Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Sio bora ni kitu lazima kwani Wazanzibari tumeteseka na tunateseka sana na hili Jinamizi la uvamizi kutoka Tanganyika liitwalo Muungano
 
Hii ndio faida ya the freedom of expression, ingekuwa ni enzi za Mwalimu, wewe mtu huku mjini,; tungekusahau!, ambao wangekuona ni watu wa kijijini kwako tuu, tena ukitoka nje kuota jua!.

Enzi hizo hata kufikiri tuu kuuvunja muungano ni kosa kubwa la uhaini!.
P
 
Nani unamlaumu! Mlaumu baba yako wa taifa kwa u much know wake
 
Mchukueni na mtu wenu tumemchoka huku
 
Naunga mkono hoja uvunjwe, tunataka muungano wa hiari na siyo wa lazima
 
Kazi mnayo, mkimaliza huko muanze kupambana pia kupata Uhuru kutoka Kenya na Rwanda wanaowatawala sasa hivi.
 
Wazanzibar warudi wako wote hatuwataki
 
wazanzbr wale watakuwa na nchi mbili,yaani kisiwa Cha unguja kitajitegemea na pemba pia itakuwa nchi, halafu wale wako mil.moja tu ,sisi tuko mil60+,dawa yao tukishavunja tu muungano tunapeleka vijana wetu zbr wakaoe mabnt wote wa zbar,baada ya miaka michache tutakuwa na watt wetu na wajukuu kule,hatimaye litakuwa koloni letu kwa mala nyingine
 
Mimi ni Mbara, ila napenda tabia na hulka ya Wazanzibari ya uaminifu. Huku sisi uaminifu ni adimu.
 
Bro Marley ameshasema everyone has a right to determine his destiny and on this judgement no partiality. Huu ndio ukweli daima milele.
 
Kwa sasa wanapata mgao nusu.....awamu hii Tanganyika itatoa damu hadi akili ikae sawa.
Vipi na majeshi yataenda Zanzibar 2025 kuipa Chama maiti ushindi tena.
Acha wakamue si mmnalizamisha kupendwa, mtajua hamjuhi.. warabu hao sio watu hata kidogo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…