeshi kutoka Oman. Hili limefanikiwa lakini aliyelifanikisha amewaacha Wangazija na Wapemba umasikini mkubwa.
Kiuchumi Sultani angekuwepo sasa hivi Visiwa vingekua kama Dubai.
Hapana haikupora lakini Zanzibar haiko huru kufanya maamuzi na kuingia mikataba kama nchi.Sijaelewa. Tanganyika imepora utajiri wa Zanzibar? Au kinachozuia wasiwe kama Dubai ni kitu gani!
If that is the case, urais wa Samia ni golden opportunity kwao. Waitumie miaka hii 4 ya Samia kurejesha uhuru wa kujiamulia mambo yao.Hapana haikupora lakini Zanzibar haiko huru kufanya maamuzi na kuingia mikataba kama nchi.
Kumbuka kuna katiba, ni mpaka mambo haya yajadiliwe bungeni. Kama Mama ataruhusu mchakato wa katiba mpaya itasaidia sana.If that is the case, urais wa Samia ni golden opportunity kwao. Waitumie miaka hii 4 ya Samia kurejesha uhuru wa kujiamulia mambo yao.
Miaka 4 ni mingi sana kurekebisha vifungu vya katiba kandamizi kama vipo. Hii ni tofauti na mchakato wa kuandika katiba mpya ambao keshasema si kipaumbele chake.Kumbuka kuna katiba, ni mpaka mambo haya yajadiliwe bungeni. Kama Mama ataruhusu mchakato wa katiba mpaya itasaidia sana.
Mafanikio makubwa ni kwa Tanganyika kuikalia Zanzibar kimabavu kwa kusimika viongozi kutoka Mkuranga.
Aiseeh. Humo mwenu akili zenu mnazijua ninyi wenyewe . Kwa hiyo tunawakalia ili tupate kodi zao ?!. Kwani hawawezi kutoa kodi kama wawekezaji wengine ambao ni foreigners wakiwa huru.
Faida ziko nyingi wanasemaga wala keki ya taifaTarehe 26 mwezi huu tunaadhimisha miaka 57 ya muungano. Miaka 57 ni umri wa mtu anayekwenda kustaafu, kama ni mtumishi.
Naomba wanaofahamu manufaa yaliyopatikana kwa Tanganyika, ambayo pengine bila kuungana yasingepatikana wanijulishe na mimi niweze kuyafahamu.
Huna hoja.Hizo ni choko choko,
Muuliza swali si mjenzi ila mbomoaji.
Watu tunahitaji kujenga uchumi mifukoni ,wewe unakuja na hila zako.
Tuache tupambane na hali zetu,wewe unatafuta wafuasi ili uibomoe nchi, hutafanikiwa.
Wapemba wanachangia kodi kuliko Wahindi? Ile Kariakoo tukiondoka wahindi nani anabaki? Kwenye michezo tukiondoa wahindi na waarabu nani anabaki?Tanzania bara inafaidika kodi na ajira kutoka kwa wafanyabiashara wapemba wakiwemo akina bakhresa nk
Kwenye sekta binafsi wapemba ndio huongoza kuingizia Tanzania bara kodi