Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Muungano lazima uwepo, hakuna wa kuuvunja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muungano lazima uwepo, hakuna wa kuuvunja.
Kwa manufaa na faida yetu sote, muungano lazima uwepo, kinachotakiwa kutatua changamoto tu.
Kivip mkuu, ebu fafanuaAl shabab watalifanya ndio lango lao kupitia uamsho chini ya cuf
Kimsingi Muungano hauna faida kwa sisi wa Tanganyika unafaida kwa wazanzibari labda.
Watatukaribia sana wale jamaa, hata wazungu hawana mchechetó na cuf kuingia madarakani, moto ungekuwa mkali kama wangekuwa chadema, saa hizi tungekuw chini ya vikwazoKivip mkuu, ebu fafanua
Mkuu zile zilikuwa nchi mbili tayari Tanganyika na Zanzibar na wrote ni wanachama wa UN sasa ukiniletea wachaga na wanyakusa mm sikuelewi ni nchi mbili zilizo jitambuaKutumia Mazingira ya sasa kutafsiri hali ya miaka iliyopita ni kuganzisha akili.
Muungano wa United Kingdom ni miongoni mwa miungano kongwe zaid Ulimwenguni lakin hawakufanya kura za maoni!
Mkutano wa Berlin uliogawanya na kuunganisha baadhi ya maeneo tunautambua na kuuheshimu japo hatukufanya kura za maoni wala kuwakilishwa na Mtu yoyote. Muungano wa Kilimanjaro na Mbeya kuifanya Tanganyika ulipata ridhaa ya wachaga na wanyakyusa? Muungano wa Unguja na Pemba ulipigiwa kura ya maoni? Iweje Mjerumani Bismack awe sahihi kuunga na kugawanya maeneo yote bila ya kura za maoni halafu iwe haramu kwa Julius Nyerere na Abeid Karume?
Kabla ya kutafuta uhalali wa Tanganyika kuungana na Zanzibar tueleze kwanza uhalali wenyewe wa unification ya Tanganyika yenyewe na Zanzibar kwa kuwa zenyewe hazikufuata utaratibu unaotaka ziufuate walipoungana.