Unajua ni nini?
WaZanzibar hawana mchango kwa maisha ya Bara. Hilo hata wewe unalijua. Kama nimepotoka,nakubali kurekebishwa kwa mifano halisi. Muungano unawapendelea wazanzibar na kuwadekeza hadi inakuwa kero. Ka nchi kama mkoa lakini wabunge utitiri. Hamuoni kuwaita watu wabunge badala ya makatibu kata?
Nilichoota mimi miaka kadhaa nyuma, wakati nimekereka na huu muungano nyonya damu, ni kwamba. Cha muhimu kwa bara ni geographical position ya Zanzibar na tabia za Wazanzibar za uvivu na uarabu. Nikaota kwamba , ni lazime tuwashikilie ili muongozwe kwa sababu kinyume cha pale, tunayoyasikia kule yatakuwa dirishani. Nani atakuwa salama?