Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Unaonaje muungano wa Tanganyika na Zanzibar

  • Upo katikati

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    9
kilichotokea 2000 na 2020 ni uhakika kwamba Rais wa muungano ana mamlaka Zanzibar
Hapo unazungumzia mambo ya uchaguzi,...hebu lete mfano wa kiutendaji, lini uliona rais JPM akizunguka Zanzibar? Huyu Samia anazunguka Zenji kwa sababu ni kwao isingekuwa hivo isingewezekana!
 
Hapo unazungumzia mambo ya uchaguzi,...hebu lete mfano wa kiutendaji, lini uliona rais JPM akizunguka Zanzibar? Huyu Samia anazunguka Zenji kwa sababu ni kwao isingekuwa hivo isingewezekana!
Zanzibar ina semi autonomy ndani ya muungano kama ilivyo Hong Kong, Ireland ya kaskazini na Wales. Hivyo, Rais wa Muungano katika meneo kama hayo mamlaka yake yanabaki kwenye masuala ya mahusiano ya mambo ya nje na usalama tu. Mambo ya Maendeleo yanabaki kwenye mamlaka ya eneo husika. Hivyo, kwa Tanzania rais wa muungano kwa masula ya kusimamia maendeleo kule Zanzibar siyo kwake. Kule mkuu wake wa nchi ni Rais wa Zanzibar. Hata Waziri Mkuu mamlaka yake yanaishia pale Feri nyuma ya Ikulu ya Dar es Salaam.
 
Rais wa muungano ana mamlaka Zanzibar ila Rais wa SMZ hana mamlaka bara
Mamlaka yepi? Katiba ya Zenji inatamka wazi kuwa Zenji ni nchi kamilii. Rais wa bara akienda kwenye sharehe anatangulia uwanjani na akija rais wa Zenji, rais wa bara anasimama kwa unyenyekevu kuashiria mwenye dola kaingia.
 
Bora umuambie kabisaa.
 
Hio Nembo ya Tanganyika --- Pamba na Karafuu zote zinapatikana Tanganyika ,hilo ni bao imepigwa Zanzibar ,ndio ukasikia kwenye nyimbo wanataka nchi yao weshajichokea.
 
Hio Nembo ya Tanganyika Pamba na Karafuu zote zinapatikana Tanganyika ,hilo ni bao imepigwa Zanzibar ,ndio ukasikia kwenye nyimbo wanataka nchi yao weshajichokea.
Naomba takwimu za export ya karafuu kutoka Tanganyika mwaka wa fedha 2023/24
 
Hii nembo ni ya Tanganyika. Ndo nembo yetu tangu mwaka 1961 kabla hata hatujafikiria kuwa pamoja na Zanzibar.

Baada ya muungano kila kilichokuwa cha Tanganyika kilifanywa kuwa cha Tanzania. Hata katiba ya Tanzania ni iliyokuwa Katiba ya Tanganyika. Kila palipokuwa p[ameandikwa Tanganyika palibadilishwa na kusomeka Tanzania.
nembo ilichorwa na Mzee Abdallah Farahani kutoka Zanzibar
 
Back
Top Bottom