Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Unaonaje muungano wa Tanganyika na Zanzibar

  • Upo katikati

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    9
Iwe ni Wauza Samaki au wamiliki wa maduka.

Kwa sababu wameanzisha ubaguzi wao wenyewe.

Kuanzia kesho kuwa na vuguvugu kubwa la kuwatimua na kugomea shughuli zote za WazanIbari. Na watimuliwe warudi kwao.
 
Rais mwinyi umelelewa Tanganyika maisha yako yote, sasa kuna huyu mwenzako yeye ameshabariki ubaguzi unaoendelea huko Zanzibar.

Sasa msijekusema Watanganyika wakorofi.

Kwa kuwa umeshindwa kuulinda Muungano wewe pamoja na huyu Shangazi jambo hili likija kuharibika chanzo ni Shangazi na wewe Mwinyi.
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mimi siioni mantiki ya kuendelea kung'ang'ania muungano uchwara na hawa wakosa vichogo.
Uvunjike tu make ni kama tumewanufaisha na vingi kwa miongo mingi.
 
Back
Top Bottom