KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
UNAMFAHAMU RAISI MWINYI(HAYATI)? ametokea kwenu zanzibar eti?Lakini ndio dume. Tanganyika haiwezi kutoa rais wa Zanzibar, ila Zanzibar wanatoa rais wa Tanganyika
UNAJUA KUWA MAJINA YOTE YA WAGOMBEA WA ZNZ HUPITISHWA PALE DODOMA KWA UPANDE WA CCM?
hv rais wa znz pale kwenye baraza la mawaziri anaingia kama rais au mjumbe kama mawaziri wengne?
RUDI KWENYE KATIBA KWENYE KUONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI WA JMT KAMA RAIS HAYUPO..
punguza visungura