muarobaini wa matatizo yote haya ni katiba tu.watangulizi waliitengeneza hiyo katiba kwa ajili ya kulinda maslahi yao na pia inawezekana mazingira ya wakati ule yaliwalazimu wafanye vile lkn kwa sasa hakuna njia nyingine zaidi ya kuwa na katiba mpya na sielewi kwa nn mamlaka zinaogopa kuwa na katiba mpya wakati majirani zetu wamezibadilisha katiba zao mara kibao.katiba tulionao inatubagua na pia inatoa mamlaka makubwa kwa watawala.
Ni wewe tu na ukoo wako ndiyo mko hivyo ndiyo maana hujitambui
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sasa unafikiri Zenj ikienda,ndio Bara itakuwa moja?Ni bora huu Muungano wetu ukavunjika halafu tukawa nchi jirani zenye kupendana kuliko maelezo,ila hivi tulivyo inakuwa kama hatuelewani.
Tugawane mbao kisha kila mtu ajenge mtumbwi wake.
Tatizo wabara hawajiamini kujitawala,wanahisi watagawika ,Zanzibar imekuwa kama hirizi.
Maneno tuu ya wahengaa hayoo,uvunjikee tuu kumejaa wanafiki Sana visiwani.Kama muungano utavunjika basi bara itagawika baada ya Unguja na Pemba kugawika.
Kwa vile huu muungano wetu adhimu umeishia ingiwa, na hakuna vipengele vya jinsi ya kuuvunja, then muungano wetu ni wa milele na tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Ukisikia uzalendo wa kweli wa nchi yako ndio huu!. Muungano upo na utaendelea kuwepo kwa maslahi mapana ya JMT.Yaani sijuhi kwanini watu wanakuwa na vichwa vigumu,Bara na Zenj,haziwezi kutengana Wala kutenganishwa,huu muungano ni kwa maslahi mapana ya Jamhuri ya TZ,sio kwa ajiri ya kuwaridhisha wananchi.
Hiki ndicho nilichosema, the union is there to stay forever na tutaulinda kwa gharama yoyote!.whether you like it or not,Zenj,or Tanganyika no one is going anywhere.
Ni Sawa na china umwambie Hongkong,au Taiwan ni nchi kamili na sio sehemu ya china.
Au Catalonia sio sehemu ya Spain.
Kwa maslahi mapana ya TZ,this union is here to stay,
Hiki ndicho nilichosema, the union is there to stay forever na tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Tunaposema Muungano wetu adhimu tutaulinda kwa gharama yoyote, we mean it, and it's forever!.Wewe wa kizazi hiki ndiye utakayeulinda muungano lakini kizazi kijacho hasa cha Wazenji hakiwezi kuvaa koti la Muungano linalowabana.
Muungano wetu ni muungano wa pekee na wa aina yake duniani, hakuna muungano mwingine wowote kama huu muungano wetu. Miungano mingine yote ni miungano ya mikataba, kwenye kila mkataba lazima kuwepo na kipengele cha kuvunjika kwa mkataba, lakini huu muungano wetu adhimu, sio mkataba, it's not a contract, ni muungano wa makubaliano, agreement. Zile Articles of Union sio contract ni agreement, hazina kipengele cha kuvunja muungano, hivyo muungano wetu ni muungano for life!. Ni muungano wa milele!.Hakuna muungano wa milele hapa duniani.
Tunaposema Muungano wetu adhimu tutaulinda kwa gharama yoyote, we mean it, and it's forever!.
P
Kutimuana hovyohovyo haiwezekaniki. Kuna sheria za kimataifa zinalinda.Ukivunjika wazenji wote tunawatimua tuone nani atapata hasara
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Just be positive!.Is it bound by divine laws ??!!----- kama Muungano umeletwa na watu basi ni watu hao hao au watu wengine wanaweza kuuvunja, nchi tu zinapanganyika sembuse Muungano wa nchi !!!??
Just be positive!.
P
Wanashindwa kutafakari huu muungano, waulize huo wa EAC itakuwaje? Nchi hii inaongozwa na vilaza yaani hawafahamu 1+1=2 or more.
Be serious kidogo. Yaani uvamizi udumu kwa zaidi ya miaka 60 na dunia inaangalia tu! Hainishawishi.Huu Si muungano ni uvamizi wa Tanganyika kwa Zanzibar, mwaka 1964 Nyerere aliivamia Zanzibar na kumkamata Waziri Mkuu wake Muhammed Shamte na baraza lake la mawaziri waliochaguliwa na wananchi kidemokrasia na kuwafunga kwenye jela Za Tanganyika kabla huo uvamizi haujapewa jina la muungano wa Tanzania
Ni kwa sababu huo uvamizi uliratibiwa na Uingereza . Waingereza walishiriki ,Be serious kidogo. Yaani uvamizi udumu kwa zaidi ya miaka 60 na dunia inaangalia tu! Hainishawishi.
Ngoja ulale ndipo uote. Wazenj wanahitaji muungano ili ima wasichinjane au kuwekwa rumenya na waarabu. It is that simple.Ni kwa sababu huo uvamizi uliratibiwa na Uingereza . Waingereza walishiriki ,
Kama unataka ukweli soma
Jisomee online: Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru! Zanzibar na Mapinduzi ya Afrabia