The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Mwalimu Nyerere aliunganisha Tanganyika na Zanzibar. Magufuli alimteua SSH kuwa makamu wake. Bila muungano, Samia asingekuwa rais wetu wa kuimport toka Zenj. Hata h ivyo, kama siyo Magu kutaka awe na yes yes vice president pia Samia asingekuwa tatizo tunalopambana nalo hadi anakamata ndugu zetu huku akiwaacha wenzake wa huko kwao.
Anatesa kwenye nchi yetu wakati haturuhusiwi hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi huko kwao. Yeye na ndugu zake wamejaa kwetu. Wanamilki ardhi na kila kitu wakati sisi hatuwezi kumilki chochote kwao. Je kati ya Nyerere Magufuli na SSH, nani anastahili lawama?