Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Unaonaje muungano wa Tanganyika na Zanzibar

  • Upo katikati

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    9
Asilimia zaidi ya 95 ya Watanzania tuliopo hai leo hatukuwepo, au hatukuwa tumezaliwa wakati Muungano huu unafanyika.

Ni jambo la kijuha kidogo eti hadi leo tunahangaika kuilazimisha Zanzibar (ambayo haitaki) kuendelea na muungano uliojaa manung'uniko toka pande zote.

Tanganyika ina eneo halali yake 945,300.......Zanzibar ina kieneo chake 2,600,000

Kwa maana nyingine unaweza kumaliza kuizunguka Zanzibar yote kwa kutwa moja ukiwa na baisikeli.

Kwanini tumefungwa na kuamuriwa fikra na waasisi ambao nao walikuwa binadamu na hawapo....
This is not fair..

Halafu unaambiwa ni uhaini kujadili afya ya muungano isipokuwa maboresho yake....
Hakuna nafasi ya referendum wala nini....huu ni utumwa wa kuukataa.

Kila mtu aishi kwao.
 
Aisee hizo hesabu zako niaje hapo!?
 
Tanganyika ina eneo halali yake 945,300.......Zanzibar ina kieneo chake 2,600,000
Kwa maana nyingine unaweza kumaliza kuizunguka Zanzibar yote kwa kutwa moja ukiwa na baisikeli.

Mkuu ulifeli hesabu za kujumlisha au 😂
 
Wazanzibar kiukweli tuliwakebehi kwa miaka mingi, now the shoe is on the other foot
 
mgen,
naipenda Tanzania lakini naikumbuka Tanganyika imenyongwa na kuuwawa! Nadhani serikali 3 ni muhimu sana!
Tano tena Tanganyika kutawaliwa na Mzanzibari. Muungano mliutaka wenyewe.
Tanganyika-Mzanzibari
Muungano -Mzanzibari.
Kazi iendelee!
 
Binafsi sioni umuhimu wa huu muungano.
Hauna faida kwa Tanganyika bali Zanzibar

Hakuna Mtanganyika ambaye anaweza gombea chochote kile Zanzibar
Hakuna Mtanganyika ambaye kaajiriwa na Serikali ya Zanzibar
Mtanganyika haruhusiwi miliki ardhi Zanzibar ila Mzanzibar anaruhusiwa miliki Tanganyika

Kama kuna serikali ya Zanzibar kwanini hakuna Serikali ya Tanganyika?
Kwanini hakuna Wabunge wa Tanganyika Zanzibar ila kuna wabunge wa Zanzibar Tanganyika?
Kwanini Makamu wa Rais au Rais lazima awe Mzanzibar ila Zanzibar wana Makamu wawili wote ni Wazanzibar?

Tujadili haya
 
Yaan huu muungano ni kama sisi ndo tulijipendekeza kwa zanzibar wakat sio

Yaan tulienda kusaidia lakin tukajikuta tena sisi tukawa wajinga,kajamaa kakajipanga vzur sisi tukabak na ujinga wetu

fIkiria hata umeme walikuwa wanatumia wa bure bila kulipa chochote

Pamoja na manufaa yote hayo lakin bado walimuua alieleta huo muungano huko kwao

Na sisi hatuna budi kuiuwa ccm
 
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20251203_174536_0000.png
 
Hapana tusifike HUKO mbona mi sioni shida ya muungano, nachoona ni muungano kufanyiwa maboresho TU, kitu ambacho wenye mamlaka wanaogopa na sijui wanaxho ogopa mpaka Sasa dunia Ina badilika kwa nini sisi tunaogopa mabadiliko
 
Binafsi sioni umuhimu wa huu muungano.
Hauna faida kwa Tanganyika bali Zanzibar

Hakuna Mtanganyika ambaye anaweza gombea chochote kile Zanzibar
Hakuna Mtanganyika ambaye kaajiriwa na Serikali ya Zanzibar
Mtanganyika haruhusiwi miliki ardhi Zanzibar ila Mzanzibar anaruhusiwa miliki Tanganyika

Kama kuna serikali ya Zanzibar kwanini hakuna Serikali ya Tanganyika?
Kwanini hakuna Wabunge wa Tanganyika Zanzibar ila kuna wabunge wa Zanzibar Tanganyika?
Kwanini Makamu wa Rais au Rais lazima awe Mzanzibar ila Zanzibar wana Makamu wawili wote ni Wazanzibar?

Tujadili haya
Hauna umuhimu wowote uvunjwe umekaa kinyonyaji
 
Back
Top Bottom